waandamanaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KEKO JUU

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kuwa “tumejipanga kuwakabili waandamanaji wakati wowote”

    Kauli kama hiyo inaonyesha mtazamo wa utawala wa mabavu badala ya utawala wa sheria na haki. Huu ni mtazamo wa hofu, ukandamizaji, na ukosefu wa majadiliano ya kidemokrasia. Tuchambue kwa kina: 1. Sababu ya kutumia “nguvu kubwa” kwa sababu waandamanaji walitumia nguvu kubwa: Ni kisingizio...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tunaomba Jeshi la Marekani lije kulinda Waandamanaji Desemba 9 kuepuka mauaji mengine ya halaiki

    Najua Ubalozi wa Marekani mpo Active JF Kwa kuwa Serikali ya Marekani imetoa tamko rasmi kuoneshwa kuguswa na ushenzi unaofanywa na Serikali ya CCM na Samia dhidi ya Watanganyika sasa tunawasiliaha maombi rasmi kwa Rais Trump atume jeshi lake lije kulinda Waandamanaji tunaotarajiwa kuandamana...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo. Ilikuwa tuwaangalie waandamanaji waliojiandaa kufanya mapinduzi mpaka wafanikiwe?

    “Tunaapa kuilinda nchi hii na mipaka yake, kulinda usalama wa raia na mali zao. Na katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nimesikia polisi wanasema waandamanaji wanaandamani minara D9 kama waliuwa watu hawashindwi kuharibu minara ili internet izimwe

    Nimesikia polisi wanasema waandamanaji wanaandamani minara Niseme ukweli watanzania hawadai minara wala maandamano hayahuusiani na minara ukisikiona minara imeharibiwa ujue polisi ndio wameharibu kama wameuwa watu kuharibu minara hawashindwi ili kukosekana kwa internet Hata hivyo kuharibu...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Waandamanaji kulipwa si kosa la jinai wala hukumu yao sio kifo

    Waandamanaji kulipwa ili waandamane haliwi kosa la jinai wala hukumu yao sio kifo, kuandamana sio kosa Tanzania. Niki kulipa ili uandamane sio kosa kwasababu maandamano ni halali kisheria, Huu uzushi waliokuja nao kuwa waandamanaji wamelipwa ni sawa na kusema watu wamelipwa ili kuoga, kuoga na...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu anasema Wale Wauaji wengine walikua hawajui Kiswahili, Tume yao ije iseme Wauaji walijipenyeza from Kenya

    Mpaka siku mtakapotambua mnadeal na Watanzania wa aina gan, ndipo mtaanza kuhusisha Midomo na Ubongo kabla ya kuongea. Bahati mbaya na Kwa masikitiko makubwa, Hamna Tena Mudaa. Jiandae tena Dec 9 .
  7. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Tumejipanga kiusalama Desemba 9

    Serikali imesema imejipanga kuhakikisha wananchi wanakuwa salama Desemba 09, 2025.
  8. stakehigh

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Niwakumbushe tu, wale waliojikuta waandamanaji sana, sasa hivi wameshasahaulika, sasa na wewe jikute una mapenzi sana kuandamana

    Tukianza na wale wa 2007 wa Kenya mpaka wakina Ojwang na sasa tuna wabongo walioingia kwenye mkumbuko, wote wameshasahaulika, wote waliokua wanawasukuma kuandamana tupo nao bado huku online wakina Tindo wanapangusa kreti vibaya mno Sasa ewe Mtanzania si mnaona kabisa wanaowashawishi ndo...
  9. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je aliyesema atawakata vichwa waandamanaji amekwisha kamatwa?

    Hivi majuzi Kuna limbukeni mmoja wa elimu duuniya aliibuka na kuzua taharuki aliposema atakata waandamanaji vichwa D9. Nataka kujua kama huyo tahira anaewatukanisha ndugu zangu Waislamu na mtume Mohammed katika kristo kama amekwisha tiwa nguvuni. Kama bado nitahamasisha kukamatwa kwake mara moja!!
  10. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Upigaji Risasi Waandamanaji ulifanana nchi nzima (Kichwa, Makalio& Tumbo)

    Ni kama wapigaji walienda kozi moja. Ukikosa ya kichwa utaambulia ya makalio au tumboni. RIP
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mashekhe waliotoa kauli za kutaka kuchinja waandamanaji wamechukuliwa hatua gani ?

