Mbunge wa Viti Maalumu, Thea Medard Ntara amesisitiza Serikali kuwalipa Watumishi wa Vyuo Vikuu wakiwemo wahadhiri madeni yao mbalimbali wanayodai kwa kudai wengi wao wanafanya kazi katika mazingira magumu na hawajitokezi kugoma au kuonesha utovu wa nidhamu.
Ikumbukwe Januari 2025 kuna...
kwema ndugu zangu wa kitanzania
Hivi serikali imeshindwa kabisa kuendesha mwendokasi
Hivi Tanzania nzima hakuna kichwa/mtu wa kuweza kusimamia mwendokasi
Hivi UDSM inazalisha wasomi kweli au ni chuo cha siasa, yaani Chuo cha TAIFA kimeshindwa kutoa akili moja ya kusimamia Mwendokasi
Hivi...
Wahitimu wa kike kutoka vyuo vikuu wako wapi??
Wahitimu wa kiume wengi wameingia kwenye bodaboda na kazi za viwandani, pia wapo walioanguikia kwenye ulinzi na saidia fundi.
Hawa wahitimu wa kike wako wapi??
Kuna bomu kubwa linatengenezwa mahali. Likilipuka, tutateketea.
Wachina wamesababisha haya yote kufanya Rais Trump kufuta viza za masomo.
Kwa nini na sema haya ?.Nchi ya china elimu kubwa wamepata USA tena upande wa teknolojia inaonesha kuwa ndio hasira za Rais Trump.
Jambo lingine ni kwamba wanafunzi wengi ni majasusi wa nchi walizotokea na sasa kuna...
Walid Shoebat ni Mpalestina aliyekuwa gaidi chini ya PLO-Palestine. Baada ya kujua ukweli aliacha ugaidi wake na kusimamia ukweli upande wa Israel. Mwarabu huyu ktk mahojiano yaliyofanya 2008 alielezea Uislamu kuwa si tu kuwa dini hatari bali pia kuwa uislamu ni mfumo wa kisiasa ulio hatari hata...
Katika hali ya kushangaza mfululizo wa hali ya ucheleweshwaji wa malipo ya pesa ya kujikimu na chakula kwa wanafunzi wa vyuo Vikuu imekuwa ni jambo la kawaida sana kufanywa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu HESLB. Tunaomba kila mwenye ushawishi asaidie kupaza sauti juu ya hili.
Updates...
MUHIMU: Ni Kwa vyuo vya kodi zetu / vya serikali, level ya vyuo / taasisi zinazotoa degree, Open University kipo kila mkoa lakini ni maalum zaidi kwajili ya waajiriwa, hawaingii madarasani wanajisomea kivyao, wanaenda kufanya mitihani tu.
Kuna mikoa ni kama imesahaulika kabisa kwenye miradi ya...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane
Nimekuwa nikisema mara kadhaa ya kwamba,mwanadamu yeyote aliye na ngozi nyeusi ni ngumu sana kumkontroo bila maamuzi magumu na yanayoumiza!
Sisi ngozi nyeusi tuko tofauti kabisa katika uelewa ukilinganisha na ngozi nyeupe!
Hebu fikiria hivi...
Nikikumbuka mijadala ya Mwl Nyerere pale UDSM miaka Ile juu ya umajumui wa kiafrika na nikiangalia leo wasomi WA vyuo vikuu wanvyotumika kama chawa wa wanasiasa kupitishia agenda zao kwa faida yao aibu naona Mimi.
Hivi mwanafunzi wa chuo kikuu anashindwaje kutambua ubaya wa hii katiba...
Serikali ifute mikopo ya elimu ya juu kodi zetu ambazo hazirudi kwa sababu wahitimu hawapati ajira.
Badala yake hizo pesa iboreshe elimu ya Veta ichochee ubunifu nchini.
Ina maana gani kusomesha watu hadi chuo kikuu then wanakuja kufanya kazi zisizo hitaji vyeti mfano bodaboda ni matumizi...
Kwa Mwaka wa Masomo 2025-2026, Ubalozi wa India nchini Tanzania kupitia Baraza la Mahusiano ya Kitamaduni la India (ICCR) unatangaza ufadhili wa masomo kwa raia wa Tanzania wanaotaka kusoma shahada ya uhandisi kwa miaka minne katika vyuo vikuu vya India kupitia Mpango wa Quad STEM Scholarship...
Kwanza kabisa niikumbushe serikali kwamba swala la tatizo la ajira nchi hii sio swala la ujuzi bali ni swala la DEMAND AND SUPPLY wale ambao wanaosemwa hawana ujuzi nadhani nimeeleweka kiasi chake.
Pili Swala la tatizo la ajira ni kushindwa kutafsiri nganzi za elimu ndo maana kila siku...
Kabla sijaleta mada yangu kuhusu ubaguzi niliouona katika baadhi ya vyuo vikuu vya Tanzani ninaomba niwaulize swali moja la msingi. Je! kuna tofauti kati ya bacholor Degree ya inayoitwa university na inayoitwa Institution? Je! TCU inazitambua hizi bachor Degree kwa weight tofauti?
Mada
Kuna...
Serikali imetenga takribani Shilingi Trilioni Moja kwa ajili ya ujenzi wa kampasi za vyuo vikuu mikoa takribani Kumi na Sita iliyokuwa haina kampasi ya ya vyuo vikuu
Akizungumza katika Kongamano la Dhahabu la miaka Minne ya Dkt Samia suluhu Hassan amesema Serikali itahakikisha nchi nzima...
Ikiwa serikali imefanya utafiti wa kina kuwa tatizo la ajira litaweza kuondolewa na ujuzi wa VETA basi Haina budi kuwawezesha vijana Hawa wanaohitimu elimu ya juu kwenye ada na mitaji ili wakimaliza kozi hizo za VETA wajiajiri.
Jumuiya ya Umoja wa vijana wa CCM Taifa chini ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Ndg. Mohammed Ali Kawaida inatarajia kufanya Mkutano mkuu maalum wa UVCCM Vyuo na Vyuo vikuu utakaokutanisha Viongozi wote wa mikoa yote wa vyuo na vyuo...
Kundi la mabinti kutoka vyuo vikuu mbalimbali nchini leo limetangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kudai kutoridhishwa na nafasi ya wanawake ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Soma Pia: Pre GE2025 - Kipindi hiki cha Uchaguzi wanawake wanapata nafasi ya...
"Mjadala juu ya urithi wa Baba wa Taifa kwenye katiba na siasa za Afrika Mashariki kwenye chuo kikuu chake cha kwanza.
Wakati UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa, Makerere, Chuo Kikuu cha , kimenialika kutoa mhadhara wa umma juu ya...
24 January 2025
Dar es Salaam, Tanzania
https://m.youtube.com/watch?v=woYIDnx1xcw
Wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu mkoani Dar es Salaam wametoa tamko rasmi kuunga mkono azimio la Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.