waafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Time after time Waafrika tunachukulika kirahisi na uchumi wa nchi zetu kukua kwenye graphs za kwenye makaratasi.

    Mimi sio mwana uchumi, niko tayari pia kuelekezwa na kupigwa ILA, Ila naamini Uchumi sio hesabu. Haya ma-graphs ni techniques za serikali zetu kujionesha wanafanya jambo. Binafsi naamini kipimo bora cha uchumi ni kupima ukuaji wa ubora wa maisha wa jamii masikini sana kulingana na huduma...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Waafrika hatuna kisingizio cha maendeleo yetu duni, Mwafrika ana tamaa, mbinafsi na akishiba hamjui mwenye njaa,

    Wala hakuna kisingizio cha ukoloni, nchi kibao zikiwemo india, korea kusini, China, n.k. zilitawaliwa lakini leo zipo mbali mno Msione kuna hizi kelele za viongozi wanasema nchi ipo salama, uchumi upo vizuri, n.k. Ni kwamba kwao mambo yakiwa mazuri hawana motivation ya kusaidia wengine wenye...
  3. R

    JamiiForums Tanzania LIBERIA 1980: Picha hizi zinatia huruma sana, waafrika tu wanyama! Why all this?

    LIBERIA 1980 Cabinet ministers lined up for execution after a coup d'état in Liberia, 1980 A Liberian army soldier stands ready to execute a former cabinet minister following the 1980 coup. The minister in the photo: Cecil Dennis. On April 12, 1980, Samuel Doe led a military coup, killing...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika wasaidia kutimiza ndoto za Waafrika

    Ushirikiano na uhusiano kati ya China nan chi za Afrika umedumu kwa miongo mingi sasa, na kuzinufaisha pande hizo mbili kidhahiri. China imekuwa mwenzi wa kutegemeka kwa nchi za Afrika, na imetekeleza ama inatekeleza miradi mingi mikubwa ya miundombinu ikiwemo ujenzi wa barabara, reli, bandari...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Waafrika tunaweka juhudu kwenye kuomba Mungu kuliko kujituma kufanya kazi na kuwafundisha watoto ujuzi mbalimbali?

    Kama aliye turoga kajificha mahala,, tafaadhali, ajitokeze aje atugangue uchawi wake,, maana huo uchawi ni hatali sana... waafrika tumekuwa kama mazuzu na mafisi yanayo mfatilia mwadamu nyuma nyumba yakiamini mikono ina tingishika itaanguka na kufaidia minofu! Kuna picha jongeo fupi (clip)...
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, nirudi home kuchukua mke au nitafute mwenza hukuhuku ughaibuni?

    Wakuu niliwaambia kuwa nasafiri lakini mpenzi wangu aligoma kuja nami na ukawa mwisho wa mapenzi yetu kwa kuwa mbali na kuwa alikuwa hataki kuja ughaibuni, pia alikuwa anaona nitatafuta mtu wa mataifa haya ili kuendeleza uzao. Nimeshafika ughaibuni(Kimsingi niko kwa Biden) nimekutana na wabongo...
  7. MrfursaTZA

    JamiiForums Tanzania Waafrika, Kumbukeni Mila na Desturi Zetu

    Waafrika wa leo wamekuwa dhaifu kiasi cha kushukuru na kuthamini viumbe wa mawinguni, ambao hawajawahi hata kuwaona, bali wamesikia tu kupitia watu wengine. Wengi wa watu hao ni wakoloni, wazungu na waarabu, ambao walileta imani hizi. Kondoo wa dini wanapata shida kubwa wanapoulizwa maswali...
  8. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Waafrika bila shaka tunaanza kujitambua

    AMANI INAPIGANIWA UHURU HUPEWI BALI UNAPIGANIWA/AFRIKA WAMEJAA MATAPELI. ✓Julius MALEMA ANAKWAMBIA ya kwamba Mataifa ya Afrika magharibi wakiwa huru na kuachana na Mfaransa basi Mfaransa lazima ataangukia Pua katika Siasa na uchumi WA Dunia/Ufaransa ni matapeli Wa MDA mrefu Sana uko Afrika...
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania TFF mmeruhusu siasa za CCM kwa Mkapa, leo msiwaonee CHADEMA

    Uwanja wa Mkapa kwa muda mrefu Sana umekuwa ni kama jukwaa la CCM la kufanyia siasa zake wakati wa mechi za Mpira wa miguu. Imekuwa ni kawaida Kwa Wana CCM kuingia uwanjani hapo na mabango ya chama Chao au hata wakati mwingine wakiwa wamevaa sare za chama Chao. Hayo yote yakiendelea huku TFF...
  10. Mi mi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EMPIRE OF DUST: Hii nafikiri ni filamu nzuri yenye funzo, kuna jambo mchina akielezea kutuhusu sisi waafrika kupitia Congo

    Tunaweza sote kuitafuta hii filamu. Kupitia video clip niliyoona imenivutia kutaka kujua kiundani zaidi. Hapa mchina akitoa somo fupi kwa huyu mkongo na kwa kiasi kikubwa somo hili ni picha yetu sote waafrika tunafanana mambo sio kongo wala sio Tanzania au Uganda na ni picha halisi ya wachina...
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo waafrika wenzetu wanavyotuona ama hawa waganda wamekuza tu!?

