Watanzania wote tumepigwa na butwaa hii tabia mbaya ya kidikteta inayoota mizizi kwenye chama cha Chadema.
Baada ya kuwafunga midomo wanachama wa Chadema wasitoe maoni wala mawazo mbadala kwa kutishia kuwafukuza, kuwapa majina mabaya na kuwanyamazisha.
Sasa tunaona kiongozi wa Chadema mpya...
Akizungumza katika mkutano mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, March 04, 2025, Ruvuma. Naibu waziri wa Habari, sanaa na Michezo na utamaduni Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amevitaka vyombo vya habari kuripoti kwa usawa kwa vyama vyote kuelekea uchaguzi mkuu 2025.
Aidha amevitaka vyombo vya habari...
Wakuu
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akizungumza leo Aprili 4, Songea kwenye Mkutano Mkuu maalum wa Jukwaa hilo, amesema chini ya Uongozi wa Rais Samia Uhuru wa Vyombo vya Habari umeimarika kwa kiasi chake ambapo Magazeti yaliyokua yamefungiwa yamefunguliwa...
Pongezi na pole ziende kwa Wachokonozi na huyu mwamba mpya anaitwa Chihonda.
Hawa jamaa uwezo wao wa kuchallenge foundation za jamii kuhusu Imani na tamaduni zake inastaajabisha.
Tena wanasema na kuongea hadharani.............
VItuo vya Tv na Redio ukitazama au kusikiliza huwezi kusikia kiashiria chochote kuhusu siku ya leo ikiwa ni kumbukumbu ya miaka minne ya kifo cha John Pombe Magufuli ila mitandao ya kijamii kila sehemu lazima ukutane na taarifa hii.
Serikali nayo kama haijui kinachoendelea labda kiongozi mmoja...
Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania Misa Tan, imeahidi kuendelea kushirikiana na wadau wa habari katika kuhakisha vyombo vya habari, vinafanya kazi wa weledi katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu ambapo wamewasisitiza, waandishi wa habari kuripoti katika njia ya...
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imevitaka vyombo vya habari nchini katika kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu kuvipatia vyama vya siasa nafasi sawa katika kuripotiwa habari bila upendeleo ili kuondoa malalamiko.
Meneja wa Kitengo cha Utangazaji TCRA...
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kupitia shule kuu ya uandishi wa habari na mawasiliano kwa umma (SJMC) kwa miaka kadhaa kimekuwa kikitekeleza mradi unaojulikana kama 'Yearbook' ukiwa ni utafiti kuhusu “Ubora wa Maudhui ya Vyombo vya Habari Tanzania. Katika mwaka 2024 utafiti huo ulichunguza uripoti...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) amesema Vyombo vya Habari vyote nchini havitendi haki katika kuripoti masula ya Uchaguzi kwa vyama vikuu vya upinzani.
Soma: Hali ya Vyombo vya...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu akizungumzia harakati za 'No Reform No Election' amedai kuwa "Ilituweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa kura"
"Watu wetu wa leo ni welevu kuliko miaka 10 iliyopita, mwaka...
Kwa Mwezi Februari 2025, vyombo vya habari vilivyo vingi binafsi naona vimeendeleza kukibeba chama tawala huku vikigandamiza vyama vingine katika usawa wa kuripoti matukio ya kisiasa. Kuna baadhi ya vyombo kama Wasafi vilifikia kubrand magari yao kwa rangi za CCM, vilipohudhuria mkutano mkuu wa...
Hivi nyie vyombo vya habari, nyie sindo CCM ilikua inawafungia ? Na kuwawekea mitozo mingi na migharama mingi kwenye kuanziasha hizo Online TVs ? Mmeshajisahau.
Kesho ni Mkutano Mkubwa wa LISSU , ila nauhakika Online TVs na Main Media zitajifanya kuupotezea Kwa sababu ya mlungura, biti na...
Wakuu,
Juhudi za makusudi zinafanyika kwenye baadhi ya vyombo vya habari kuripoti mambo ambayo moja kwa moja yanatoa picha ya kufanya viongozi wa upinzani waonekane kuchukiwa na wananchi.
Mtu anaongea unajua kabisa hii script.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
Hawa jamaa sio kama vyombo vya habari vinavyo chukua mda wa stive mangere,mwijaku,dotto magari,baba levo na wapuuzi ambao wamejazana kila kona kueleza raisi wa nchi bila kufumbua watu nchi ambazo ni fursa.
Katika kitu ambacho unatakiwa kuelewa walipotokea na ukarimu wa afghanistan ni kwamba...
Nimesikia kauli iliyotolewa bungeni na waziri naibu wa habari, tamaduni na sanaa na michezo Hamis mwinjuma kwamba wachambuzi wote lazima waende shule kwanza ambapo amedai kwamba ni kutokana na sheria ya vyombo vya habari ya mwaka 2016 kifungu cha (19)1,
Katika uhalisia sheria haikumaanisha...
Serikali imesema bado ina dhamira ya kuhakikisha inatekeleza mpango wa kuwapa mafunzo (kozi) wachambuzi wa michezo kabla ya kwenda kufanya kazi ya uchambuzi kwenye vyombo vya habari kwa mujibu wa kanuni za michezo kama zinavyotaka.
Hayo yameelezwa tarehe 05 Februari, 2025 bungeni Jijini Dodoma...
Vyombo vya habari vya Kizayuni vimeshangaa sana baada ya kuona Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS inatumia gari jeusi ililoliteka kwa wanajeshi wa Israel katika kukabidhi wafungwa Wazayuni iliokuwa inawashikilia kwenye Ukanda wa Ghaza.
Fares Al-Sarfandi, ripota wa...
Waandishi wa habari wameambiwa wasiwe na hofu kabisa kuendelea kukusanya taarifa zote katika mji wa Goma!
Waandishi wetu wa Bongo wangeweza hili?
=======================
Rais wa Kundi la waasi wa M23 Bertrand Bisimwa ametoa wito kwa waandishi na vyombo vya habari kuwa huru kufanya kazi katika...
Wakuu,
Hapa, watangazaji wa Crown FM wanadhihirisha jinsi ambavyo baadhi ya vyombo vya habari vimesahau wajibu wao wa msingi na kugeuka kuwa vyombo vya matumizi ya kisiasa.
Soma: Wasafi, Clouds na Kitenge ni matambara ya kudekia ya CCM, kusafisha matapishi na uchafu wote unaomwagwa mbele yao...
Kitendo cha Jeshi la Polisi kuzuia waandishi wa habari kutozungumza na wanasiasa huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, vyombo vya habari na ni uvunjifu wa demokrasia na sio maelekezo ya katiba ya nchi ni uhalifu wa kutumia silaha.
Waziri wa Ulinzi na kamanda mkuu wa jeshi la polisi...
chadema
habari
jeshi
jeshi la polisi
katiba
katiba ya nchi
kisheria
kuacha
kuvunja
kuvunja katiba
kuzuia
kuzungumza
magaidi
nchi
polisi
uhuni
vyombovyahabari
waandishi
waandishi wa habari
wahalifu
wajibu
wake
wanasiasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.