waandishi wa habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania Zipi sababu ya Waandishi wa Habari kuzuiwa kuingia Kisutu kuripoti kesi ya Lissu? Mamlaka zisilikalie kimya suala hilo

    Waandishi wa Habari ni watu muhimu ambao jamii iaweza kuwafananisha na kiungo kinachowezesha wao kupata au kupitisha taarifa za masuala mbalimbali yanayowahusu, kiungo hicho kimekuwa kikitekeleza majukumu ya kujuza umma taarifa lukuki kwenye masuala ambayo yamekuwa yakitokea kwenye jamii zao...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi: Waandishi wa habari msilemazwe na kufubaa na teknolojia, ya akili mnemba

    "Nawaonea wivu kwasababu sisi tulikuwa tunatuma habari kwa simu. Baadaye zikaja teknolojia nyingine. Ninyi mmepiga hatua lakini hata nyie msilemazwe na kufubaa na teknolojia, hata hii akili mnemba imeundwa na binadamu na inachukua maudhui kutoka kwa watu. Nawashukuru wadau wote na mliotoka nje...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vina mchango katika kutengeneza mambo ama kuharibu

    Wakati wa Sala katika maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani, Sheikh alieleza kuwa licha ya kuwa ulimi si mfupa lakini unavunja mifupa, na pia ulimi siyo upanga lakini unamwaga damu. Hivyo amewataka waandishi wa habari kuwa makini katika habari zao kwani wao wamemebeba...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LHRC yakemea kamatakamata na matumizi ya nguvu yanayoendelea dhidi ya Viongozi wa kisiasa, Wanahabari na Wananchi

    KAMATAKAMATA NA MATUMIZI YA NGUVU YANAYOENDELEA DHIDI YA VIONGOZI WA KISIASA, WAANDISHI WA HABARI NA WANANCHI Dar es Salaam, 24, Aprili 2025 Leo tarehe 24 Aprili 2025 ni siku iliyopangwa kwa ajili ya usikilizwaji wa kesi ya inayomkabili mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
  5. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Waandishi wa Habari wazuiwa kuingia Mahakama ya Kisutu, wengine wakamatwa, leo Aprili 24, 2025

    Baadhi ya waandishi wa habari wamedai kuzuiliwa kuingia eneo la Mahakama ya Kisutu kusikiliza kesi zinazomkabiki Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, leo AprilI 23, 2025. Chanzo cha kuaminika kutoka eneo hilo kimeeleza kuwa wamezuiliwa kuingia Mahakamani na Askari ambao wanazunguka eneo la...
  6. JamiiForums Tanzania Video: G55 Wanaogopa maswali ya waandishi wa habari, wamzuia Chief Odemba kuuliza swali

    Hili kundi la G55 likiongozwa na John Mrema wanakwepakwepa kujibu maswali ya waandishi hawayajibu kama walivyouliza, kituko zaidi kilichodhihirisha kuwa wanaogopa maswali magumu :AAAA: :AAAA: wamemzuia kwa nguvu zote Chief Odemba kuuliza swali ambalo lazima wamejua ni jiwe lingewapiga utosini...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Taasisi ya Vyombo Vya Habari (MISA- TAN) yataka waandishi wa habari kuweka hadharani msimamo wao kugombea kwenye Uchaguzi

    Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika,Tawi la Tanzania (MISA TAN), imewataka waandishi wa habari kuweka wazi uamuzi wa kugombea kwenye udiwani na ubunge ili kuepusha mgongano kimaslahi. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa Aprili 14,2025 na Mwenyekiti wa MISA TANZANIA,Edwin Soko...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Golugwa: Hatujawahi kusema tunataka Kupindua Serikali bali kupinga mifumo mibaya ya uchaguzi, na hii ndio maana ya Uasi

    https://www.youtube.com/live/H2WF6FYA97Q GOLUGWA: HATUJAWAHI KUSEMA TUNATAKA KUPINDUA SERIKALI Naibu Katibu Mkuu Bara – CHADEMA), Amani Golugwa akizungumza na Wanahabari leo, Aprili 11, 2025 katika Makao Makuu ya Chama Mikocheni, amesema Chama chake hakijawahi kutoa tishio la kutaka...
  9. JamiiForums Tanzania Waandishi Wa Habari Wanazidi Kuteketea huko Gaza

    Waandishi wa habari wameendelea kulengwa na kupoteza maisha katika mashambulizi ya mara kwa mara yanayofanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza, hali inayozidi kuzua hofu na maswali kuhusu usalama wa vyombo vya habari kwenye maeneo ya vita. Katika tukio la hivi karibuni mwandishi wa habari Ahmed...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali Kuendelea Kutoa Elimu kwa Waandishi wa Habari Mitandaoni

    SERIKALI KUENDELEA KUTOA ELIMU KWA WAANDISHI WA HABARI MITANDAONI "Je, Serikali imejipangaje kuhakikisha ongezeko la vyombo vya habari mtandaoni haliathiri maadili na utamaduni wa Taifa letu" - Mhe. Toufiq Salim Turky, Mbunge wa Jimbo la Mpendae "Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano...
  11. JamiiForums Tanzania Hongereni Waandishi wa Habari, maswali yenu Kwa John Mrema, yamemmaliza jumla, anaenda kupotea katika Siasa

