vyama

  1. JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa vibadilike vitoe Fomu za kugombea kwa njia ya Mtandao

    Ni wazi Dunia imebadilika sana hasa katika nyanja ya Sayansi na Teknolojia katika Karne ya 21 hii nilitegemea kuona Vyama vya Siasa vitoa Fomu kwa njia ya Mtandao ( Online ) kama vile ambavyo Wanafunzi huomba nafasi za kujiunga na Vyuo Mbalimbali lakini cha kushangaza hakuna hata Chama kimoja...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini CCM ndio huwa wakwanza kutangaza wagombea wao na Vyama Pinzani kuwa vya mwisho kwenye chaguzi zetu?

    Imekuwa kawaida sasa ama ni tabia, kanuni au ni utamaduni ulioota mizizi hapa nchini kwenye siasa zetu kuwa CCM inapofika kwenye kipindi kama hiki cha uchaguzi ndio huwa ya kwanza kupitisha wagombea wao huku vyama pinzani bado kukiwa sintofahamu ya nani atapitishwa Mfano tumeona CCM ikimpitisha...
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto: Ni muhimu na ni lazima vyama makini vya upinzani kuweka Mgombea mmoja katika ngazi zote Bara na visiwani

    Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on...
  4. JamiiForums Tanzania Ili kujua Tathmini ya Uhai wa Vyama vyote, kila chama kipewe siku ya kujaribu mitambo, polisi walinde raia tu, kusiwepo hotuba

    Wana JF. Kwa kuwa vyama vyote vilisinyaa na kukosa bashasha na kuweka siasa pembeni ili kupisha Magufuri afanye kazi yake ya kuleta maendeleo. Vyama vyote viliitikia ingawaje kunavingine vilikuwa haviafiki na kuishia kuwa na migogoro na police. Wengine walifikia hatua ya kufungwa na wengine...
  5. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Orodha ya wabunge na watia nia ambao kama watagombea hawatarudi bungeni 2020 kupitia vyama vyao au kisanduku cha kura

    Kuna kila sababu ya wabunge na watia nia hawa, kutopitishwa na vyama vyao vya siasa kugombea . 1. Wabunge wote wa CHADEMA sababu wameonesha kuwa siasa zao ni za kujinufaisha wao bila kujali wananchi! Hasa kipindi cha corona walisikika wakitaka nchi iwe lockdown. 2. Zitto - Kigoma Mjini 3...
  6. JamiiForums Tanzania Confidence stratergies kwa wanawake wanaotaka kugombea ubunge/urais kwa vyama vya upinzani

    Hello JF, i guess awamu hii tumeshuhudia wanasiasa wengi wakihamia CCM, Hii ime create atmosphere fulani ya confusion,.. i mean.. Kwa wanasiasa wa upinzani,..... wa zamani kutokujua hatma yao, na wanasiasa wapya, kuwa na uoga wa ku contest against CCM, Sasa nimeandika hii topic...
  7. JamiiForums Tanzania Gwajima anapaswa kupigwa vita na vyama vyote

    Laiti kama tungekuwa nchi ambayo Kuna Uhuru mkubwa wa jeshi la polisi kuchunguza wahalifu aina zote na kuwapeleka mahakamani bila kusubiri amri za kisiasa, watu kama Mchungaji Gwajima wangekuwa washafungwa siku nyingi sana. 1. Kujipatia pesa Kwa njia ya udanganyifu. Hili sio tu Gwajima Ila...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Ni CCM kila kona, Wagombea Vyama vingine wako wapi?

    Naangalia mitandao na magazeti na vyombo vya habari. KIla sehemu wananchi wanajitokeza kupambana nafasi za Ubunge kupitia CCM. Nilitegemea Vyama vingine pia kuonesha bashasha hizo, lakini siwaoni. Muko wapi CUF, ACT, TLP, CDM, UDP, n.k? Kwa mtindo huu, yaweza kuwa ni uchaguzi wa upande mmoja...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vina Wabunge wasomi wa kuunda baraza la Mawaziri?

    Aulizaye si mjinga ila anayejifanya kujua. Mie nauliza tu niweze kujua. Ukishakuwa Rais unaunda serikali mpya ya baraza la mawaziri wenye sifa za uongozi na elimu ya juu, sababu waziri hawezi kuwa mkuu wa mwenye elimu maradufu yake. Je, upinzani una wasomi wakutosha kuunda hilo baraza na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni vyama vya Upinzani tu kushinda?

    Kuna wakati wakati kampeni za haki sawa kati ya Mwanamme na Mwanamke zilipoanza, wanawake wengi walizichukua katika muktadha tofauti kabisa na kile kilicholengwa. Walidhani kuwa huo ndo ulikuwa muda muafaka wa kufanya kila kitu ambacho wanaume walikuwa wakifanya hata kama kilikuwa kibaya. Kama...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Ryoba: TBC itaonyesha mikutano ya kampeni ya vyama vyote vya siasa, wanasiasa watumie lugha za staha

    Mkurugenzi wa TBC Dkt. Ryoba amesema shirika lake litaonesha mikutano ya vyama vyote vya siasa wakati wa kampeni. Dr Ryoba amewataka viongozi wa kisiasa kutumia lugha za staha na kuzingatia maadili ya viongozi. Kadhalika Dr Ryoba amesema atakuwa na kikao na viongozi wa vyama vya siasa ili...
  12. JamiiForums Tanzania Akili za Wachukua Fomu Kuwania Urais Kisiwani Zanzibar kutokea Vyama vyao mbalimbali wanazijua Wenyewe!

