Kwanza wizara ya elimu inapaswa ijishughulishe na maswala ya elimu ya msingi, secondary na taaluma za kielimu kama vyuo vya elimu na vyuo vya kati.
Elimu ya juu inapaswa kusimamiwa na taasisi ya maswala ya elimu ya juu pekee. Kipindi cha rais Mkapa pamoja na JK tulikuwa na wizara ya elimu ya...