Mimi nilienda kufanya usaili wa TA tarehe 14.03.2026 nilikuwa shortlisted kwenye mfumo na sifa ilikuwa ni Degree ya HRM sasa nilipo fika nilikuwa na cheti cha degree na transcript, cheti cha form four, cheti cha kuzaliwa, na kitambulisho.
Baadae akasema anataka na vyeti vya Ngazi ya chini...
Sikiliza Maelezo kutoka kwa kamishina Kutoka necta mda akiulizwa swali na Naibu waziri wa Elimu Wanu Hafidh Mara baada ya kutembelea Necta
Soma: PostGE2025 - Waziri Mkenda na Wanu, wasisitiza kuendeleza mageuzi sekta ya elimu
Kero yangu, kijana wangu amehitimu chuo Mwaka 2025 katika Chuo cha CBE Kampasi ya Dar, Kozi ya Business Administration lakini mpaka leo Februari 2026 ameenda chuo kufuatilia cheti amejibiwa mpaka mwezi wa tatu, kabla ya hapo waliambiwa mpaka Februari 2026.
Chuo amegraduate 02/12/2025, vyuo...
Anonymous
Thread
cbe
chuo
chuo cha cbe
dar
kutoa
sana
vyeti
wahitimu
wao
Kero yangu ni kuhusu Chuo cha Elimu ya Biashara, nimehitimu chuo cha Elimu ya Biashara CBE Dar es Salaam Mwaka 2025 lakini changamoto iliyopo mpaka leo mfumo unasoma continue wakati nimeshahitimu.
Mimi na wenzangu tumefuatilia sana wanasema wanalifanyia kazi wakidai changamotoipo kwenye mfumo...
Kama una changamoto kama kusahau password,email na kutengeneza akaunti kwa mifumo kama AJIRA PORTAL, NSSF PORTAL,LOAN BOARD, NK
Wasiliana na 0623446608
kwa msaada binafsi
Jeshi la Polisi hivi karibuni limeanzisha mkakati wa kuboresha utaratibu wa leseni za Udereva kwa kuwataka madereva ili kukidhi sifa za madaraja waliyonayo wapate kozi kuhuisha sifa zao katika daraja lake la leseni.
Kero iliyopo sasa hivi ni urasimu wa vyeti kuchukua muda mrefu kusomeka kwenye...
Chuo cha Taasisi ya elimu ya watu wazima (IAE) kimekuwa na changamoto ya kuto kutoa AVN Number kwa wahitimu wake toka Mwaka wa masomo 2023/2024 na hakuna majibu mazuri yanayotelewa wakiulizwa.
Anonymous
Thread
avn
avn number
elimu
elimu ya
elimu ya watu wazima
number
taasisi
vyeti
wahitimu
watu wazima
wazima
Tuendelee kuchapa kazi kulijenga Taifa.....
MImi naona Kuna shida kwenye system ya vyeti vya kuzaliwa na Nida mfano taarifa zote zinazopatikana kwenye NIDA Zipo kwenye vyeti tena nida iko na Tarifa nyingi na za muhimu kuliko NIDA ss kwa nini kila ofisi ya serikali utakayoenda wanatak cheti cha...
Katika jamii ya leo, elimu imekuwa kama kipimo cha thamani ya mwanadamu. Certificate, Diploma na Degree vimechukua nafasi ya heshima, ajira na hadaa kubwa ya kijamii.
Hata hivyo, ukweli ni kwamba hiyo ni chicanery tu, unaambiwa na unajiona umeelimika kwa sababu umepokea uthibitisho wa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amewatunuku vyeti Wafungwa 170 waliomaliza mafunzo ya ujasiriamali na stadi za biashara yaliyotolewa na Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) katika Gereza kuu Arusha.
Hafla ya kutunuku vyeti hivyo ilifanyika...
Naitwa Frank Donald Mwakanosya, nmepoteza vyeti vyangu vyote cha form4,form6,chuo,transcript na cha kuzaliwa. Vyote vilikuwa kwenye bahasha sababu nlitoka kufanya interview
Habari za muda huu ndugu zangu,
katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na mtoa elimu kuhusu mambo ya upatikanaji wa hati miliki za viwanja (aridhi), alienda mbele zaidi akaelezea kuhusiana na issue za kufanya lamination kwenye document za ki-serikali kama Hati ya kiwanja (aridhi), vyeti...
Biashara haianzi kwa mamilioni, inaanza kwa uamuzi na akili ya kutoboa. Watu wengi mtaani wanabaki maskini si kwa sababu hawana hela, bali kwa sababu wanaogopa kuanza na kidogo. Unadhani kuanza na elfu 5 ni aibu, kumbe ndiyo daraja lako la kwanza kwenda kwenye uhuru wa kifedha.
Biashara...
Ukweli usemwe, watanzania wanapenda umbea na habari nyepesi, kuwa cut off watu wanaokata kiu hiyo ni kujifanya hatuijui jamii yetu, na pia habari hizo nyepesi (umbeya) zimesaidia ku-de-fuse jamii na pia kunyonya negative issues katika jamii kama godoro linavyonyonya maji. Pia sidhani kama jamii...
Swala la vyeti tanzania bado ni tatizo wengi wanavyeti ya kuungaunga tu janjajanja tu mjini
Katika hili swla la waandishi wetu wa habari tena maarufu kukosa sifa ni taswira tosha ya elimu yetu hii kunawatu wanakosa sifa ila ni janjajanja tu mjini, mtu akijua kuongea kwenye mic tayari anakuwa...
Usajili wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano ni Haki ya Msingi Inayopaswa Kutekelezwa kwa Wakati – Mhe. Randeep Sarai
Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada, Mhe. Randeep Sarai, amesema kuwa usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano ni...
Nina kero moja, ngoja niiweke hadharani leo, ni kuhusu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kinafanya Watu wapate tabu saana kupata ajira kupitia Ajira Portal.
Mfano hizi kazi za Walimu wa Economist au Mathematics, Mtu kasomea Pschology of Education in Mathematics and Economics, cheti kinaandikwa...
Cheti cha kuzaliwa kina majina matatu. Vyeti vyote vya shule vina najina mawili. Ni taratibu gani naweza kufanya ili majina yangu ya vyeti vya shule niweke jina la tatu ambalo liko kwenye cheti za kuzaliwa.
Kindly advise, please!
Binafsi niliwekeza kwenye Samia Infrastructure Bond na sijapata CHETI changu. Ninaomba ni muda muafaka kupata cheti changu cha uwekezaji. Pili, naomba mzingatie muda kuweka dividends ambayo ni kila baada ya miezi mitatu.
Nawasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.