    Kuna Mmoja ambaye ni Mwanamke akitokea Chama Cha Mapinduzi kaulizwa na Waandishi wa Habari ni kwanini nae kaamua Kujitosa katika Watu 31 waliochukua Fomu jibu alilolitoa ni kwamba Kajitokeza tu kwakuwa kaona hakuna Uwiano wa Kijinsia. Mwingine nae kutokea Chama cha AFP Yeye kahojiwa kasema...
  13. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba Vyama vya NCCR - Mageuzi na ACT vimeandaliwa Kimkakati kabisa ili Kufifisha kama si Kuua kabisa Ufalme wa CHADEMA Kisiasa nchini?

    Nimedokezwa na Mtu kuwa vyama hivi Viwili vinaweza Kuunganika kwa muda kisha wakampokea Mwanasiasa Mmoja kutoka Mitaa ile ya Mnazi Mmoja na Lumumba ( ambaye Kafukuzwa Kimkakati ) anayewadanganya Watu kuwa ni Mpinzani wa kweli wa aliye Madarakani kwa sasa ili wamchague kama Flag Bearer Wao...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya CHADEMA kula ruzuku peke yake bila kuvigawia vyama shirika uchaguzi wa 2015 Msajili abadili kanuni na kuweka masharti magumu!

    Katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020 vyama vitakavyotaka kushirikiana ni lazima viingie mkataba wa kisheria na kuweka wazi maeneo ya ushirikiano wao. Msajili msaidizi mh Nyahuza amesema uchaguzi wa mwaka 2015 uliacha vidonda baada ya chama kimoja kilichoungwa mkono kupitia UKAWA kuvisahau...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Msajili: Mikutano ya Vyama vya Siasa inaratibiwa na Jeshi la Polisi kwa mujibu wa Katiba

    Ni katika kipindi cha Kipima Joto mubashara ITV Msajili Msaidizi Nyahoza amesema Msajili hausiki na uratibu wa mikutano ya kisiasa bali jukumu hilo ni la Jeshi la Polisi na ndio wanaopaswa kulitolea maelezo au elimu. Maendeleo hayana vyama
  16. M

    JamiiForums Tanzania Chama cha Labour Tanzania chakanusha kushiriki kikao cha vyama 11 kumtaka Msajili achukue hatua dhidi ACT-Wazalendo kwa Uchochezi visiwani Zanzibar

    WanaJF wasalaam, Mambo ni mengi muda hakuna. Naanza kuuona Uzalendo na Umakini wa TLP hasa kwenye hili, TLP naombeni kadi yenu.
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama vya Siasa 12 vyamtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kumchukulia hatua Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif wakidai ametoa kauli za uchochoezi

    VYAMA vya Siasa 12 vimeitaka ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kumchukulia hatua kali za kisheria Mwenyekiti wa chama cha ACT wAZALENDO, Maalim Seif Sharif Hamadi kwa kutoa kauli za kichochezi ambazo anaenda kinyume na kanuni na sheria za vyama vya siasa nchini Pia, wamesema kiongozi huo...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani jifunzeni kutumia unyanyasaji mnaofanyiwa kwa faida yenu - tumieni mahabusu kwa kuhamasisha maelfu kukamatwa dunia yote ione!

    Mara nyingine ili Magufuli na serikali yake waelewe kwamba wanafanya unyanyasaji usiokubalika kwa vyama vya upinzani, inatakiwa vyama vya upinzani waje na namna ya kutumia unyanyasaji huo kwa faida yao wenyewe. Wafuasi wa vyama vya upinzani wanapaswa kuelewa siku zote wale wanaopigania haki zao...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Malengo ya vyama uchaguzi mkuu 2020

    Kila chama kina malengo yake kwenye uchaguzi huu. 1. ACT Wazalendo Lengo lao kubwa ni kugawana majimbo na CCM Zanzibar. Hili asilimia za kufanikiwa ni asilimia 60% PLUS. Siasa za Zanzibar zilikuwa Ni za CCM VS CUF lakini CUF hii iwe chini ya Maalim Seif. Kwa hiyo Mambo yanavyooneka Ni kuwa CUF...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA imeishiwa kupendwa wabunge wote wanaohama vyama mbalimbali hakuna anayeenda CHADEMA wanaenda vyama vingine

    Moja ya sifa ya chama kupendwa ni kuangalia wabunge wahama vyama CHADEMA imepoteza mvuto wa kupendwa. Wabunge wake wengi wanaondoka chadema kwenda vyama vingine na wanaohama vyama vingine hakuna hata mmoja hadi sasa aliyehama chama chochote kuelekea chadema!! Hata chama kidogo Kama ACT...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…