waandishi

  1. JamiiForums Tanzania Waandishi 49 wameuwawa kwa mwaka 2019

    Kwa mujibu wa Shirika la Waandishi wa Habari Wasio na Mipaka RSF, takribani nusu ya waandishi wa habari 400 waliofungwa duniani kote wapo katika mataifa matatu tu, ambayo ni China, Misri na Saudi Arabia Akizungumza kabla ya kuchapisha ripoti ya mwaka huu ya shirika hilo kuhusu uhuru wa habari...
  2. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CPJ: Kwa mwaka 2019 hadi kufikia Desemba 01 Waandishi wa Habari 250 walikuwa wamefungwa sehemu mbalimbali Ulimwenguni

    Idadi hiyo ni kwa mujibu wa Kamati ya Kutetea Waandishi wa Habari kupitia ripoti yake ya mwisho wa mwaka huku ikibainisha kuwa mwaka 2018 idadi hiyo ilikuwa Waandishi 255 China ni ya kwanza kwa kufunga Wanahabari 48 ndani ya mwaka huu huku Uturuki ikiwa nafasi ya pili ikiwa imefunga Wanahabari...
  3. JamiiForums Tanzania Vyombo Vya Rasmi vya Habari vya TZ, Havitimizi wajibu Wake, Njaa, Ukata, Ujinga!. Waandishi, Wamiliki Watakiwa Kujiongeza- Jicho Letu Star TV

    Wanabodi, Vyombo rasmi vya habari vya Tanzania, vimelaumiwa kuwa havitimizi wajibu wake wa kuwahabarisha Watanzania, kutokana na Waandishi wa habari kukabiliwa na njaa kali kufuatia kulipwa malipo kiduchu, vyombo vya habari vinakabiliwa na ukata mkubwa, wamiliki wanaendeleza ujinga kwa kuajiri...
  4. JamiiForums Tanzania Je, kwa kauli yake hii Waziri Mwakyembe 'anawajali' au 'anawachukia' waandishi wa habari na vyombo vyao nchini Tanzania?

    “Heri tuwe na vyombo vya habari viwili kuliko utitiri wa vyombo ambao waandishi wa habari hawajui kesho yake watakula nini,” - Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe. Chanzo Habari: Mtanzanianews, MtanzaniaDigital leo tarehe 29 November 2019
  5. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole abishana Vikali na Waandishi wa BBC kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mwandishi Sammy Awami amejitahidi kwa kiwango kikubwa kuuliza maswali ya msingi sana lakini Humphrey Polepole amebisha vikali juu ya ukiukwaji mkubwa wa demokrasia
  6. JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wa Tanzania, Hoja kuu ya Mkapa ilikuwa nini?

    Wasalaam, Kuna tatizo la kimsingi la waandishi wetu wa habari, huenda ni kwa utashi, au uoga au muono pofu. Hoja ya Bwana Mkapa Jana imesulubishwa na kijihoja Cha kutakiwa kuuwawa kwa bwana mmoja! Nadhani waandishi walitakiwa ku -capitalize kwenye hoja za mleta hoja lakini wengi wao wameacha...
  7. JamiiForums Tanzania Chama cha ACT - Wazalendo chajiondoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Hayo yametangazwa na kiongozi wa chama hicho Mh Zitto Kabwe. ACT WAZALENDO CHAIFUATA CHADEMA, CHAJITOA KUSHIRIKI UCHAGUZI. Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza kuwa chama hicho kimejitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa sababu...
  8. JamiiForums Tanzania Uganda: Waandishi wa Habari walioandamana kupinga ukatili dhidi yao watawanywa kwa mabomu ya machozi, wengine wakamatwa

    Polisi imetumia mabomu ya machozi kuwatawanya Waandishi wa Habari wapatao 50 waliokuwa wanaandamana kuelekea Makao Mkuu ya Polisi Jijini Kampala kuwasilisha kero zao juu ya ukatili wa Polisi dhidi yao Waandishi hao kutoka Chama cha Waandishi wa Habari wa Uganda (UJA) walikuwa wakienda kukutana...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa hathi/simulizi kwa Kiingereza wanatafutwa

    Kwema wana JF? Narudi tena na hili jambo ambalo nimeliandika humu kwa muda mrefu lakini nashangaa ni watu wawili tu wamenitafuta. Kama kuna mtu yeyote wakiwemo wanafunzi anayeweza kuandika au amekwishaandika hadithi za kubuni au za kweli na angependa ziuzwe kama kitabu duniani pote tafadhali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…