Idofu
Senior Member
- Oct 24, 2022
- 127
- 217
Kwa Kipindi hiki Cha maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ni Vyama vitatu tu ambavyo ni CCM,CHADEMA na ACT ndio naona vina pilika pilika nyingi za kuuza sera zao kwa wananchi!!
Swali la kujiuliza hivi Vyama vingine shughuli zao wanafanyia sehemu gani?,Kuna Vyama tangu uishe Uchaguzi Mkuu uliopita mpaka sasa,hawajawahi kuitisha hata mkutano mmoja kulikoni?,
Lakini Viongozi wake wengi unawaona kwenye mikutano ya Kiserikali tu!!