vyuo vikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC02 Namna bora ya kukabiliana na tatizo la ajira kwa Wahitimu wa Vyuo Vikuu nchini

    UTANGULIZI: Chuo kikuu ni ngazi ya juu zaidi ya elimu nchini tanzania na duniani kwa ujumla ambayo inamuwezesha mwanafunzi(Mwanachuo) kupata maarifa na ujuzi maalumu. Mfano;Udaktari, Ualimu, Sheria, Masuala ya uchumi na biashara, Masuala ya habari, na mengine mengi yatolewayo vyuoni. MJADALA...
  2. Unyanyasaji wa kijinsia unavyopamba moto kwenye elimu za juu (vyuo)

    Unyanyasaji wa jinsia katika ngazi ya elimu ya juu, umekua ukijitokeza mara kwa mara hususani kwa wanafunzi wa jinsia ya kike, ingawa matukio haya pia hujitokeza hata kwa wanafunzi wa jinsia ya kiume. unyanyasaji huu hujitokeza kwa njia tofauti, unyanyasaji wa kijinsia huwaza kujitokeza kati ya...
  3. M

    kutolewa kwa ela za field (HELSB) baadhi ya vyuo vikuu Tanzania inaumiza wanafunzi wa hali ya chini (watoto wa wakulima)

    Bodi ya mkopo ya elimu ya juu hutoa mikopo kwa wanafunzi wenye vigezo na sifa zinazo stahili kupokea ambapo fedha hizo hujumuisha Ada , field, book and stationary na research ambapo kama mwanafunzi akibahatika kupata vyote huwa ni nafuu kwa mzazi. Lakini mwaka huu 2022 kwa wanafunzi wengi wa...
  4. Mtu kuwa Vice Chancellor wa Vyuo Vikuu 2 kwa wakati mmoja ni Tanzania pekee au na kwingine ipo?

    Bila kuchoshana,someni wenyewe👇 ''Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Dk Stergomena Tax amemteua Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Profesa Lughano Kusiluka kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma.''
  5. Raia wa Nigeria wataka sheria kudhibiti Watoto wa Maafisa wa Serikali kusoma Vyuo Vikuu nje ya Nchi

    Wahadhiri wa Vyuo Vikuu vya Umma nchini humo, ambao kwa sasa wamegoma kutokana na mgogoro wa malipo yao, wamesema Sheria hiyo itajenga jamii bora kwa kuendeleza Taasisi za elimu za juu na kuboresha Ufadhili wa Mfumo wa Elimu ya Juu nchini humo. Wamedai kuwa Serikali imetelekeza Vyuo Vikuu vya...
  6. SoC02 Sheria Kandamizi zinavyo wabana Wanafunzi vyuo vikuu Tanzania

    sheria kandamizi zinavyo wabana wanafunzi wa vyuo vikuu kujihusisha na masuala ya kisiasa pindi wanapokuwa katika masomo yao Sheria zilipo zinazatoa muongozo kwa wanafunzi kujihusisha na masuala ya kisiasa pindi kunapokuwa na uchaguzi wa nafasi mbalimbali katika ngazi ya uongozi ambao hutoa...
  7. Waziri wa Elimu, ubora wa Vyuo Vikuu hauko sawa; natoa mfano wa SUA

    Vyuo vyetu bado viko hoi sana hata kwa miundombinu tukilinganisha na waliotuacha kama South Africa. Bila ushabiki, kupitia mitandaoni SUA imekuwa ikisikika kama mfano wa chuo bora kwa uwezo wa wahitimu wake. Ni mfano wa wahitimu wavumilivu na wabunifu ktk taaluma zao. Hata hivyo, adui mkubwa...
  8. K

    Mfumo wa ufundishaji wa masomo ya Tehama kwa Vyuo Vikuu ubadilishwe

    Nchi yangu ya Tanzania kama inatamani kupiga hatua zaidi kwenye maendeleo ya tekinologia inapaswa kuangalia zaidi suala la elimu inayotolewa na vyuo haswa vya umma. Unakuta mwanafunzi anamaliza shahada yake ya masomo akiwa anachukua masomo ya tehama lakini hakuna kitu alichotoka nacho kichwani...
  9. Vyuo vikuu anzisheni Bsc. in Census Studies

    Kwa nyomi za waomba kazi za Sensa. Ni Bora kuanzisha hii kozi huko vyuo vikuu, mpige hela kiroho Safi. Yaan nafasi 50 Ila waombaji 3,000 kwa Kata. Malipo sasa!
  10. A

    UDSM, MUHAS & UDOM Vinashika Nafasi Tatu za juu kwa Vyuo Vikuu Kumi Bora Tanzania

