vyombo vya habari

  1. M

    Kalonzo: Tunachunguza kwa umakini mauzo ya hivi karibuni ya hisa za Nation Media Group

    Kalonzo Musyoka ambaye ni kiongozi wa chama cha upinzani cha Wiper Democratic Movement na aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wakati wa uongozi wa Mwai Kibaki, amesema wanafanya uchunguzi juu ya mauzo ya hisa yaliyofanyika hivi karibuni kwenye taasisi ya Nation Media Group kwa bwana Rostam Aziz...
  2. D

    Tokea niache kufuatilia vyombo vya habari vya Tanzania, mambo yamekuwa tofauti sana, kuna taarifa muhimu nazipata kwa kuchelewa

    Kiukweli nmeshangaa sana, leo ndio nimejua Denis ssebo wa EFM kumbe kafariki tokea jana? Duh! Nimepita sehemu wameweka TVE ndio nikaona. Imekua ngumu sana kujua maana ni muda mrefu sana sifollow page za tanzania, sisikilizi radio,channel naangalia za movie na za habari naangalia za Kenya,fox...
  3. Pascal Mayalla

    Uliona Wapi, Kosa Moja, adhabu mbili, Sheria mbili, Mahakama Mbili?!. Only in Tanzania! Je ni Wakati wa Media Kuwa Chini ya Sheria Moja?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu gazeti la Mwananchi la leo. Wiki iliyopita, mwandishi wa makala hizi, alifanya kosa moja, akaliombea msamaha, lakini bado aliadhibiwa kwa adhabu mbili tofauti, kupitia sheria mbili tofauti, chini ya mamlaka mbili tofauti, zilizo chini ya wizara mbili tofauti...
  4. M

    Askofu Msonganzila: Vyombo vya habari vinaweza kuchangia migogoro ya kisiasa, visikubali kutumiwa ovyo ovyo

    Akizungumza na waandishi wa habari mjini Musoma leo Jumanne Machi 10, 2026, Askofu wa Jimbo Katoliki la Musoma, Michael Msonganzila amevitaka vyombo vya habari kuwa waangalifu vinapotafuta habari kwani vinaweza kuchangia kuleta migogoro ya ajabu ya kisiasa, na visikubali kutumiwa ovyo ovyo
  5. Dalton elijah

    Askofu Mwamakula Aibuka na Ujumbe Mzito Kufuatia Kauli ya Paschal Mayala

    PASCHAL MAYALA NA KABURI LA MEDIA! Nimeona taarifa inayosema Baraza la Ithibati la Waandishi wa Habari limempa Paschal Mayala saa 24 athibitishe kauli yake kuwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba alichukizwa na kitendo cha waombolezaji wa msiba wa Kadinali Pengo kuwashangilia mawaziri wakuu...
  6. O

    Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vinaripoti kwamba binti wa Khamenei ameuawawa.

    Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vimeripoti kwamba binti yake Khamenei, mkwe wake wa kiume, mjukuu wake na mkwe wake wa kike wameuawa. Kwa mujibu wa taarifa za awali, vifo hivyo vinadaiwa kutokea kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni yaliyoripotiwa kulenga makazi yake. Hata hivyo, maelezo...
  7. Mr Beach Boy

    Paschal mayala ni Chawa aliepandikizwa na CCM kwa kigezo cha uhuru wa vyombo vya habari

    Huyu jamaa hana tofauti na akina mwijaku na wengine. Wana JF huyu jamaa amepandikizwa na kulipwa ili kumsifia Samia huku JF Tukae nae mbali hana uzalendo na taifa hili ni mnafki
  8. K

    Kesi ya Tundu Lissu, msishangae kuambiwa haitaruhusiwa vyombo vya habari kuitangazia kwa wananchi

    Mimi siyo Mtabiri na Wala siyo Nabii. Ila kwa mwenendo huu wa hii kesi ya Tundu Lissu very soon tutaambiwa waandishi WA habari hawatakiwi kuitangazia kwa Umma, kwa kisingizio inaharibu mwenendo wa kesi husika na waandishi kuipotosha Umma.
  9. R

    Zungu: Wabunge wapo huru kutoa mawazo na kufanya majadiliano. Sijatoa Kibali Mbunge kuhojiwa TAKUKURU

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu, amekanusha madai ya vyombo vya habari yanayodai kuwa baadhi ya wabunge wameitwa kuhojiwa na TAKUKURU kutokana na michango yao wakati wa mjadala wa hotuba ya Rais. Akizungumza bungeni Dodoma Februari 5, 2026, amesema ofisi yake...
  10. Roving Journalist

    Kikao Kazi cha Waziri wa Afya na Wahariri wa Vyombo vya Habari Kuhusu Bima ya Afya kwa Wote

    https://www.youtube.com/live/FWBr6vt6MjY
  11. Mkalukungone Mwamba

    Ojambi Masaburi: Rais Samia ni Kinara wa haki za Binadamu, uhuru wa dini, uhuru wa vyombo vya habari

    Hivi huyu kichwa chake kipo sawa kweli? Anaongea maneno ambayo hata nafasi yake inamsuta na kumutkana. Yalitokea Oktoba 29 na 30 ndio maana ya haki za binadamu? Kuna familia hadi leo hawajui ndugu zao wapo wapi ============ Rais Samia ni Kinara wa haki za Binadamu, uhuru wa dini, uhuru wa...
  12. Kijukuu cha Tanzania

    PostGE2025 Ukimya wa Vyombo vya Habari Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, nini chanzo?

