waafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. John Sin

    JamiiForums Tanzania Waafrika tunaweza kuwa kama Waarabu—lakini tunahitaji kujifunza kutoka kwao

    Hebu nichambue kwa kina kila hoja kwa kulinganisha na Waarabu na kutoa mifano ya hivi sasa: 1. Mgawanyiko wa Kikoloni na Umoja wa Kiarabu Waafrika: Ukoloni ulitengeneza mapaka ya kigeni, kuvunja makabila, na kuacha migogoro ya kikabila (mfano: Rwanda, Congo). Hata leo, Watanzania wanaugomvi...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waafrika wanatumia majina ya wazungu na waarabu?

    Je,hata baada ya kujikomboa bado kuna haja ya kutumia majina ya kizungu na kiarabu hadi leo? Je,yana faida au hasara kwetu??
  3. EDIGAR JO

    JamiiForums Tanzania Usilo lijua kuhusu kutokwenda na muda kwa Waafrika

    Nimekuwa mdau mzuri sana wa muda toka nikiwa awali.2006. Nilisoma kwa raha sana nikiwa shule ya msingi Vikonje, Dodoma .Sababu ilonifanya nijione mimi ni bora sana kipindi hiko kwa sababu sikuwahi kukutwa kwenye jopo la waliokosa namba za saa Kumi na mbili na nusu. Nilipofika elimu ya juu ya...
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tangu waafrika tupate uhuru Hadi Sasa hakuna nchi Tajiri iliyofanikiwa

    Tatizo ni ngozi? Ubongo? Au tuliumbwa tuwe masikini na Tegemezi? Au hii sehemu Mungu aliiweka kama mashambani pa dunia watu watoke kwingineko waje wapige pesa na kuondoka. Maana Sasa hivi DUNIANI Kila rangi inayoamua kuendelea duniani inaendelea tena faster isipokuwa hii nyeusi rangi ya...
  5. Fene

    JamiiForums Tanzania Je, Waafrika (Watanzania) tumekurupukia mambo?

    Aje Je Waafrika tumekurupukia mambo au nasi tunapaswa Ukiangalia nchi za wenzetu masuala ya burudani kama vile muziki, mipira na mengineyo yalianza kuwa na nafasi kubwa kwao baada kupiga hatua kubwa za kimaendeleo ya kiuchumi, mapinduzi ya vilimo, mapinduzi ya viwanda Rejea club kubwa...
  6. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore: Huu ndo ujinga na upumbavu wa Waafrika!

    Hivi kwa nini Waafrika hudanganyika kirahisi rahisi hivyo? Kuna watu kwenye hii mitandao wanaotumia nguvu za ziada kulazimisha umaarufu wa dikteta uchwara wa Burkina Faso. Habari nyingi kumhusu yeye ni za uongo. Kwa bahati mbaya zaidi, watu wanaouamini huo uongo ni wengi sana na ni Waafrika...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu dini za kuja na demokrasia dhidi ya Waafrika

    Ukweli ni: 1.Dini iliundwa kuwazuia Waafrika kuhoji matendo ya wakoloni (wanaharakati), kupitia ujanja wa Brian. 2. Demokrasia iliundwa ili kulinda uamuzi wa viongozi wa Kiafrika kwa mapenzi ya wakoloni (wanaharakati), kiongozi yeyote ambaye anakiuka au kutowatii huondolewa kwa mapinduzi au...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Akili mnemba (Artificial Inteligence) Waafrika tumezaliwa nayo sema basi tu elimu yetu tulishindwa kuiweka kwenye mfumo

    Akili mnemba (AI) siyo kitu kigeni saana! Afrika kwa asili tumezaliwa nanuwezo mkubwa wa kuunda akili mnemba sema basi tu hajui kuendeleza au kuweka vitu vyetu katika mfumo. Maana rasmi ya akili mnemba ni akili bandia! Lakini ukiniuliza mimi fundi SAMICO nikueleze kwa kina hii akili bandia...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore akikutana na Putin na akikutana na waafrika wenzie

    Ukoloni hauwezi kuisha. Sema tu mwafrika anachagua Mzungu ambaye ana endana na maslah yake. Hapa unamwona Dogo Bastola hana na Gloves kavua amsalimie Mbabe Putin. Sasa umkute anaonana na Blacks wenzie au wale wazungu ambao hawalindi maslahi yake. Hakuna kiongozi wa Kiafrika hana Bwana...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Huu mjadala wa jamii gani nchini inaongoza kwa wasomi muumalize wenyewe, ingieni humu mjihakikishie wenyewe, kelele na kujisifu viwekwe pemebeni

    Muumalize wenyewe
  11. haszu

    JamiiForums Tanzania Kama waafrika ndio wangegundua teknolojia zinazotusaidia leo, hadi sasa zingekua mali ya wachache, wangeficha.

