waajiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania NSSF: Msamaha wa Tozo za Madeni kwa Waajiri

    NSSF imetangaza msamaha kwa waajiri wenye malimbikizo ya michango na tozo kwa kuzingatia masharti yafuatayo; Waajiri watakaolipa malimbikizo yote ya michango ya wanachama (principal amounts) kabla au ifikapo 31 Agosti 2026, na kuendelea kulipa michango kwa wakati mpaka ifikapo 31 Desemba, 2026...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya miezi ya “Unremitted” katika michango ya PSSF inatusumbua Wanachama

    Kuna changamoto kubwa katika ufuatiliaji wa mafao ya PSSF. Kwa nini baadhi ya miezi huonekana kama unremitted wakati mfanyakazi anapochapishiwa Contribution Summary? Mara nyingi unakuta kuna miezi kadhaa ambayo michango yake haionekani. Kinachosikitisha zaidi ni kwamba ukienda PSSF unaelekezwa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa Kampuni ya Lake Lubes ya Kigamboni, Vijibweni tunalipwa chini ya kiwango

    Ni kuhusiana na agizo la serikali kuhusu kima cha chini cha mshahara kuwa shilingi 308,000. Pamoja na maelekezo hayo kutolewa na kurudiwa mara kadhaa, kuna baadhi ya makampuni bado hayatekelezi kabisa. Mfano, kampuni ninayofanyia kazi—Lake Lubes iliyopo Kigamboni, Vijibweni—hadi leo hawajaongeza...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Watu wanaanza kuzoea risasi. Tunakokwenda siyo kuzuri. Watawala kuweni wasikivu. Wasikilize wananchi ambao ndio waajiri wenu

    Wasikilize washajitoa mhanga! Hiki si kiashiria kizuri. Mtaua wangapi?
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Mwigulu tunaona unatufokea kisa hatuwasapoti wasanii. Kama wanakufa njaa waajiri kwenye mabasi yako wawe wanapiga show

    Mwananchi huyu amemchana Waziri Mkuu Mwigulu baada ya kauli yake kuhusu wasanii kutoungwa mkono na wananchi. Amesema; "Tunaona unatufokea kisa hatuwasapoti wasanii. Sasa, kama unaona kwamba wasanii watakufa njaa na mliweza kuwaajiri wakati wa kampeni, hata sasa hivi unaweza ukawaajiri kwenye...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waajiri wetu wametuambia tufungue account nyingine waingize mshahara, CRDB hovyo

    Kumbe hii CRDB ndo inaendelea kutuletea matatizo mpaka Leo , ndoa Sasa zitavunjika, wengine tarehe za kupewa mshahara zimefika, ila waajiri Kila wakijaribu kuhamisha mishahara kwenye account zetu za CRDB Zina baunce, hivyo Sasa tumeelekezwa kufungua account bank nyingine , au tulete account...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wazungu waongoza kuwa waajiri bora zaidi duniani

  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hivi kwenye ajira, waajiri huwa wanaangalia nini zaidi?

    Wakuu! Hebu tupeane uzoefu kidogo Hivi kwenye ajira, waajiri huwa wanaangalia nini zaidi? wakati wa interview ya Kazi? ✅ CV yako ilivyoandikwa? ✅ Uzoefu wako kazini? ✅ Ufaulu/GPA yako? ✅Kipaji? ✅ Au chuo ulichosoma?
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shirika la Uwakala Wa Meli Tanzania (TASAC) kutangaza ajira mpya bila ya kuwarudisha baadhi ya waliokuwa wafanyakazi wake sio sawa

    Wasalaam , Ikumbukwe kwamba Mwaka 2022 TASAC iliachana na waliokuwa wafanyakazi wake wa vibarya (casual labor) kutokana na kubadilishwa majukumu yake kisheria na Mkurugenzi alitolea ufafanuzi suala hilo, vvyo hivyo, Mwaka 2023 iliamua kuachana na Wafanyakazi wake waliokuwa wameajiriwa na...
  10. Daby

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya wafanyakazi na waajiri makazini

    Wafanyakazi wengi hutaka maisha yao yafanane na ya waajiri wao baada ya kuanza kufanya kazi ndani ya muda mfupi. Waajiri kutaka maisha ya wafanyakazi wao kubakia yalivyo miaka na miaka. Hasa waajiri wa kutokea Asia.
  11. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Waajiri wathamini taaluma ya uandishi wa habari- Dkt. Mkoko