    Mashekhe ubwabwa waliotoa kauli za kutaka kuchinja waandamanaji wamechukuliwa hatua gani ? Hakuna uwajibikaji tukutane tarehe #D9 tutawawajibisha wenyewe
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kumbe vijana waandamanaji walipoimba tunataka iwe kama Madagascar ndio watu wakapigwa risasi ovyo!

    Kitendo cha waandamanaji kuimba na kutaka yaliyotokea Madagascar yatokee hapa Tanzania. Ndio risasi zikawa zinamiminwa hovyo! Hii imenitia hofu. Maana habari za wengi waliofariki sidhani kama walikuwa kwenye maandamano. Mfano yule mwandishi wa Clouds media.
  13. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amri ya kuua ya waandamanaji na udhaifu wa kiakili wa askari kuitekeleza

    Sote tunajua kwamba, Askari wa Tanganyika ni yale mazezeta sugu yaliyoshindikana shuleni yakabebwa na kupelekwa depo. Askari wa aina hii ukimpa Amri ya kuua lazima umsimamie kwa karibu sana na umuelekeze kinagaubaga maana ya Amri hiyo. Ninaamini wengi wao (askari) hawakuelewa nini...
  14. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Inashangaza kuona mkuu anaomboleza vifo vya waandamanaji waliouawa na polisi kwa amri yake mwenyewe

    Kuna usemi uliozoeleka na wengi ya kwamba damu ya mtu haiendi bure, Ukiitizama Kwa makini utagundua Kuna namna fulani mama amepatwa na mfadhaiko Kwa yaliotokea,ameshaanza kutoa kauli zakujichanganya. Huyu ndiye amiri jeshi mkuu,kama kauli yeke tu kwa DPP imetosha kuachiliwa huru Kwa vijana...
  15. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanasema waandamanaji Wana wivu na matajiri, mbona Mo Dewij na Bakhresa hawajachomewa vitu vyao?

    Kuna majitu yanasema waandamanaji wamefanya vurugu kuchoma masheli maduka magari eti kisa wivu Sasa najiuliza kama wivu mbona hawa matajiri mo na Bakhresa hawajachomewa vitu vyao inakuaje nyie choka mbaya wenye viduka vya nguo na vya simu muchomewe na hao mafisadi wachomewe ujue mnatatizo...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video zilizothibitishwa na NationForensicUnit zaonyesha polisi wakitumia nguvu kuwaua waandamanaji kwa makusudi Arusha na Dar

    video zilizothibitishwa na #NationForensicUnit ya nation zimethibitisha maeneo kamili ambako vikosi vya usalama vya Tanzania, wakiwemo baadhi waliovaa nguo za kiraia, walitumia nguvu kupita kiasi na kuwaua waandamanaji kwa makusudi katika Arusha na Dar es Salaam. (Picha zenye maudhui ya kushtua...
  17. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania ‎Wanaolalamikia "waandamanaji" kuchoma Mali binafsi na za umma hawajajisumbua kuelewa Gen Z ya Tanzania ikoje

    KIZAZI KISICHOKUWA NA KESHO: BOMU LINALOTIKISA TANZANIA KIMYA KIMYA Na Mjumbe wa Nafsi za Watu Kuna maneno ambayo yamekuwa kama wimbo wa taifa usio rasmi kila mara panapotokea vurugu: “Hawa vijana wanaharibu! Wanachoma mali za umma! Hawana akili wala heshima!” Lakini labda, kabla hatujatupa...
  18. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hit the Jugular: Je, waandamanaji waliipata wapi hii mbinu ya kijeshi?

    Jugular ni kaeneo kwenye shingo kwenye koromeo. Ukipigana na mtu akakutusua vizuri hiyo sehemu, lazima usalimu amri, kama sio, urudi kwa Mungu baba. Falsafa ya kupiga Jugular huwa inatumiwa pia vitani, kwa kushambulia maeneo muhimu kama: uwanja wa ndege, depot za mafuta, madaraja ya...
  19. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto asema hatajutia agizo la kupiga risasi waandamanaji

    https://m.youtube.com/watch?v=PTqDwq2Afgs
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waandamanaji wakata kidole cha raia aliyepiga kura Oktoba 29

    WAANDAMANAJI WAKATA KIDOLE CHA RAIA ALIYEPIGA KURA😭 Ni uchungu mkubwa kuona raia anakatwa kidole kwa kosa la kutimiza wajibu wake wa kikatiba — kupiga kura. Kosa lake ni lipi? Ni kutumia haki yake ya kidemokrasia. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 21(1) inasema wazi: Hivyo...
Back
Top Bottom