waajiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Bora uuze mayai au uuze utu wako kwa waajiri?

    Vijana mnalochaguo moja tu Tanzania. Aidha, ujiajiri ubaki kusimamia unachoamini kwa utashi wako Ni sahihi au uajiriwe uelekzwe nini uamini na kutenda. Awali tumejionea vijana wasio na miradi yakueleweka walivyonyanyaswa. Na kundi hili kwa kuona aibu kila likisikia njaa likiwa upande mmoja...
  2. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Waajiri wanahangaika kutafuta wafanyakazi

    Ulaya na Marekani kumeanza kujitokeza uhaba wa waajiriwa! Nirudie tena: Sio uhaba wa kazi, bali uhaba wa wanaotafuta kuajiriwa. Swali ni kuwa: Watu wameenda wapi? Makala moja iliyopostiwa juzi tarehe 14/9 inasema: A survey of nearly 45,000 employers across 43 countries showed 69 per cent of...
  3. Hell is real

    JamiiForums Tanzania Kwanini waajiri wengi hawapendi house girl wenye watoto?

    Habari wakuu!! Siku hizi kuna uhaba mkubwa wa house girl, waajiri wengi hawapendi wadada wenye watoto, tatizo ni nini??? Wakati hiyo ni kazi kama kazi zingine. Kwa upande wangu mm naona huu ni ubaguzi na unyanyasaji Kwenye swala nzima la ajira!!!
  4. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini waajiri wengi wanaamini vyeti?

    Hasa shule hizi za watu binafsi wanaamini sana vyeti. Unaweza kuta mtu alimaliza form four akapata A's za physics na mathematics lakini akaamua kwenda kusoma HGL just kwa kupenda tu lakini siyo kwa kufeli. Ila unakuta labda uliamua kusoma sheria na huna ajira na baadae ukaamua uaply kufundisha...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Namna bora ya Waajiri kuwakomboa Watumishi wao na kadhia ya madeni katika Taasisi za Kifedha

    Utangulizi Kwa muda mrefu kumekuwapo na kilio cha watumishi wa umma na taasisi za binafsi wakilalamikia masharti magumu wanayokumbana nayo katika taasisi za kifedha nchini ikiwemo riba kubwa za mikopo wanayoomba kwenye taasis hizo. Mabenki na taasisi hizo humvutia mkopaji kwa kumuwekea...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waajiri katika swala la matangazo ya ajira

    Mimi ni kijana mtanzania ambaye nimemaliza elimu ya chuo kikuu kada ya ualimu wa sayansi na nimehudhuria usaili mara kadhaa na leo nataka nizungumzie swala la matangazo ya ajira kwa taasisi zinazotoa ajira. Ajira ni changamoto ambayo inatukabili vijana wengi sana na inapotokea tangazo la ajira...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wito wa waajiri ambao wanatuma matangazo ya ajira ili hali tayari wana mtu wa kujaza nafasi hiyo

    Mimi ni kijana mtanzania ambaye nimemaliza elimu ya chuo kikuu kada ya ualimu wa sayansi na nimehudhuria usaili mara kadhaa na leo nataka nizungumzie swala la matangazo ya ajira kwa taasisi zinazotoa ajira. Ajira ni changamoto ambayo inatukabili vijana wengi sana na inapotokea tangazo la ajira...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania wananchi tunawaogopa viongozi badala ya Sheria? Je, viongozi hawawaheshimu waajiri wao ambao ni wananchi?

    Nimekuwa nikijiuliza mawaswali mengi pamoja na hayo ya utanguzi. Je, hii inatokana na Katiba mbovu? Au wananchi hatuzijui haki zetu ndani ya Katiba? Viongozi Wana kiburi Cha madaraka? Maana tunatofauti na majirani zetu hata waganda wanatuidi japokuwa mu7 ana watawala kwa mkono was chuma...
Back
Top Bottom