    Kuna hii "Clip" hapo chini ambayo imeigizwa na wale watoto wa Uganda walioigiza jaribio la kuuawa Kwa Donald Trump wa Marekani. Clip hiyo inaonesha utofauti uliopo kati ya wasudan wakiandamana na watanzania wakiandamana. Kwa upande wa Sudan inaonesha hata waandamanaji wakipigwa risasi...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Vijana Waafrika waachane na mawazo mfu yaliyopitwa na wakati ya kulaumu "mabeberu"

    Huku kulaumu watu wa nje kwa matatizo ya sasa ya Afrika ni mawazo yaliyopitwa na wakati yasiyo na tija yoyote, yanahaitaji kukataliwa na kupuuzwa kabisa. Inasikitisha zaidi fikira hizi kuendelea kuwepo na kuaminiwa tena na vijana. Chanzo kikuu cha umaskini wa Africa ya sasa ni utawala mbovu...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Angalia vipaumbele vya Waafrika wapokea misaada Vs Wagawa misaada

    Mmoja ni msafara wa nchi wapokea misaada, misfara mingine miwili ni wagawa msaada Netherlands na Uingereza.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Hoja za African Supremacy waafrika kujisifia ni watu bora zaidi huwa zinanichekesha, ukweli ni kwamba tunashika mkia mambo mengi yena kwa kujitakia

    Tuna uwezo mkubwa kimiujiza, wajerumani wachache waliwaua babu zetu wengi sana waliochanjwa na kinjikitilengwale dawa ya kuzuia risasi. tuna tiba asili zenye nguvu - magonjwa, magonjwa kama malaria, kipindu pindu, ebola inamaliza waafrika wengi mno. Tunapendana, achilia mbali waafrika kuwa...
  15. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waafrika walioshinda Tuzo za BET 2024

    Tuzo za BET zilianzishwa mwaka 2001 na mtandao wa Black Entertainment Television, zikilenga kusherehekea mafanikio ya wasanii weusi na watu wa makundi mengine ya wachache katika muziki, filamu, michezo, na shughuli za kijamii. Hafla hii ya kila mwaka hupeperushwa moja kwa moja kupitia BET na...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Waafrika wasipoondoa mfumo wa kuwakilishwa na Wabunge kamwe wasahau maendeleo

    Habarini, Ni wazi wanasiasa wa Afrika ndio maadui wa maendeleo ya Afrika kwa kuwaibia Waafrika mali na fedha kwa kujilipa mishahara na marupurupu makubwa huku waliwaachw wananchi wao wakiwa maskini wa kutupwa. Nawaunga mkono Kenya kwa kulisambaratisha bunge na kuwasambaratisha wabunge wote...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Waafrika hatuwezi kujisimamia wala kujiletea maendeleo. Tuwalete wazungu watusimamie kwa maelewano

    Nitajie nchi moja tu ya Kusini mwa Jangwa la Sahara yenye maendeleo. Hakuna !! South Africa ni kwa mgongo wa makaburu tatizo ni kwamba Mandela aliwaachia mikataba ile ile ya kikoloni ndiocmaana Waafrika wana hali ngumu sana huko, Nigeria imegeuka kuwa nchi ya kuuana kikabila chungu nzima. Mfano...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mkutano wa Berlin na kuvunjika kwa umoja wa waafrika katika bara letu, je tutukuze mipaka ya ukoloni bila kuungana?

    Ikumbukwe kuwa kabla ya ujio wa wakoloni katika bara la Afrika sisi tulikuwa wamoja kwa kushirikiana katika kila kitu kilicho husiana na Ubuntu wetu kwa kutokuwekeana mipaka katika bara letu. Kwa mfano wangoni chimbuko lao ni South Africa lakini walihama kutoka katika nchi yao kuja mpaka...
  19. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Watu weusi hawajalaaniwa

    Kwa kutokufahamu Maandiko kwa usahihi, baadhi ya watu wanaamini kuwa Mungu aliwalaani watu weusi. Wanawahusisha watu weusi na utomvu wa nidhamu wa Hamu kwa baba yake. Baada ya Hamu kumchungulia baba yake, Noah alimlaani mtoto wa Hamu. Hakumlaani Hamu, alimlaani mjukuu wake, Kanaani, ambaye ni...
  20. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika una faida gani kwa Waafrika?

    Ingefaa kwamba Umoja wa Afrika (AU) ingekuwa kama baba kwa nchi za Afrika. Uwepo wake ulipaswa kunufaisha raia wa nchi wanachama! Pamoja na uwepo wa AU, bado nchi za Afrika zimeendelea kuwa kama watoto wasio na waangalizi. 1. Vita vya wenyewe kwa wenyewe, mfano ilivyotokea Rwanda na baadaye...
Back
Top Bottom