vyuo vikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanachowafanyia HESLB wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu siyoo uungwana kabisa

    Kila baada ya siku 60 mnufaika wa mkopo wa bodi ya mikopo HESLB inabidi apewe pesa ya kujikimu na chakula shilingi 10,000 kwa siku lakini mpaka leo naandika uzi huu hakuna mwanafunzi hata mmoja Tanzania aliyeingiziwa pesa ya Boom ilihali malipo vyuoni yaani Disbursement imewanyika takribani wiki...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu vitano vya tanzania vya shika mkia mashindano ya 13 ya Afrika Mashariki: Wanafunzi wa Kitanzania tunaosomea chuo Kenya mumetuacha na aibu

    Wanabodi heshima mbele. Kuanzia tarehe 15/12/2024 mpka tarehe 20/12/2024.Kulikuwa na MASHINDANO ya michezo ya VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI (13Th Eastern African Universities sport) yaliyo fanyika katika chuo kikuu cha MASENO nchini Kenya. Nchi zilizo shiriki ni pamoja na Tanzania,Uganda...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya Maambukizi ya HIV kwenye vyuo vikuu si nzuri na elimu ya kujikinga haitolewi vya kutosha kama miaka ya nyuma 2010 kurudi nyuma

    Kama una mdogo wako wa kike awe makini aache tamaa ya mambo ambayo hana uwezo nayo, kwa sababu mabinti wengi wanaingia kwenye vishawishi vya kutembea na wanaume walio wazidi umri (Sugar dads) ili kupata fedha. Pia mdogo wako wa kiume wa chuo mwambie afunge zipu asome kwani wengi wa wanachuo...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Wahitimu vyuo vikuu rudisheni mikopo

    Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wahitimu wa vyuo vikuu kurejesha mikopo waliyopata kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ili wanafunzi wengine wasio na uwezo pia wanufaike. Hotuba ya Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Marais wa EAC wako Arusha kuadhimisha miaka 25 ya Jumuiya. Mambo mawili kutikisa, Mosi kutekwa Besigye Nchini Kenya na pili Rwanda na Uganda vs DRC!

    Kongamano la miaka 25 ya Jumuiya ya Africa Mashariki linaanza Leo jijini Arusha chini ya mwenyekiti wake Rais wa Sudan Kusini Wanaharakati wa Kimataifa wako Arusha kuhoji kiongozi wa Upinzani wa Uganda alitekwaje Nchini Kenya Pili wanaharakati wanahoji kwanini Marais Kagame na Museveni...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu Tanzania havina umuhimu wowote, serikali iwekeze kwenye vyuo vya kati

    Ninayeandika hapa si mhanga wa ajira baada ya kumaliza chuo kikuu , maana hamchelewi kusema stress za unemployment zinanichanganya. Nina elimu ya university mwenye shahada ya Usimamizi wa Rasilimali watu na vifani vingine vingi. Ingawa sifanyi kazi ya HRM. Iwe na sharti kila mahali penye...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Pambalu: Vijana wamesoma mpaka vyuo vikuu lakini ajira zao ni bodaboda na betting

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana CHADEMA taifa John Pambalu akiwa mkoani mwanza wakati wa kufanya kampeni kuwanadi wagombea wa chama chake kuelekea uchaguzi serikali za mitaa amesema vijana wamesoma mpaka vyuo vikuu lakini hawana ajira, ajira za zo ni mbili akiwataja bodaboda na wanaofanya michezo...
  8. dogman360

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu Vilivyotambuliwa na UNESCO Tanzania

    Kwa nini Utambuzi wa UNESCO Muhimu? Vyeti kutoka vyuo vikuu vilivyotambuliwa na UNESCO vinakubalika kote duniani. Waajiri mara nyingi huthamini sifa kutoka vyuo vikuu vilivyotambuliwana unesco .sana sana kazi za mashirika ya kimataifa . Utambuzi wa UNESCO unaonyesha kwamaa chuo kinatoa...
  9. Abdul Nondo

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa Hostels kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu ni janga jipya, Serikali ichukue hatua

    Hii naomba Serikali kupitia @wizara_elimutanzania , @owm_tz @ormipango_uwekezaji waone hili. Nchini Tanzania sasa hivi kuna tatizo kubwa sana la upungufu wa Accomodation Hostels kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu. (Nyumba za Malazi kwa Wanafunzi). Hii ina maana ya kwamba vyuo vingi nchini vina...
  10. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Tafiti za vyuo vikuu huishia wapi?

    Ukienda vyuo vikuu hapa Tanzania unakuta wasomi huko (hasa madaktari na maprofesa) wanaa maandikp mengi ya tafiti walizofanya katika masuala mbalimbali ya maemdeleo (kijamii, kiuchumi, kilimo, afya, elimu, uongozi, kisiasa n.k). Je, matokeo ya utekelezaji wa tafiti hizo nani anafuatilia...
  11. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Vijana wahitimu wa Vyuo Vikuu wanataka nani awapambanie?

