vyombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Rushwa aliitoa mbunge wa jimbo la Mbulu Mjini aliyemaliza muda wake Zakaria Isaay inatisha; wakati TAKUKURU wapo, vyombo vingine vipo; nchi imetekwa!

    Katika kura za maoni za CCM zilizopigwa hivi punde kama unataka kujua maana ya upatikanaji wa uongozi kwa njia ya rushwa nenda Mbulu, mkoa wa Manyara. Mbunge wa jimbo Mbulu mjini Zakaria Isaay rushwa alizotoa kuongoza kura za maoni inatisha. Mwenyekiti wa kitongoji moja alipewa mpaka Sh. Milioni...
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya ulinzi kama CCM wametendeana hivi (mtu mkavu) vipi Kwa wapinzani? (Mti mbichi)

    Vyombo vya ulinzi angalieni yaliyotokea kwenye uchaguzi wa CCM maeneo mbalimbali nchini. Swali kwenu kama wameutendea mti mkavu hivi vipi Kwa mti mbichi? Kuna Uzi uliwekwa hapa asubuhi hapa Kwa kumpongeza Lissu kujitoa sadaka Kwa wengine na Mimi naunga mkono lissu ni kama mkombozi Kwa walio...
  3. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 TCRA: Vyombo vya Habari vizingatie Miongozo na Kanuni za Uandishi wa Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesisitiza umuhimu wa vyombo vya habari, hususan vya mtandaoni, kuzingatia miongozo na kanuni za uandishi wa habari kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Soma pia: Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi mbalimbalia, pia amevunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kupanga kituo cha kazi Balozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi na upangiwa kituo ni kama...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TLS: Tumesikitishwa na vitendo vya kudhalilisha, kukandamiza, na kutweza utu wa Lissu anavyofanyiwa na Vyombo vya Dola

    1 AGOSTI, 2025. TAMKO KUHUSU HADHI, STAHA, HAKI NA UTU KATIKA UENDESHAJI WA SHAURI DHIDI YA WAKILI TUNDU ANTIPAS LISSU MUGHWAY. Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) limefuatilia kwa karibu mwenendo wa uendeshaji wa shauri linalomkabili Mwanachama wetu, Wakili Tundu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mzee roporopo sijui kama tutamuona te na kwenye vyombo vya habari

    Yule mzee roporopo aliyesema wema hawafi sijui kama tutamuone tena akisema wema hawafi,namuona kakaa kimya kajikunyata kama kifaranga kilichoroa, kwisha habari yake
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vyombo vyetu vibadili utamaduni wa kuwakumbatia na kuwasikiliza wenye mamlaka tu

    Rai yangu kwa vyombo vyetu. Naomba vyombo vyetu vibadili utamaduni wa kuwakumbatia na kuwasikiliza wenye MAMLAKA tu na kuwaacha UKIWA Watanzania wengine wakinyanyaswa na kutaabishwa kwa kila namna. Ifahamike kwamba, hivi ni vyombo vya UMMA, kwa hiyo ni muhimu kuwatendea haki watawala pamoja na...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Marekani yazidi kusogelea katika giza la udikteta, Trump atishia kuvifuta vyombo vya habari vinavyomkosoa.

    Yale mambo ya ulimwengu wa tatu ya banana republics ya mtawala hakoselewi sasa yameanza kushika kasi Marekani katika awamu ya pili ya Trump, tayari ameshamfukuzisha kazi comedian mmoja mkubwa maarufu Stephen Colbert wa CBS ambaye ni mmojawapo wa wakosoaji wake wakubwa, ameshavuna mabilioni ya...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vinaweza kuwatumia watu wake wasio na vyeti kwa kuwaita kama analyst/wachambuzi chini ya muongoza kipindi mwenye ithibati

    Ukweli usemwe, watanzania wanapenda umbea na habari nyepesi, kuwa cut off watu wanaokata kiu hiyo ni kujifanya hatuijui jamii yetu, na pia habari hizo nyepesi (umbeya) zimesaidia ku-de-fuse jamii na pia kunyonya negative issues katika jamii kama godoro linavyonyonya maji. Pia sidhani kama jamii...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mvutano ndani ya CCM ni alama ya kuvifungua akili vyombo vya dola. Vikiwa makini huu ndo wakati wa kusimika mifumo imara

    Siasa za Tanzania chini ya Chama cha Mapinduzi ni siasa za makundi kugombania Madaraka na Ulaji. Makundi yote yanafanana kwenye jambo kuu moja. Uchu wa madaraka ili kuila keki ya Taifa vizuri. Makundi yote haya yanaamini yakishika utawala wa nchi basi watapata hela wapendavyo, wataishi vizuri...
  11. baro

    JamiiForums Tanzania Je JWTZ wako tayari kumlinda aliyevunja Katiba?