    We fikiria, Machimbo tu ya kariakoo watu wanafanya siri. Wengine wanadai kusafiri kwa kutumia ungo, wengine wanatuma barua kwa njiwa, sasa kwanini wasiwajuze wenzao pia? Yani kwanini watu wa kijijini watembee kwa miguu umbali mrefu km ungo upo? Kama internet ingegunduliwa Africa, watu...
  12. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa Mijadala ya Falsafa ya Maisha baina ya Waafrika Inanipa Wasiwasi Tofauti Yetu na Sokwe ni Kwamba Sisi Ni Sokwe Tuliochangamka

    Tangu nilipoanza kujitambua na kupitia misukosuko ya utu uzima, nimejikuta nikivutwa na hitaji la kutafakari maisha ya binadamu kiujumla — si kwa mtazamo wa mafanikio binafsi, bali kwa namna ambavyo maisha yetu yameumbika kama jamii, kama viumbe wenye akili. Maswali haya yamekuwa yakijirudia...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Afrika ni Waafrika wenyewe

    Waafrika mara nyingi ndio TATIZO la Afrika. Jenerali Michael Langley ambaye ambaye ni Mwafrika aliyemshutumu Kapteni Ibrahim Traoré kwa kulinda dhahabu ya Burkina Faso kwa faida zake binafsi imekaribishwa kwa joto na serikali ya Ivory. Hii inaonyesha wazu jinsi viongozi wengi wa Kiafrika...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Waafrika sijui nani alituroga, Mtoto wako wa Primary au Seko umemkamata ana sex na mwenzake kwanini umpige badala ya kumuelimisha sex education ?

    Watoto wanakuwa kila mwaka hawawezi watoto wadogo daima. Yale mambo ya kizamani ya kuchapa watoto wakikutwa wanashiriki tendo nilidhani yalishaachwa baada ya jamii kuelimika kumbe mpaka leo yapo, Leo hii kuna kijana mwenye 15 kakutwa ana sex, wazazi wake wamempiga nikabaki nashangaa tu, why...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuanze kuona kuwa adui yetu ni "mzungu"

    Ni muda wa kutosha sasa kutambua na kuamka kwa kila mtu kuwa umasikini sio mcpango Mungu bali ni mpango wa wazungu hivyo hakuna sababu ya mtu yeyote kuwa masikini au mwenye njaa au kuishi bila nyumba ya kuishi wakati Afrika inao utajiri wa kutosha unaoibiwa na wazungu kwa kushirikiana na...
  16. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Macron: Huu sio muda sahihi wa Ufaransa kuondoka Afrika. Waafrika hawawezi kujitawala wenyewe.

    Huyu Macrosn anaakili za kimbwa kweli yani anawadharau waafrika huku anataka rasilimali zao President Macron said, now is not the time for France to leave Africa, that Africa is not capable of managing on its own!!! Can you believe that fellow Africans? MACRON: 🗣️ “If we leave African...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Ujinga mmojawapo wa waafrika wafia dini ya ukristo ni kufungishwa ndoa na viongozi wao wasio na ndoa

    Huu ni unafiki nkubwa na ujinga uliopitiliza linapokuja swala la mkristo kufungishwa ndoa na viongozi wa dini ambao wao wamekatazwa kuoa na hawana ndoa wala uzoefu wa ndoa. Kufungishwa ndoa na kushauliwa maswala ya ndoa na padri asiye na mke ni ukichaa kwani hana uzofu kwa hiyo hapa ni kupigana...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Waroma wanaamini Bob Marley ni NABI MWEUSI lakini waafrika wafia dini wanaamini manabii ni mohamad na yesu tu

    Bob Marley alizaliwa na mama mweusi na baba mweupe. Japo alikuwa na ukoo mweupe, Bob Marley alijitambulisha kama Mwafrika Mweusi na alikuwa mtetezi hodari wa Pan-Africanism. Hili lilidhihirishwa na onesho alilofanya huko Roma- Italy mwaka 1980 na kujaza uwanja kwa idadi kibwa ya watu kufikia...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Dini Asilia za Kiafrika

    Dini asilia za Kiafrika ni kati ya dini za jadi ambazo zinadumu hata leo, ingawa wafuasi wake walipungua mwaka hadi mwaka kulingana na dini zilizotokea Mashariki ya Kati, hasa Ukristo na Uislamu, ambazo zilienea Afrika, bara kubwa lenye jamii na tamaduni nyingi ila kwa sasa Dini za Asili za...
  20. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Je kutafuta mali bila kuziendeleza ni laana inayowakabili Waafrika weusi?

    Mpendwa Mwafrika mwenzangu, Leo nakuandikia tafakri yangu binafsi, lakini pia kwa tumaini. Uchungu kwa sababu kuna jambo linaloendelea kwenye jamii zetu ambalo linatufanya tusisonge mbele kama tunavyopaswa. Tumekuwa watu wa kutafuta, lakini si watu wa kuendeleza. Tumekuwa hodari wa jasho...
Back
Top Bottom