Yote ni dhahiri mno na tunayaona kote bungeni na hata serikalini:
"Dhuluma dhidi yetu haziwezi kuachwa ziondoke zenyewe au kuachiwa mtu aje na huruma zake kuziondoa au kuachiwa kudra zake mola."
Tumefikishwa hapa kwa sababu ya unyonge wetu, woga wetu, ujinga wetu, hofu zetu, utengamano wetu...