Mishahara ya Non teaching staff vyuo vikuu ikoje?

Mfano: Ngazi ya degree
Admission officer
Examination officer
Warden
e.t.c
Ahsante
Inategemean na chuo mkuu vyuo na scheme yake..
Ila kama chuo kipo chini ya wizara basi salary schemes itakuwa ya serikali ya kawaida ...
Utofauti ni kuwa unakuwa na posho na overtime na marupurupu kama kawaida wakati hao ma tutor, lecturer na wakufunzi wengine hawarambi posho yoyote zaidi ya mishahara Yao na in short kwenye mataasisi ya vyuo Bora uwe staff wa kawaida ila unakitengo utakula mema ya nchi kuliko uwe lecturer alafu upo upo tu...
 
Ngoja tutors, lecturers na academicians wa pale vimbweteni waje ku-critisize hoja yako hii.

Ila ujue wanafaidi kufurahisha macho yao na totooziiii.
 
Lecture analipwa kwa mwezi zaidi ya million tano, unakuja kumlinganisha na wafagiagi wa hostel na vyoo
Hujitambui kumbe. Hiyo milioni 5 nadhani ni kwa madokta na maprofesa? Wakulungwa wasio academicians (taasisi, hamashauri, mikoani, mawizarani n.k) bado wana wapiga gepu sana hao lecturers wako, bila kusahau marupurupu.
 
Huu uzi wa watoto wa shule, kama hujui schemes za malipo utawapotosha wengine kama mnavyopotoshana hapa
 
Inategemean na chuo mkuu vyuo na scheme yake..
Ila kama chuo kipo chini ya wizara basi salary schemes itakuwa ya serikali ya kawaida ...
Utofauti ni kuwa unakuwa na posho na overtime na marupurupu kama kawaida wakati hao ma tutor, lecturer na wakufunzi wengine hawarambi posho yoyote zaidi ya mishahara Yao na in short kwenye mataasisi ya vyuo Bora uwe staff wa kawaida ila unakitengo utakula mema ya nchi kuliko uwe lecturer alafu upo upo tu...
Ahsante mkuu kwa mchango wako.
 
Back
Top Bottom