Kwa wale tulio soma diploma miaka miwili yani non NTA levels, na kupata cheti kimoja.
Je, tunaweza kupata msaada NACTE tukarudisha kile cheti tukapewa vyeti viwili kwamaana ya kila mwaka uwe na cheti chake, means tupate cha NTA level 5 na NTA level 6 badala ya cheti kimoja kinachojumuisha...