Nimeamua kuja na wazo biashara kwa wale walimu wote wanaojituma kwenye kuandika makala mbali mbali hasa za kitaaluma.
Fursa ipo kwenye kuandika na kutafuta walaji wa kile unacho kiandika.
Equation x ameamua kuwa kati ya anayeandika (mwandishi) na mlaji, ili mwisho wa siku uweze kuona matunda...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) leo tarehe 22 Januari 2026 imesaini Hati za Makubaliano ya Ushirikiano (MoUs) na taasisi tano za elimu ya juu kwa lengo la kukuza matumizi ya akili unde (AI), kuimarisha ubunifu katika matumizi ya data, na utafiti katika kuongeza tija kwenye uundaji wa sera na...
UDSM-Rais mstaafu, JK
Mzumbe-Rais wa Zanzibar mstaafu, Ali Mohamed Shein
SUA- Jaji Joseph Warioba
UDOM- Jaji mkuu mstaafu, Prof Ibrahim Juma
Ardhi University- Jaji Mohamed Chande
Muhimbili- Alikuwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi
Chuo Kikuu Huria- Mizengo Pinda
MUST- Abeid Amani Karume
Kurundika wasomi wote wasome Dar kuna changia mazingira ya ushawishi wa vijana ambao wanatoka mikoani kutoshawishika na mikoa mingine.
Hongera UDSM kufanya campus yenu kuwa mkoa wa kagera ili kuvutia wanaotoka mikoa ya kanda zaiwa na nchi jirani kusoma.
Kuweka campus kubwa kuna saidia...
Wakuu,
Rais wa TAHLISO Bw Godfrey Kiliba amesema jumuiya hiyo haitashiriki wala kuunga mkono maandamano yasiyo na ukomo yaliyopangwa kuanza Desemba 9, 2025, akitoa msimamo huo leo Desemba 7 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari.
Hawa watu wamechanganyikiwa, vyuoni Kuna upungufu mkubwa wa wanafunzi, kuna wanafunzi wengi hawajaripoti vyuoni, mpaka vyuo vimeanza kuwapigia simu kuulizia kama ni wazima.
Vyuoni now kila siku semina ,kuwashawishi vijana wasiandamane, Sasa wamepanga tarehe 8/12 wataweka curfew vyuoni na D9...
Ndivo vyombo vya habari Vitakavyoripoti !!
Huyu Maza na watoto wake, Elimu zao ni za hapa na pale, ni za kuunga unga sana , Ugonvi wao na Elimu unaanza Wakifika Kidato Cha Nne.
Dec 9 ni maandamano makubwa kwelikweli hayajawahi kutokea yaan ni makubwa Mnoo, ALAFU TUNAWAONYA MAPOLISI...
Wakuu
Hatimaye Wizara ya Elimu imetoa tamko rasmi kwa vijana wa vyuo kurudi masomoni
Taarifa hiyo iliyotolewa Novemba 8, 2025 kupitia mitandao ya kijamii ya wizara ya elimu Tanzania inaeleza kuwa;
===
Wizara ya Elimu, sayansi na Teknolojia inapenda kuutarifu umma kuwa, kwa mujiu wa kalenda ya...
Wanachama wa Chama cha Wahadhiri wa Vyuo Vikuu (UASU) wameanza mgomo wao licha ya Hazina ya Taifa kutoa KSh. 2.5 bilioni kwa ajili ya utekelezaji wa awamu ya pili ya mkataba wa pamoja wa 2021–2025. Wahadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi (UoN) na Chuo Kikuu cha Maseno waligoma Septemba 17, 2025...
Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe Taifa, Ndg. Geofrey Kiliba ameendelea na ziara yake mkoani Singida ambapo alikutana na vijana maafisa usafirishaji katika wilaya ya Manyoni.
Soma pia: Kampeni ya mama asemewe kuandaa kongamano kubwa la wanavyuo Dodoma kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025...
TAARIFA KWA UMMA
KUKAMILIKA KWA AWAMU YA KWANZA NA KUFUNGULIWA KWA AWAMU YA PILI YA UDAHILI WA SHAHADA YA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026
1.0 KUKAMILIKA KWA AWAMU YA KWANZA YA UDAHILI 2025/2026
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inaufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na Wadau wa Elimu...
Utangulizi:
Katika zama za mapinduzi ya nne ya viwanda, ujio wa akili mnemba (Artificial Intelligence - AI) umeleta mageuzi makubwa katika sekta mbalimbali duniani, hasa elimu. Wakati AI inaleta fursa ya kurahisisha upatikanaji wa taarifa na kuongeza tija, pia imeibua changamoto kubwa kwa...
Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka.
Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa...
Wanafunzi wengi wanaoingia vyuoni hujiuliza: "Kozi ipi itanipa ajira au fursa nzuri baadaye?" Katika mazingira ya sasa ya Tanzania na dunia kwa ujumla, hizi hapa ni kozi tano zinazotabiriwa kuwa na nafasi kubwa kwa miaka mitano ijayo
1. Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT)
Kadri Tanzania...
Habari wakuu nilikuwa na uliza hivi Kwa haya matokeo ya physics-S, chemistry -D na biology -C a level anaweza soma banchelor of science in nursing Uganda na akirudi Tanzania akatambuliwa na TCU degree yake,naomba msaada kwa wenye uzoefu na hayo mambo
TCU kama inavyodhibiti uajiri wa waalimu, pia iweke mkono wake jinsi ajira zao zinavyokoma. Vyuo binafsi ni biashara kwa hiyo kama mwalimu "anakaza" Sana kwenye taaluma, kuna namna chuo "kinamtema" ili wateja(wanafunzi) wabaki. Je kuna namna dispute ya mwalimu na chuo juu ya academics inaweza...
Kuna jambo moja ambalo ninaliona kama changamoto kuu kwa vijana wetu wengi – mindset ya “kusoma ili kuajiriwa.” Hii tabia inatufanya tukwame kwenye foleni ya kusubiri nafasi za kazi ambazo mara nyingi hazitoshi kwa wote. Kizazi cha sasa kinahitaji revolution ya fikra – kusoma si kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.