    Hawa vijana hawawezi jipigania, hawawezi shinikiza ajira, haeawezi oaza sauti zao, hawa wanataka mtu baki awapiganie, na apigwe Mabomu na Polisi wakati anawapigania wao wakiwa kwenye keybord. Vijana wa vyuo vikuu mtaani ni wengi mno na CCM haitaki wapate hata ajira ili iwatumie ipasavyo hasa...
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TCU mshirikiane na Vyuo Vikuu kuandaa Expo kwa ajili ya Vijana.

    Kama nchi hakuna changamoto kubwa katika maisha ya vijana wetu wanaomaliza kidato cha sita katika elimu kama uchaguzi wa taaluma gani wanatamani kwenda kusomea vyuo vikuu na vyuo vya kati. Ingawa wengi hutazama suala hili kama ni sehemu ya vijana kuumiza vichwa katika tafakuri zao ila bado...
  13. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wanafunzi vyuo vikuu wamekosa mikopo, hasa vyuo vya private; wapo nyumbani

    Ndugu watz baada kufanya utafiti wa muda mfupi, vyuo vikuu vingi hapa Tanzania wanafunzi wa first year wamekosa mikopo hivyo wanasuasua kureport vyuoni. Sijajua wizara inalengo gani na swala hili maana vyuo vingi wanafunzi hawajareport! Wizara shughulikieni haraka ili wadogo zetu wakasome.
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo ya wanafunzi elimu ya juu wamefuta allocations za wanafunzi ambao walipangiwa mikopo 2024/25

    Mnamo tarehe 28 Septemba bodi ya mikopo HESLB ilianza kutangaza waliopangiwa mkopo awamu ya kwanza yenye wanafunzi 21,509 wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2024/2025. Kadhalika Bodi ya Mikopo ya Wanafurnzi wa Elimu ya Juu (HESLB) siku ya Jumatano (Oktoba 09, 2024) ilitangaza awamu ya pili...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Komdomu hosteli vyuo vikuu zinafanya nini?

    Kuna sheria ktk hostel za vyuo vikuu usiingize mwanamke au mwanamme ktk kufanya mapenzi. Cha ajabu ukipita mapokezi histel maboksi ya condom yamejaa kwa ajili ya watu wa hostel. Nimetembelea vyuo vikuu vingi Tanzania nimeona hivyo ukiondoa Muslim University Morogoro jambo hilo halipo Swali...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TCU yaongeza muda wa Udahili wa Shahada ya Kwanza katika Programu zenye nafasi 2024/2025

    1.0 UTANGULIZI Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inaufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na wadau wa Elimu ya Juu ndani na nje ya nchi kuwa udahili katika awamu zote mbili kwa ngazi ya Shahada ya Kwanza katika Taasisi za Elimu ya Juu nchini kwa mwaka wa masomo 2024/2025 umekamilika. Majina...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Vyuo Vikuu vinazalisha wahitimu wanaokuwa "Machawa" wa wanasiasa

    Akichangia mjadala katika Siku ya Kimataifa ya Demokrasia, Askofu wa Kanisa la Moravian Revival Church, Emmaus Mwamakula amesema kuwa kuna vyuo vikuu nchini vinashindwa kuandaa viongozi wa baadae badala yake kuzalisha wahitimu wanaojipendekeza kwa wanasiasa na kuona Siasa ni ajira Amesema hayo...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali za Wanafunzi Vyuoni waomba walipwe mishahara na Serikali, Kama Wafanyakazi wengine

    My take. Hii ndio Habari mpya kwa siku ya leo, kwamba vijana hao wamependekeza awanafunzi wenzao wanaochaguliwa kuwa Viongozi wa Serikali za Wanafunzi wawe wanalipwa mishahara na serikali, (Yaani Wale Marais wa vyuo na mawaziri wao) ========= Viongozi wa Serikali ya Wanafunzi kwenye vyuo vya...
  19. Alfred Daud Pigangoma

    JamiiForums Tanzania Uombaji wa mikopo kwenye Bodi ya Mikopo ya Vyuo Vikuu Tanzania 2024/2025.

    Wadau Salaam, Naomba kuuliza kama unaweza kufanya process ya kuomba mkopo bila ya kuwa na ADMISSION NUMBER kutoka chuo chochote! Kwani hii imetokana na dirisha la mikopo kufikia tamati tarehe 30 August ili hali matokeo ya chaguzi kuanza kutangazwa kuanzia tarehe 03 September na hapo ndipo...
  20. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu kukuta Waziri Uganda, Kenya au Rwanda kavaa fulana yenye picha ya Rais. Tanzania ni Jamhuri ya Uchawa

    Pamoja na Ubabe wa Kagame, Mawaziri wake sio wajinga huwezi wakuta wanajikomba kwa Kagame, huu ujinga hawaufanyagi ni bora wafukuzwe kazi kuliko kumlamba kagame miguu. Hawajazaliwa kuwa Chawa na huwezi wakuta hata wanamsifia Bosi wao Kagame. Njoo Uganda kwa MSeveni, huwezi kuta Waziri...
Back
Top Bottom