waandamanaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    Serikali ya kiislamu ya Iran iliua waandamanaji 32,000 na dunia iko kimya!!!

    Utawala wa Iran unaongozwa na serikali ya kiislamu ya Ayatollah Ali Khamenei uliza zaidi ya waandamanaji 32,000 huko Iran. Umoja wa Mataifa mashirika ya kutetea haki za Binadamu na assailant za Serikali wote wako kimya hapo ndipo utaiona UNAFIKIRI wa walimwengu...
  2. Echolima1

    Iran imeua waandamanaji 12,000 baada ya kuzima Internet nchini humo

    Utawala wa Iran chini ya utawala wa jiislamu umewaua waandamaji zaidi ya 12,000 baada tu ya kuzima mitandao nchi nzima Hii inaonyesha ni jinsi gani utawala huo usivyo na huruma jwa watu wake wenyewe!! Na umeonyesha ni jinsi gani utawala huo ni wa kikatili.
  3. MK254

    Trump aionya Iran dhidi ya kuua waandamanaji, asema USA itashambulia

    Ayatollah ameonywa athubutu kuua hao waandamanaji, atashushiwa mavitu na kuwahishwa kule kwa mabikira, aache watu waikomboe nchi yao kutoka kwa uzombi wa dini. ======================================= Trump warns Ayatollah ‘we will start shooting if you do’ as Iran rocked by another night of...
  4. H

    Afisa wa Cheo cha juu wa Jeshi la Polisi Auawa Iran, Kulipiza Kisasi cha Mauaji ya Polisi kwa Waandamanaji

    Taarifa za karibuni ni kwamba waandamanaji wamefanikiwa kumwua afisa wa juu wa jeshi la polisi, mmoja wa watoa amri kwa maafisa wa chini. Afisa wa polisi aliyeuawa ni Luteni Shahin Dehghan. Naonawananchi wa Iran wameamua kupambana na mzizi wa fitina badala ya polisi wa kawaida. Na hakika, kama...
  5. Q

    VIDEO: Trump yupo sahihi, Maduro alituma magari ya polisi kuwakanyaga waandamanaji waliomkosoa

    Binafsi naungana na Trump kuwaonya viongozi wote katiri, wenye kiburi na wasioheshimu haki za wananchi wao. Mwaka 2019, wananchi wa Venezuela waliandamana kupinga matumizi mabaya ya mali za umma, utekaji, kupotea kwa wakosoaji, ukosefu wa ajira na utawala wa sheria, Maduro aliwajibu...
  6. R

    Serikali ya Iran yatoa wito wa mazungumzo na waandamanaji

    Maandamano dhidi ya gharama kubwa ya maisha nchini Iran yameenea hadi vyuo vikuu kadhaa, huku wanafunzi wakijiunga na wafanyabiashara na wauzaji wa masoko (bazaars), vyombo vya habari vya serikali vimeripoti. Serikali imesema iko tayari kufanya mazungumzo na waandamanaji. Sarafu ya Iran (rial)...
  7. Life2

    Barua ya kauli kuchinja waandamanaji inaelekezwa wapi?

    Juzi tumesikia vijana wawili wa kikatoliki kuandika barua kwenda wa Papa dhidi ya Msema haki Pd.Dr Kitima guru wa Sheria ndani ya kanisa Katoliki la Mitume. Vijana wale kutoka Parokia mojawapo sikuwasikia wakiandika barua kwenda kwa Papa wakati Father anashambuliwa na madhulumati. Vijana wale...
  8. The Palm Beach

    Tetesi: Hilda Newton: Afande Hamza, aliyeua mamia ya waandamanaji 29/10 - 3/11/ ni kichaa. Anaropoka siri zao ovyo. Amefungiwa chumba maalumu Police Oysterbay

    Imetoka kwenye official page ya X-Twitter ya Hilda Newton =============================================== TAARIFA KUTOKA KWA MMOJA WA POLISI MWANDANI WETU OYSTERBAY POLICE STATION - DSM Kuna ofisa wa Jeshi la Polisi anaitwa Hamza, anashikiliwa kituo cha Polisi Oysterbay tangu Novemba 6...
  9. R

    PostGE2025 Video: Waandamanaji Mbeya wanaendelea kukusanyika na mabango

    Mbeya wanaendelea kukusanyika wananchi watatulia madai yao yakisikilizwa Ila vitisho haviwezi kuwatuliza. Wamebeba mbango yanayosomeka: Uchaguzi urudiwe Tume huru Utekaji NO Samia must go Free Tz
  10. Ponjoro wa Kinondoni

    PostGE2025 Video: Gen Z Mwanza waandamana, wafikisha mabango yenye ujumbe kwa JWTZ

    Hii ndio hali huko Mwanza vijana wakiandamana kwa amani barabarani, wengine wakitoa dukuduku zao mbele ya Jeshi la Wananchi (JWTz)
  11. Cyclopedia