    Wakati risasi zilipolia mtaani wananchi walikimbia kuokoa maisha yao na maandamano yakikabiliwa na nguvu ya Dola, vyombo vya habari nchini Tanzania vilikaa kimya. Kwa wananchi kama Ismail Issa, mkazi wa Dar es salaam huu haukuwa uzembe wa kawaida wa vyombo vya habari, bali ni usalitiwa wazi wa...
  13. jamaikatz

    Vyombo vya habari radio na televisheni vinapataje faida na mapato wakati gharama za uendeshaji ni kubwa ??

    Ningependa kujua radio na televisheni faida wanapataje wakati gharama za uendeshaji ni kubwa , kuanzia kulipa kodi, mishahara kwa wafanyakazi n.k.. Je faida inapatikana vipi katika hio biashara ?
  14. H

    Rais Samia kuongoza zoezi maalum la upandaji miti Zanzibar katika Kuadhimisha Siku yake ya kuzaliwa Januari 27,2026

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ataongoza zoezi maalum la upandaji miti litakalofanyika tarehe 27 Januari, 2026, maeneo ya Bungi Kilimo na Kizimkazi, Zanzibar, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa. Zoezi hili lenye kaulimbiu...
  15. Genius Man

    Picha linaanza siku ya uchaguzi internet na vyombo vya habari vinaminywa na wapinzani wanaenguliwa hapo hujue hakukuwa na uchaguzi

    Picha linaanza siku ya uchaguzi internet na vyombo vya habari vinaminywa na wapinzani wanaenguliwa hapo hujue hakukuwa na uchaguzi.
  16. M

    Iran: Miaka 50 ya ukandamizaji wa dola ya kiislamu, sasa raia wanapigania uhuru lakini media kubwa hasa AL jazeera haziwapi airtime ya kutosha

    Ni miaka karibia 50 ya ukandamizaji wa raia wa Iran nasa sasa wameamua kusema imetosha, wamejitoa muhanga kuikomboa nchi yao lakini media kubwa zinawapa airtime ndogo sana. Yalianza kama maandamano ya mfumuko wa bei lakini kwa sasa yamekuwa ya kuikomboa Iran
  17. Genius Man

    BBC, DW, CNN wapuuzia taarifa za maandamano ya watu 100 waliojitambulisha kama Wakatoliki huku Vyombo vya Habari vya ndani vikiripoti

    BBC, DW, CNN wapuuzia taarifa za maandamano ya watu 100 waliojitambulisha kama Wakatoriki huku vyombo vya habari vya ndani vikiripoti. Aidha waandanaji hao baada ya kuulizwa kuhusiana na vitbulisho hawakutoa ili kuthibitisha ushirika wao na kanisa hilo.
  18. Fbn

    Yule aliyeitisha vyombo vya habari kusema wakristo watakatwa vichwa mpo kimya, ila Mwandambo kuwapiga spana imani zote mnasema uchochezi wa imani

    Hivi mwandambo ambaye hata waandishi wa habari hawapo yeye anapost kwenye account yake lakini mada zake unaona kutuoa elimu leo polisi wapo naye. Haya yule ambaye alisema kukata vichwa ,jeshi limesema limemuonya hata barua hakuna wala kumuhoji. Hizi futuhi za nchi
  19. Emekha Ikhe

    Safari ndefu ya kitaaluma(long walk to academic justice) na neno la shukrani kwa taasisi, Vyombo vya Habari na wadau mbalimbali 2011-2025

    SAFARI NDEFU YA KITAALUMA(LONG WALK TO ACADEMIC JUSTICE) NA NENO LA SHUKRANI KWA TAASISI, VYOMBO VYA HABARI NA WADAU MBALIMBALI 2011-2025. Prof. Rwekaza Mkandala, Watawala Wote wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) na Viongozi wote wa serikali Mlioshiriki kunifukuza...
  20. Q

    Wameua Uhuru wa Vyombo vya Habari, wameua Vyama vya Siasa, wanataka kuua Madhehebu ya Dini na taasisi za Elimu.Tukatae

    Serikali haitaki ikosolewe wanachotaka ni kusifiwa hata pasipostahili. Wanataka ku paralyze taasisi zote za kiraia kama walivyofanya kwenye taasisi za umma. Hakuna chombo cha habari kilicho huru main stream zote zina censorship hadi kwenye mitandao ya kijamii, Tik Talk, IG, Facebook...
Back
Top Bottom