    Na Mwandishi Wetu. BODI ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imesema kama vile Serikali inavyothamini taaluma ya Uandishi wa Habari na Waandishi wenyewe, ndivyo ambavyo waajiri/wamiliki wa vyombo vya habari wanavyotakiwa kuwapa thamani wanayostahili. Akizungumza katika mahojiano na kituo...
  12. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali itangaze ijumaa siku ya mapumziko kuruhusu waajiriwa kushiriki zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura

    Wakuu, Kwa hii foleni niliyoiona huku kwenye vituo vya kujiandikishia sidhani kama zoezi litafanikiwa hapa Dar es Salaam kwa siku saba kama ilivyopangwa. Kwanza wananchi wengi wanakua makazini Jumatatu-Ijumaa kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni. Serikali nayo imeweka muda...
  13. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais, Utumishi imewaagiza waajiri wa taasisi za umma kuwarudisha kazini watumishi wanaoshinda mashauri ya rufaa za kinidhamu

    OFISI ya Rais ,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imewaagiza waajiri wa taasisi za umma kuwarudisha kazini watumishi wanaoshinda mashauri ya rufaa za kinidhamu kadiri ya maelekezo yaliyotoka kwenye Tume ya Utumishi wa Umma. Naibu Waziri wa Ofisi hiyo, Deus Sangu ametoa agizo hilo...
  14. comte

    JamiiForums Tanzania Waajiri marekani wawashtukia wahitimu wa vyuo vikuu-wanaamaarifa tu bila ujuzi

    https://americafirstpolicy.com/issues/eliminating-degree-requirements-from-public-sector-job-requirements
  15. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Ukiwa muajiriwa wa sekta binafsi punguza majivuno

    Sekta binafsi ndo inaongoza kwa kutoa ajira nchini na hata duniani kote lakini ukiwa muajiriwa wa sekta binafsi amini kwamba kesho asubuhi unaweza amka ukaenda ofisini kisha ukakuta barua yako ya kuachishwa kazi iko mezani inakusubiri Jambo lingine ni kwamba ukiwa muajiriwa wa sekta binafsi...
  16. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya waajiri wana tabia ya kuomba vitu vingi sana kwa mtu alietuma maombi ya kazi

    Kuna baadhi ya waajiri wana tabia ya kuomba vitu vingi sana kwa mtu alietuma maombi ya kazi Mfano kuna taasisi flani waliwahi kutangaza kazi lakini kwenye usaili wanakuambia uende na barua tatu za wadhamini wakiwa wameambatanisha na barua zao za utambulisho toka serikali ya mtaa pamoja na copy...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Kikeke katumwa na kufadhiliwa kimkakati na waajiri wake wa zamani?

    Kikeke nikimuangalia kama simuamini sana, ila muda utaongea, namuona kama pandikizi la kimkakati, ngoja tuone na chombo chake kinachofanana na kofia ya watawala wa alikotoka- I mean kwa muajiri wake wa zamani
  18. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Ridhiwani Kikwete afanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Ndomba Doran

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Ndomba Doran aliyeongozana na Meneja wa Kanda ya Kati wa ATE, Bw. Leonard Mapha...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Je, Waajiri wanatimiza sehemu yao kuhakikisha akina mama wanapata muda wa kunyonyesha wawapo kazini?

    Je, Wajua unyonyeshaji ukifanyika ipasavyo, uwezekano wa Mtoto kupata Magonjwa hatari ya kuambukizwa au kuugua mara kwa mara hupungua na hivyo kupunguza Vifo vya Watoto? Hata hivyo, tafiti mbalimbali zinaonesha baadhi ya Wanawake wanaonyonyesha wakiwa katika ajira wamekuwa wakishindwa...
  20. Titicomb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga waajiri kocha wa free kicks, na penalty shoots

    Kama Yanga wanataka kubeba kombe la Club Bingwa Africa lazima wafanyie kazi udhaifu uliopo kwenye upigaji penati na mipira ya adhabu. Gamond ni bonge la kocha lakini si mzuri kwenye hizo sehemu nilizotaja. Kama timu inataka kuingia kwenye kuwa professional football club iliyo kamilika inabidi...
Back
Top Bottom