    Hatimaye Waandamanaji wameamua kurusha taulo

    Baada ya kuona hakuna njia za kujipenyeza ili mkafanye uhalifu kwa kisingizio cha maandamano waandamanaji na wao wamekubali kutii mamlaka kwa kukaa majumbani.
  12. stakehigh

    Bongo zozo: Disemba 9 naombeni bakieni nyumbani, sipendi kuona vijana wangu muuawe

    Neno langu la Disemba 9 naombeni bakieni nyumbani, mimi sitaki kuvunjiwa moyo tena sipendi kuona vijana wangu muwawe. Nipo upande wenu Gen Z wa Tanzania tena sana ila njia za mabadiliko bora ni njia za kidemokrasia Bongo zozo
  13. Mafyangula

    PostGE2025 Mabondia watangaza kuwapiga waandamanaji Desemba 9

    Hivi wanajielewa kweli? mbona kama majinga hivi Yani wanaitisha press halafu wanaongea ujinga na kutoa vitisho. ========== Chama Cha Mabondia nchini kimeomba serikali iwaruhusu na iwape mavazi maalumu ya kuvaa ili wakakabiliane na Wananchi watakaojitokeza kuandamana tarehe 9 mwezi huu.
  14. Genius Man

    Nchi nyingine zinatutambua kama waandamanaji lakini Serikali yetu inatuona kama wahaini huku wauaji na watekaji ikiwanyamazia

    Nchi nyengine zina tutambua kama waandamanaji lakini serikali haramu inatutambua kama wahaini huku wauwaji na watekaji ikiwanyamazia. Watake wasitoke watajijua wenyewe sisi tutakinukisha.
  15. KEKO JUU

    Kauli ya kuwa “tumejipanga kuwakabili waandamanaji wakati wowote”

    Kauli kama hiyo inaonyesha mtazamo wa utawala wa mabavu badala ya utawala wa sheria na haki. Huu ni mtazamo wa hofu, ukandamizaji, na ukosefu wa majadiliano ya kidemokrasia. Tuchambue kwa kina: 1. Sababu ya kutumia “nguvu kubwa” kwa sababu waandamanaji walitumia nguvu kubwa: Ni kisingizio...
  16. KEKO JUU

    Kauli ya kuwa “tumejipanga kuwakabili waandamanaji wakati wowote”

    Kauli kama hiyo inaonyesha mtazamo wa utawala wa mabavu badala ya utawala wa sheria na haki. Huu ni mtazamo wa hofu, ukandamizaji, na ukosefu wa majadiliano ya kidemokrasia. Tuchambue kwa kina: 1. Sababu ya kutumia “nguvu kubwa” kwa sababu waandamanaji walitumia nguvu kubwa: Ni kisingizio...
  17. Lord Denning

    PostGE2025 Tunaomba Jeshi la Marekani lije kulinda Waandamanaji Desemba 9 kuepuka mauaji mengine ya halaiki

    Najua Ubalozi wa Marekani mpo Active JF Kwa kuwa Serikali ya Marekani imetoa tamko rasmi kuoneshwa kuguswa na ushenzi unaofanywa na Serikali ya CCM na Samia dhidi ya Watanganyika sasa tunawasiliaha maombi rasmi kwa Rais Trump atume jeshi lake lije kulinda Waandamanaji tunaotarajiwa kuandamana...
  18. DuaZaMama

    PostGE2025 Rais Samia: Nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo. Ilikuwa tuwaangalie waandamanaji waliojiandaa kufanya mapinduzi mpaka wafanikiwe?

    “Tunaapa kuilinda nchi hii na mipaka yake, kulinda usalama wa raia na mali zao. Na katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
  19. Genius Man

    Nimesikia polisi wanasema waandamanaji wanaandamani minara D9 kama waliuwa watu hawashindwi kuharibu minara ili internet izimwe

    Nimesikia polisi wanasema waandamanaji wanaandamani minara Niseme ukweli watanzania hawadai minara wala maandamano hayahuusiani na minara ukisikiona minara imeharibiwa ujue polisi ndio wameharibu kama wameuwa watu kuharibu minara hawashindwi ili kukosekana kwa internet Hata hivyo kuharibu...
  20. Genius Man

    Waandamanaji kulipwa si kosa la jinai wala hukumu yao sio kifo

    Waandamanaji kulipwa ili waandamane haliwi kosa la jinai wala hukumu yao sio kifo, kuandamana sio kosa Tanzania. Niki kulipa ili uandamane sio kosa kwasababu maandamano ni halali kisheria, Huu uzushi waliokuja nao kuwa waandamanaji wamelipwa ni sawa na kusema watu wamelipwa ili kuoga, kuoga na...
Back
Top Bottom