Mwenyekiti wa Tume ya 29 October anadai kuna Polisi 16 waliuwawa, na baadhi ya waandamanaji walikuwa na silaha za moto.
Kwa kifupi, siamini maneno haya ya Chande na Tume yake.
Kama ni hivyo, basi hii tume ituonyeshe angalau picha moja ya waandamanaji wa 29 October wamebeba silaha za moto...
Huko Mashariki ya Kati mambo yanazidi kupamba moto katika huu mgogoro unaoendelea kati ya Marekani, Israel na Iran. Lakini safari hii, kuna sarakasi mpya imeibuka ambayo inaacha maswali mengi kuliko majibu, na inamuhusisha moja kwa moja Rais wa Marekani, Donald Trump.
Kwa mujibu wa ripoti mpya...
Utawala wa Iran unaongozwa na serikali ya kiislamu ya Ayatollah Ali Khamenei uliza zaidi ya waandamanaji 32,000 huko Iran. Umoja wa Mataifa mashirika ya kutetea haki za Binadamu na assailant za Serikali wote wako kimya hapo ndipo utaiona UNAFIKIRI wa walimwengu...
Utawala wa Iran chini ya utawala wa jiislamu umewaua waandamaji zaidi ya 12,000 baada tu ya kuzima mitandao nchi nzima
Hii inaonyesha ni jinsi gani utawala huo usivyo na huruma jwa watu wake wenyewe!! Na umeonyesha ni jinsi gani utawala huo ni wa kikatili.
Ayatollah ameonywa athubutu kuua hao waandamanaji, atashushiwa mavitu na kuwahishwa kule kwa mabikira, aache watu waikomboe nchi yao kutoka kwa uzombi wa dini.
=======================================
Trump warns Ayatollah ‘we will start shooting if you do’ as Iran rocked by another night of...
Taarifa za karibuni ni kwamba waandamanaji wamefanikiwa kumwua afisa wa juu wa jeshi la polisi, mmoja wa watoa amri kwa maafisa wa chini. Afisa wa polisi aliyeuawa ni Luteni Shahin Dehghan.
Naonawananchi wa Iran wameamua kupambana na mzizi wa fitina badala ya polisi wa kawaida.
Na hakika, kama...
Binafsi naungana na Trump kuwaonya viongozi wote katiri, wenye kiburi na wasioheshimu haki za wananchi wao.
Mwaka 2019, wananchi wa Venezuela waliandamana kupinga matumizi mabaya ya mali za umma, utekaji, kupotea kwa wakosoaji, ukosefu wa ajira na utawala wa sheria, Maduro aliwajibu...
Maandamano dhidi ya gharama kubwa ya maisha nchini Iran yameenea hadi vyuo vikuu kadhaa, huku wanafunzi wakijiunga na wafanyabiashara na wauzaji wa masoko (bazaars), vyombo vya habari vya serikali vimeripoti. Serikali imesema iko tayari kufanya mazungumzo na waandamanaji. Sarafu ya Iran (rial)...
Juzi tumesikia vijana wawili wa kikatoliki kuandika barua kwenda wa Papa dhidi ya Msema haki Pd.Dr Kitima guru wa Sheria ndani ya kanisa Katoliki la Mitume.
Vijana wale kutoka Parokia mojawapo sikuwasikia wakiandika barua kwenda kwa Papa wakati Father anashambuliwa na madhulumati.
Vijana wale...
Imetoka kwenye official page ya X-Twitter ya Hilda Newton
===============================================
TAARIFA KUTOKA KWA MMOJA WA POLISI MWANDANI WETU OYSTERBAY POLICE STATION - DSM
Kuna ofisa wa Jeshi la Polisi anaitwa Hamza, anashikiliwa kituo cha Polisi Oysterbay tangu Novemba 6...
Mbeya wanaendelea kukusanyika wananchi watatulia madai yao yakisikilizwa Ila vitisho haviwezi kuwatuliza.
Wamebeba mbango yanayosomeka:
Uchaguzi urudiwe
Tume huru
Utekaji NO
Samia must go
Free Tz
Baada ya kuona hakuna njia za kujipenyeza ili mkafanye uhalifu kwa kisingizio cha maandamano waandamanaji na wao wamekubali kutii mamlaka kwa kukaa majumbani.
Neno langu la Disemba 9 naombeni bakieni nyumbani, mimi sitaki kuvunjiwa moyo tena sipendi kuona vijana wangu muwawe. Nipo upande wenu Gen Z wa Tanzania tena sana ila njia za mabadiliko bora ni njia za kidemokrasia Bongo zozo
Hivi wanajielewa kweli? mbona kama majinga hivi
Yani wanaitisha press halafu wanaongea ujinga na kutoa vitisho.
==========
Chama Cha Mabondia nchini kimeomba serikali iwaruhusu na iwape mavazi maalumu ya kuvaa ili wakakabiliane na Wananchi watakaojitokeza kuandamana tarehe 9 mwezi huu.
Nchi nyengine zina tutambua kama waandamanaji lakini serikali haramu inatutambua kama wahaini huku wauwaji na watekaji ikiwanyamazia.
Watake wasitoke watajijua wenyewe sisi tutakinukisha.
Kauli kama hiyo inaonyesha mtazamo wa utawala wa mabavu badala ya utawala wa sheria na haki. Huu ni mtazamo wa hofu, ukandamizaji, na ukosefu wa majadiliano ya kidemokrasia. Tuchambue kwa kina:
1. Sababu ya kutumia “nguvu kubwa” kwa sababu waandamanaji walitumia nguvu kubwa:
Ni kisingizio...
Kauli kama hiyo inaonyesha mtazamo wa utawala wa mabavu badala ya utawala wa sheria na haki. Huu ni mtazamo wa hofu, ukandamizaji, na ukosefu wa majadiliano ya kidemokrasia. Tuchambue kwa kina:
1. Sababu ya kutumia “nguvu kubwa” kwa sababu waandamanaji walitumia nguvu kubwa:
Ni kisingizio...
Najua Ubalozi wa Marekani mpo Active JF
Kwa kuwa Serikali ya Marekani imetoa tamko rasmi kuoneshwa kuguswa na ushenzi unaofanywa na Serikali ya CCM na Samia dhidi ya Watanganyika sasa tunawasiliaha maombi rasmi kwa Rais Trump atume jeshi lake lije kulinda Waandamanaji tunaotarajiwa kuandamana...
“Tunaapa kuilinda nchi hii na mipaka yake, kulinda usalama wa raia na mali zao. Na katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.