    Mrema anasema Et, Bora tushiriki, ili CCM isipite kirahisi na Bungen kukatwa na CCM tu. Mimi nakuuliza, kwani Bungeni sahizi CCM yuko na nani??.hamkushiriki 2020??. Baba Bonny wa Arusha anasema'Hela za Usalama wa Taifa, Huwa haziliwi bure '...rudisheni...
  12. JamiiForums Tanzania Waandishi Habari Kuanza Kusajiliwa Mei

    BODI ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imesema inatarajia kuanza utaratibu wa kusajili waandishi wa habari kupitia mfumo wa kidijitali ifikapo mwanzoni mwa mwezi Mei, 2025. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo na na bodi hiyo kwa kushirikiana na idara ya Habari Maelezo...
  13. JamiiForums Tanzania Maswali ya kujiuliza kutoka kwa Mwalimu wa Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania na Mchambuzi Saleh Jembe

    1. Hivi Yanga SC ingekuwa inaongoza Alama kati ya Sita (6) au Saba (7) hizi Kelele zao za Bodi ya Ligi tungezisikia leo? 2. Bodi ya Ligi ambayo Yanga SC ilikuwa Bingwa kwa Misimu Mitatu mfululizo leo ghafla inaweza kuwa mbovu? 3. Wamesema na kutwa Wanatudanganya wameenda CAS je, wanaweza...
  14. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari: Kipaji pekee hakitoshi katika kufanya kazi za kihabari

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), imeweka bayana msimamo wa kisheria wa Sheria ya Huduma za Habari kuwa kipaji pekee hakitoshi kumfanya mtu afanye kazi za kihabari kama hajapitia katika taaluma ya Uandishi wa Habari na kukidhi vigezo. Msimamo huo umebainishwa na Kaimu Mkurugenzi...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Madiwani Moshi Manispaa, kuongea na waandishi wa habari kuhusu , Kauli Tata na Malalamiko ya Wapiga Kura ,Soko la Mbuyuni, Moshi Manispaa.

    Katika kipindi cha hivi karibuni, kauli tata na malalamiko ya wapiga kura wa Moshi Manispaa yameibuka, yakihusiana na ujenzi wa soko la Mbuyuni. Wapiga kura wamekuwa wakilalamika kuhusu thamani halisi ya soko hili, wakionyesha wasiwasi wao juu ya ufisadi na wizi ambao umekuwa ukiripotiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali anazungumza kutoka Bandari Kavu ya Kwala, Mkoani Pwani, Machi 16, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Oasgj4g9Yvc Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa anazungumza na Waandishi wa Habari kutoka Bandari Kavu ya Kwala, Mkoani Pwani Akizungumzia miradi iliyosajiliwa kati ya mwaka 2021 Machi hadi Februari 2025...
  17. JamiiForums Tanzania Ashakum si matusi, ila nachelea kusema kuwa taaluma ya habari imevamiwa na vilaza

    Nimekuwa nikifuatilia mahojiano kadhaa yanayofanywa na viongozi mbalimbali wa taasisi za Serikali na Wana habari, ila kilichonisikitisha ni kuona mwanahabari anahoji swali ambalo hata uelewa wa hilo jambo hana kiasi kwamba swali likirudishwa kwake kwa ufafanuzi zaidi anabaki kumbwelambwela tu...
  18. JamiiForums Tanzania TFF iteni waandishi wa habari muombe radhi kwa mlichokifanya

    WATANZANIA Pamoja na kushikwa na taharuki ya mliyoyafanya Basi NENDEN kwenye press Ombeen radhi kwa wananchi wote kwa upuuzi wenu Hakuna aliefurahia hata mmojaa Tulitarajia pamoja na mliyoyafanya mngeita waandishi WA habari Muombe radhi Msiwe kimya kiasi hicho KUSHINDWA KUOMBA radhi
  19. B

    JamiiForums Tanzania Tido Mhando aongoza kikao cha kwanza cha Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari

    Na Mwandishi Wetu. Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari ( Journalists Accreditation Board- JAB) Bw. Tido Mhando, akiongoza kikao cha kwanza cha Wajumbe wa Bodi hiyo ikiwa ni siku moja baada ya kuzinduliwa rasmi na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba...
  20. JamiiForums Tanzania PPRA yazindua ofisi za Kanda ya Kusini mkoani Mtwara uzinduzi ukiambatana na semina kwa waandishi wa habari

    Mamlaka ya Udhibiti na Ununuzi wa Umma nchini PPRA, imefungua ofisi za Kanda ya kusini zitakazokuwa katika mkoa wa Mtwara, ambapo Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Abdlah Mwaipaya ameongoza zoezi Hilo. Ufunguzi huo wa ofisi za Kanda uliofanyika ijumaa Tarehe 28 Februari 2025, ulienda sambamba na semina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…