Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,419
- 1,468
Ndugu watz baada kufanya utafiti wa muda mfupi, vyuo vikuu vingi hapa Tanzania wanafunzi wa first year wamekosa mikopo hivyo wanasuasua kureport vyuoni.
Sijajua wizara inalengo gani na swala hili maana vyuo vingi wanafunzi hawajareport! Wizara shughulikieni haraka ili wadogo zetu wakasome.
Sijajua wizara inalengo gani na swala hili maana vyuo vingi wanafunzi hawajareport! Wizara shughulikieni haraka ili wadogo zetu wakasome.