waafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Tusisingizie Ukoloni, Waafrika tunafeli wapi, tunashindwa vipi kuwa na nchi hata moja ya kutuwakilisha kwenye nchi 50 zenye maendeleo duniani?

    Kama ni ukoloni nchi nyingi sana zilikuwa colonised ila leo zipo mbali Navyosema nchi zilizioendelea ni watu kwa ujumla kujiweza kiuchumi kuweza kuishi maisha standard, kuwepo kwa huduma za kijamii, elimu inayosaidia jamii, amani, n.k. Kwa hapa Africa imekuwa ngumu sana, Kuna matajiri lakini...
  2. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Waafrika kujikuta tunaishi Afrika Wala si Bahati mbaya,ni sahihi kabisa na tena tushukuru

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kuna wakati huwa nalaumu sana lakini kwakuwa nina IQ kubwa,nimekuja kugundua sisi waafrika kujikuta tupo kwenye hili Bara la Afrika,ni jambo ambalo inapaswa Tushukuru usiku na mchana! Bara la Afrika ni bara ambalo linaendana sawia na akili ya...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Kenya asema biashara na China imeboresha maisha ya Waafrika

    Biashara inayokua kati ya nchi za Afrika na China katika miaka 15 iliyopita imetumika kama kichocheo cha ajira na kuinua kiwango cha maisha katika bara la Afrika. Katika mahojiano na Shirika la Habari la China Xinhua, Profesa Xn iraki wa Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya amesisitiza nafasi...
  4. Annie X6

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Trump ametoa hotuba ya kibaguzi dhidi ya waafrika na Waarabu

    "HOTUBA YA DONALD TRUMP KUHUSU KWA NINI ANAWACHUKIA WAAFRIKA NA WAARABU". Hatulazimiki, hata kwa sekunde moja, kujaribu kuthibitisha kwa mtu yeyote na hasa kwa weusi na Waarabu kwamba sisi ni watu bora zaidi - tumedhihirisha hilo kwa weusi na Waarabu kwa njia 1001. Marekani tunayoijua leo...
  5. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Wazungu ni wa hovyo kuliko sisi Waafrika

    Wazungu pamoja na kwamba tunaona ni wastarabu na ndio walituletea ustarabu lakini upande mwingine wa shilling mambo mengine wafanya kama hamnazo na jaribu kuainisha na wewe uandike zako. Mfano. 1.Mtu na mke wa ndoa kugoma kuzaa kisha wanataka ku enjoy lakini wana asili mtoto 2.Kuoa mke zaidi ya...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Waafrika wanaoshangilia ushindi wa Trump kwa sababu ya misaada kupunguzwa ni wavivu wa kufikiri.

    Kuna kundi kubwa la Waafrika waliofurahia na kushangilia sana ushindi wa Trump, kila nikisikia au nikisoma sababu wanazozitoa kumuhusudu Trump naona kama mfumo wao wa umeme kichwani una hitilafu, Tuangalie hoja moja ya kupunguzwa msaada na utegemezi wetu kwa mfano Wale wanaosema misaada ya US...
  7. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kuamini ulegelege wetu Waafrika kama Bara katika maendeleo unatokana na wastani wa IQ ya umma (population) kuwa chini Sana

    Katika chimba-chimba yangu ya kulielewa hili bara na kwanini tupo hivi (ukiondoa lawama za "mkoloni" ambazo hazina mashiko kwa Karne hii) nimekuja kugundua ikija katika masuala ya IQ ya umma wetu aisee inahitaji nguvu ya ziada kuipandisha Hadi Sasa nimetambua Kuna classification tatu za...
  8. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ukoloni na Umisionari umechangia kustaarabisha na kuiunganisha Afrika kuliko Waafrika wenyewe (sisi)

    Najua nitakachoandika hapa kitaleta ukakasi kwa watu wengi, lakini ukweli lazima usemwe. Wakoloni kutoka Magharibi walitumia nguvu zao za kijeshi na kiuchumi kutanua himaya zao, wakitafuta rasilimali na maeneo ya kutawala kote duniani. Walivuka bahari na kufika mabara mbalimbali, wakifanya...
  9. incredible terminator

    JamiiForums Tanzania Waafrika tunapalilia shamba tusilotaka kulivuna

    Ukweli ni kwamba maisha tunayoishi leo ni matokeo ya maandalizi ya Jana, Tulichokiishi Jana ndio kina aksi maisha ya leo. Ni ukweli kwamba kile tunachokiita laana na Dhambi kubwa kufru na ushetani hakijaibuka from no'where na kuchipua kwa kasi hadi kufikia hatua ya kushangaza, Bali ni matokeo...
  10. Richard

    JamiiForums Tanzania Zijue kazi 16 za kishenzi ambazo zalipa mapesa Ulaya na Marekani na ambazo kwa waafrika waweza kuziiga na kuzifanya Tanzania.