    Ndugu Wana ukumbi, Nina swali kwenu, Je JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi vinaweza kula kiapo cha kumtumikia na kumlinda Rais aliyeingia madarakani kwa kuvunja Katiba ya nchi? Wakati wao huapa kuilinda Katiba ya nchi?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Maskini vyombo vya habari katika mtanziko wote huu hata mijadala hakuna!!

    Vyombo vimezibwa mdomo vinaamriwa nini vijadili na nini viandike!! Maskini Nchi yangu!! Najiuliza mtanziko kama huu ungekuwq Kenya vyombo vya habari vingefanya namna gani!
  13. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ndoto yake imezimwa Ghafla. Hongera sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kwa kazi iliyo tukuka

    Kuna mwana mama mmoja alikuwa anatapeli watu viwanja na mali zao, yani anaweza uza swiming pool yako kwa mwarabu bila kukushirikisha, anaweza uza mashamba yako ya miti na mifugo bila kukushirikisha na humwambii kitu, ukiongea tu unapotea mazima. Hatimaye amedhibitiwa. Asanteni sana vyombo vya...
  14. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Polepole amefanya uhalifu wa kiutumishi na kimaadili kwahiyo hatakiwi kujibiwa kwenye vyombo vya habari huyu ni mhalifu, afunguliwa kesi mahakama kuu

    Husika na mada tajwa hapo juu: Tukio alilolifanya Polepole ni ukosefu wa hekima na busara, ni uvunjivu wa Maadili ya mtumishi wa umma, ni kusaliti kiapo chake, ni uongo ni upotoshaji kwahyo yafaa afunguliwe kesi. Huwezi ukasema kwasababu uliteuliwa hadharani basi na barua yako ya kujihudhuru...
  15. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Vya Tanzania vina hali mbaya, Vinasikitisha waandishi wamegeuka wapambe

    Katika siku za karibuni, kumeibuka hali ya kusikitisha sana katika tasnia ya habari nchini Tanzania. Vyombo vingi vya habari ambavyo viliheshimika kwa kuandika kwa ujasiri na ukweli, sasa vinaonekana kama vimelegeza msimamo. Habari muhimu zinazogusa maslahi ya wananchi, hasa zile zinazokinzana...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakili Marijani: Waliozuiwa CHADEMA hawatakiwi kuzungumza na Vyombo vya Habari kuhusu masuala ya vyama

    Wakili Shabaan Marijani amesema watu wote waliyotajwa katika zuio la Mahakama la kutokushiriki shughuli zozote za kisiasa katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), hawaruhusiwi hata kuzungumza na vyombo vya habari. Aidha, amesema wakitaka kuzungumza na vyombo hivyo wasizungumze...
  17. funaku

    JamiiForums Tanzania Nia ya Gwajima ni kushawishi Vyombo vya ulinzi kuichukia Serikali japo ameshafeli

    Ukisikiliza maneno yake katikati ya mstari kama mwanasaikolojia utagundua mambo mawili au matatu 1-Kujinyenyekeza kwa vyombo vya ulinzi na usalama na kujionesha kuwa ni mtetezi. 2-Kuhadaa wanaohudumu kwenye vyombo hivyo kana kwamba ana ubunifu wa namna ya kuvifanya viwe na maisha bora zaidi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Wazalendo ndani ya vyombo vya usalama simamemi sasa na nchi!!

    Kama wewe kweli ni mzalendo ndani ya vyombo vya usalama simama na katiba. Fuata kiapo chako sio boss wako umeapa kwa nchi na Mungu wako . Maboss wako ni binadamu jipimeni mnayo tumwa . Msikubali kuwa machine wakati nyie ni binadamu. Kataani kuiba kura, kunyanyasa watu na kudidimiza demokrasia
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyombo vya Dola, Mna uhakika Samia hatoendelea kuwaingiza kwenye mtego wa matumizi ya Nguvu na Uvunjifu wa Haki za Raia?

    Hili Swali nililiuliza Punde tu Samia alipojiteua kua Mgombea !!. ( Unajua Mtego anaowaingiza Samia, utawafanya Vyombo Dola mnuke Damu za watu, matokeo yake mtajikuta mko Blackmailed, in turn mtajikuta nanyinyi mmeamua kutumia Mbinu za Uovu ili kuendelea kubakia Madarakani, mkiogopa kuchukuliwa...
  20. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Profesa Mkumbo: Serikali na CCM tunahitaji vyombo vya habari madhubuti

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amebainisha kuwa Serikali ya awamu ya sita na Chama Cha Mapinduzi Kinathamini uwepo wa Vyombo vya habari imara, katika kukuza uwajibikaji na kuimarisha utawala bora nchini. Akizungumza na wahariri wa Vyombo vya Habari na...
Back
Top Bottom