vyama

  1. R

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa AI wa kisheria kuhusu kimachosemwa kuwa ushirikiano kati ya NIDA, INEC na CCM

    Kumekuwa na tuhuma zinazodai kuwa mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) umeunganishwa au unashirikishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) pamoja na Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa nia inayotazamwa/hisiwa kuwa ovu na inayokiuka haki za faragha na usawa wa kisiasa. Uhalali wa jambo...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Chaumma na ACT , na baadhi ya vyama vile 11 watapewa viti vya Ubunge na udiwani kuhalalisha haramu

    Time will tell! Mark this thread!
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Bashungwa: Puuzieni taarifa zinazolenga kuleta taharuki, Polisi watachukua hatua kwa wanaotishia usalama

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amevihimiza Vyama vya Siasa pamoja na Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani kunadi sera zao kwa Wananchi bila kutumia lugha ya matusi au kuanzisha vurugu zinazoweza kuhatarisha amani, pia amewasisitiza Wananchi kushiriki katika shughuli za...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa rais Samia asisubiri hadi alazimike kufanya maridhiano ya mapya na vyama vya upinzan juu ya madai ya msingi kuhusu uchaguzi mkuu.

    Hali ya kisiasa nchini inaendelea kuwa tete huku watu wengi zaidi wakiendelea kukosa imani na mchakato wa uchaguzi kila kukicha. Kiufupi Polepole ambaye ni kada wa ndani wa CCM emeendelea kuwafungua macho watanzania huku shauku ya kumsikiliza ikizidi kukua kila pahali. Komredi Polepole...
  5. JamiiForums Tanzania Kura yangu itaenda CCM kwa sababu vyama vya upinzani havina nguvu na mvuto period

    Habari za zenu wana jf MImi ni kada wa chadema wa miaka mingi sana tokea nipo O level mpaka chuo na tushapewa sana suspension( kusimamisha shule kwa misimamo yangu ya kisiasa) Kwa haya yanayofanyika nchini ni maigizo tu kwenye siasa hasa vyama vya upinzani ili kuleta demokrasia ya uongo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Asante sana Polepole hili ulilozingumza leo ni zito sana umelisanua Taifa juu ya Chaguzi feki, na vyama feki

    Kwa kweli katika mambo yote aliyoyazungumza Polepole, hili la kwamba CCM ina link ya moja kwa moja na mifumo ya NIDA na Taarifa za mpiga kura kwenye Tume ya Uchaguzi ni zito na zito mno. Kwa sasa hakuna Mtanzania yeyote aliye timamu anayeweza kushiriki chaguzi hizi feki. Huu ujumbe wa Polepole...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwana CCM amuandikia Msajili wa Vya Siasa barua ya Malalamiko ya UKIUKWAJI wa taratibu za kupata Mgombea Urais wa CCM

  8. JamiiForums Tanzania Hivi bado kuna mtu anaamini kuwa vyama vya siasa vya upinzani ndio vitaleta mageuzi katika taifa hili?

    Vyama hivi vinavyotumika kama stepping stone ya career za watu, kufanyiana unafiki wao kwa wao, loyalty chalii.., kurubunika, etc Upande wangu, i dont think so.
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Mohammed Mawinda: Walioko kwenye mfumo hawataki kufuata utaratibu. Vyama vinapotaka mambo yao wanatakiwa kufuata utaratibu

    Mmemuelewa huyu Sheikh lakini wakuu? Huyu mnadhani atakuwa ame-target chama gani hapa ambacho hakifuati utaratibu? ========================================== Akiwa anazungumza leo katika Mdahalo wa Wadau wa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 amesema kwamba...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Vyama vyaaswa kuzingatia sheria ya gharama za uchaguzi mkuu

    Akizungumza Jumatatu Agosti 18, 2025 Mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa Juma Khatibu katika Mafunzo kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), mkoani Dar es Salaam, Khatibu amempongeza Msajili wa Vyama vya...
  11. JamiiForums Tanzania TBC Taifa (Radio na Televisheni) na magazeti ya serikali kuonesha kwa usawa habari za vyama vyote vya siasa

    Kila baada ya miaka 5 Katiba ya JMT inaeleza kufanyika kwa uchaguzi mkuu hapa nchini ambapo wananchi huchagua Rais, wabunge na Madiwani. Katiba hiyohiyo pia imeelekeza uchaguzi mdogo kufanyika ndani ya kipindi kitachotangazwa na tume ya uchaguzi mara baada ya nafasi ya ugombea kuwa wazi...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa nini Ilani za vyama zisilazimishwe kisheria KUFUATA dira ya Taifa?