    Baada ya kufanya utafiti mdogo kuhusu vyuo kumi bora Tanzania, nimejiridhisha vya kutosha vyuo nitakavyo vitaja hapa ndivyo vyuo kumi bora kwasasa hapa Tanzania. Katika utafiti huu mdogo nimezingatia machapisho ya chuo husika kwenye international journals, tafiti za chuo husika, mchango wa chuo...
  11. L

    Mashindano ya 21 ya "Daraja la Kichina" ya wanafunzi wa vyuo vikuu duniani yafanyika nchini Ufaransa

    Tarehe 25 mwezi Juni mwaka 2022 fainali ya mashindano ya 21 ya “daraja la kichina” la wanafunzi wa vyuo vikuu duniani ilifanyika nchini Ufaransa kwa njia ya mtandaoni na nje ya mtandao, kaulimbinu ya mashindano hayo ikiwa ni “ dunia moja, familia moja”. Balozi wa China nchini Ufaransa Bw. Chen...
  12. L

    Mishahara ya Non teaching staff vyuo vikuu ikoje?

    Mfano: Ngazi ya degree Admission officer Examination officer Warden e.t.c Ahsante
  13. Wabunge wataka wahitimu wakopeshwe kwa vyeti vyao

    Serikali imesema inaangalia uwezekano wa kutumia vyeti vya wahitimu wa vyuo vikuu nchini kama dhamana ya kuwapa mikopo mbalimbali ya kuwawezesha kujiajiri na kuajiri wengine. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omari Kipanga, aliyasema hayo bungeni wakati akijibu swali la nyongeza la...
  14. S

    Vyuo Vikuu Binafsi vinalipa mishahara midogo sana

    Kichwa cha habari chahusika. Vyuo vikuu binafsi nchi hii ambavyo vingi vinamilikiwa na taasisi za dini wanalipa wahadhiri wao mishahara midogo sana. Huwezi amini mishahara ni midogo kuliko hata walimu wa shule za sekondari. Kwa mfano Mhadhiri msaidizi analipwa Tsh Milioni moja kabla ya makato...
  15. Adhabu kwa Walimu wanaofanya mapenzi na wanafunzi wao Vyuo Vikuu

    Adhabu hii aliyopewa professor wa Princeton ni kwa kosa alilofanya miaka 15 iliyopita. Tanzania tukitoa adhabu kama hizi kwa waalimu wa vyuo vyetu waliojihusisha kimapenzi na wanafunzi wao ndani ya miaka 15 iliyopita tunaweza kubaki na waalimu wachache sana. Lakini ni adhabu ambayo inabidi tuwe...
  16. M

    Huku Kwetu Tanzania tuna Maprofesa Vyuo Vikuu hata Kuandika tu Kitabu cha Kurasa 10 wameshindwa, ila wanachojua ni Kujimwambafai tu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, amezungumza na kusaini kitabu cha Mtoto wa Kitanzania Ada Marie Kemilembe (9) mkazi wa Columbia, Maryland, alipokutana nae Jijini Washington DC Nchini Marekani. Taarifa: Ikulu Tanzania Asikudanganye Mtu ukizaliwa au kuishi...
  17. T

    Vyuo Vikuu vya Nchi za Afrika

    University of Zambia
  18. Miongozo dhaifu imeathiri udahili wa wanafunzi kutoka nchi za nje kusoma Vyuo Vikuu vya Tanzania

    Wataalam na wadau wa elimu ya juu wamewaomba viongozi wa serikali kuanzisha utaratibu maalum utakaoviruhusu vyuo vikuu nchini kuwapokea wanafunzi kutoka nchi za nje kusoma kozi ya shahada Tanzania. Kwa sasa ni wanafunzi wenye alama za ufaulu sawa na elimu ya sekondari ya juu (Kidato cha Sita)...
  19. Vyuo Vikuu Ukraine haviridhishi kitaaluma

    Vyuo Vikuu pendwa havipo hata kwenye top 3000 global universities rankings! Hivyo chukueni tahadhari. **USHAURI: Bora hata umpeleke mtoto vyuo vya South Africa kuliko Ukraine. NB: Hakuna mtu makini nchini aliyesoma vyuo tajwa.
  20. Naomba kujua namna ya kuhamia kufundisha vyuo vikuu, kutoka kuwa mwalimu wa sekondari

    Wakuu samahani, naomba msaada namba ya kuomba kibali Cha kuhamia kufanya kazi vyuo vikuu, kutoka kwenye shule ya sekondari (halmashauri). Ikiwezekana na sanduku la posta ni lipi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…