    Kazi hizi ni zile ambazo ni chafu na zingine zina vyeti na zimo katika mfumo rasmi ulowekwa na wazungu ambazo zingine zalipa kishenzi. Nimetumia neno kazi za kishenzi kutokana na mazingira ya kazi hizi na aina ya watu wanozifanya ambao wengine ni watu waso na familia au wenye aina fulani ya...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ipi ni sababu inayofanya Weusi walio nje ya Afrika kuwa mabingwa na Magwiji sana kwenye vipaji vyao tofauti na walioishi Afrika

    HIVI UNAJUA YA KWAMBA🌚 -Tupac Amaru Shakur, Yote aliyoyafanya ikumbukwe kuwa alifariki akiwa na miaka 25 tuu😃 -Michael Jackson akiwa na miaka 24 aliunda Album ya Thriller ambayo ndo albamu bora zaidi kwenye historia ya Muziki Duniani😃... -Bob Marley alipata umaarufu duniani kote... akitamba na...
  12. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Waafrika vitu vingine tuachie wazungu tu 🤣🤣

    Lazima waote hawa usiku
  13. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania waafrika tunafeli wapi?

    vita ya kikanda ya inayopiganwa ulaya iliitwa vita ya dunia vita ya pili nayo inajumuishwa kuwa ni ya kidunia mikataba wanayotunga wao inajulikana kama mikataba ya kimataifa huku kwetu tukipigana kidogo wanaingilia kati ila kwao wanatafuta upande wa kujiweka huku wanasapoti vita. tunachofeli...
  14. ranchoboy

    JamiiForums Tanzania Huenda waafrika wengi hawakufikia hatua ya kuitwa homo sapiens

    Wakuu habari za muda huu. Natumaini wote ni wazima. Leo nimejaribu kupita Facebook ukurasa wa JamiiForums nikakutana na habari ya inayo lihusu taifa la BurkinaFaso kufuta baadhi ya leseni za uchimbaji madini kwa baadhi ya makampuni ya kigeni na kuanza kuchimba wenyewe "Tunajua jinsi ya...
  15. Kaunara

    JamiiForums Tanzania Waafrika Upendo wa Dhati hatuna

    Kiukweli sisi waafrika hatuna upendo kabisa. Ni kitu ambacho kama tunajilazimisha tu kuwa nacho ila ndani yetu hakipo. Sio kwa wote ila kwa wengi wetu hatuna upendo. Badala ya upendo mwafrika kaumbiwa sifa. Aisee sisi watu tunapenda sifa haijawahi tokea duniani. Angalia tu misafara ya viongozi...
  16. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kwa haya tunayofanyiana Waafrika nakuja kuona hotuba ya P.W. Botha ilikuwa ina mashiko kwa kiasi fulani

    Although Botha alikuwa ni mbaguzi juu ya watu weusi South Africa lakini zaidi ya miaka 30 baadae unakuja kuona alikuwa sahihi katika baadhi ya vipengele katika hotuba yake. Baadhi ya vipengele vya hotuba yake: "Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa...
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Refinery ya Dangote ni ushindi mkubwa kwa Waafrika

    Baada ya vita kali toka mwaka 2013 hatimaye refinery ya Dangote imeanza kazi. Mwaka 2013 Dangote alitangaza kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta. Gavana wa jimbo alilotaka kujenga akataka rushwa, ikabidi ahamishie kiwanda huko Lagos. Kimeanza kujengwa mwaka 2016 na kukamilika 2023-2024 kwa...
  18. Msanii

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana pager kuwa chanzo cha kifo cha rais wa Iran?

    Rais wa Iran, Raisi na yeye alionekana kuwa anatumia pager kabla ya kifo chake. Sasa umezuka uvumi kuwa inawezekana hata kifo chake cha ajali ya ndege kinaweza kuwa kilisababishwa na mlipuko wa pager iyo. Waisrael ni wajanja mno? Ni kama popobawa ambaye anakukula usiku kisha anapiga kimya...
  19. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Salam Kutoka Marekani: Waafrika wakaandaa tukio la kutuunganisha

    Basi ndugu zangu, tulikuwa na tukio la kutukutanisha watu wa Afrika kwa hapa nilipo. Tukakutana kupata muziki wa kiafirka na vyakula vya kiafrika. Tumekula Fufuu, Jolof, wali nk. Tukasikiliza mziki mzuri wa kiafrika takriban kutoka kila eneo. Mzee wenu kwenye kumwaga miuno niko vizuri...
  20. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Mimi sio motivatonal speaker ila nina uhakika zifuatazo ndizo sababu kuu za sisi Waafrika kuwa na maendeleo duni ya kifikra na mali.

    Kuna wakati nilihisi tumelaanika, kuna wakati nilihisi ndivyo tulivyopangiwa kuwa. Kuna wakati nilihisi mafanikio tunayoyasaka ni mipangilio ya mzungu alioleta labda hii ligi sio yetu kwa maana asili yetu ilikuwa ni bush kufanya hunting and gathering. Lakini i was wrong, Sio kwamba sisi ni...
Back
Top Bottom