    Taifa liwe na dira ya miaka 50+ ijayo. Ifundishwe KWA Lugha rahisi kuanzia chekechea Hadi kwenye vijiwe vya kahawa mitaani. Kila Chama kilazimishwe kisheria kuandaa Ilani na malengo yake kuonyesha kitawezaje kutufikisha katika dira hiyo. Ni hayo tu Mtumishi Matunduizi
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Mhe Bwege: Matokeo yoyote tutakayopata kwa Uchaguzi huu ni kutokana na msimamo wa CHADEMA, asema vyama vingine ni vinyonga

    Dar es Salaam, Akihojiwa juzi katika kipindi cha The Interview kinachorushwa na kituo cha East Africa Radio, Mbunge wa zamani wa Kilwa, Mhe. Suleimani Bungara almaarufu Bwege, ameendelea kusisitiza kwamba Chadema bado wapo sahihi mpaka sasa na kwamba matokeo yoyote watakayopata upinzani katika...
  14. JamiiForums Tanzania Ni vyema viongozi wa klabu za michezo wasiwe wanachama wa vyama vya siasa

    Yanayoendelea sasa kwa Yanga na ambayo pia yamekuwepo Simba kwa baadhi ya viongozi wao kuwa wanachama waandamizi wa vyama vya siasa (hususani CCM) na kuleta mgongano wa kimaslahi kwa kulazimisha milengo yao ya kisiasa kuwa sehemu ya mienendo ya klabu wanazoziongoza, nadhani inapaswa liwe sharti...
  15. I

    JamiiForums Tanzania GE2025 Orodha ya majimbo yatakayotolewa kwa vyama shikizi ili kuhalalisha uchaguzi

    Kuna majimbo kadhaa yatatokewa kama zawadi kwa vyama shikizi ili kuhalalisha uchaguzi wa 2025. Je wagombe wa CCM kwenye hayo majimbo wanajijua kuwa watatolewa kafara. Tuwatonye mapema ili wasitumie nguvu nyingi kwenye uchaguzi.
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Halmashauri ya Wilaya Itilima – Simiyu tumekatwa fedha vyama viwili CHAKUHAWATA na CWT

    Halmashauri ya Wilaya Itilima, Mkoa wa Simiyu, Walimu tumekatwa makato kwenye vyama viwili vya Wafanyakazi ambavyo ni Chama cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu (CHAKUHAWATA) na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kinyume na taratibu za utumishi. Taratibu zinaeleza kuwa Mtumishi atajaza fomu...
  17. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini account za Ikulu zinarusha tukio la Mgombea Samia kuchukua fomu ya kugombea? Watarusha na wagombea wa vyama vingine?

    Wakuu, Hili ni tukio la kichama, katika shughuli ambayo kama atafanikiwa basi acc hizo za ikulu ndio zitatumika kirusha matukio yake. Kwanini zinatumika leo Samia akienda kuchukua fomu kama mgombea wa CCM, ni kwamba wameshapitisha kwamba yeye ameshakuwa Rais? Vyama vingine vikienda kuchukua...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Onesmo: Vyama vya Siasa tusibezane wala kugombana

    Ndugu. Onesmo ole Bulumwa amezungumza hayo baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza na kutoa salamu kwa wanachama na wajumbe waliofika katika mkutano huo Mlimani City Jijini Dar es salaam. Kwanza kabisa Tunapenda kuwapongeza chama cha ACT kwa uzalendo kwa kuendelea kutambua Sector Binafsi hasa...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya Wanachama wa ACT Wazalendo wagomea salamu ya Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa

    NAIBU Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza alipopewa nafasi ya kuzungumza kwenye Mkutano Maalum wa chama hicho leo, Agosti 6, 2025 alianza kwa kuwasalimia ''Nawasalimu kwa jina la Jumhuri ya Muungano wa Tanzania." mwitikio wake haukuwa vile alivyotarajia.
  20. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani Tanzania Bado sana wanasafari ndefu

    Vyama vya upinzani Tz vinafeli sana , kila siku wanapokea mamluki hawajifunzi , Mpina ghafla tu ACT wanamuamini kugombea nafac ya juu !
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…