vyakula

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Mamlaka na Watu wa Afya ya Mazingira mpo wapi kusimamia Soko la Vyakula Ilala Boma jijini Dar?

    Hii ni picha ya watu Wanafanyabiashara juu ya maji taka yanayosambaa eneo hilo la soko. Kwa Hali hii tutapona milipuko ya magonjwa? Au tunasubiri mlipuko uanze kisha ziundwe Kamati kufuatilia? Kipindupindu kikianza kinaharibu shughuli zote na uchumi wa mtu mmoja mpaka familia.
  2. Vyakula gani sipaswi kula endapo nina tatizo la acid reflux?

    Pia naomba kuuliza. Parachichi Apple Ndizi mbivu Wali Ugali Nyama Maziwa mtindi Maziwa fresh(boxed like asas and first choice) Wine. Mayai ya kukaanga au kuchemsha Vitu gani Kati ya hivi sipaswi kutumia kabisa? Maana nasumbuliwa na acid reflux na tumba kujaa ges. MWENYE UFAHAMU NAOMBA ANIJUZE...
  3. Natafuta vyakula vifuatavyo

    Habari wapendwa, Natumaini mnaendelea vyema. Natafuta vyakula vifuatavyo. Kwa anayefahamu, nishtue PA kuzinunua. Carob powder (mbadala wa cocoa, Hainan cocaine) Spelt wheat/stone ground wheat flour. (Ngano pori ambayo haijachakachuliwa) Pistachios Brazil nuts Chestnuts Macadamia Pine sap...
  4. M

    Vyakula vipi vyenye potassium kwa wingi?

    Habar wakuu nivyakula vipi vyenye potassium kwa wingi
  5. Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024

    Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024. Aidha, ongezeko hili limetokana na Serikali kuendelea kuhamasisha na kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji kwa Sekta Binafsi ili kukabili ongezeko la mahitaji...
  6. G

    Uzalishaji wa vyakula vya mifugo umeongezeka kwa kiasi kikubwa Tanzania chini ya serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

    Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024. Aidha, ongezeko hili limetokana na Serikali kuendelea kuhamasisha na kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji kwa Sekta Binafsi ili kukabili ongezeko la mahitaji ya...
  7. Hivi tunalima nini? na kwa ajili ya nani?Hawa foreigners wetu umeachia wakulima wa kigeni wawalishe vyakula?

    Loe nilipita Super Market ya Village Supermarket kununua maji tu ila nikazunguka zunguka hasa sehemu za vyakula, huwa mara nyingi nafanya hivyo. Kuna vitu vinasgangaza sana Bongo hii, Pale kwenye vegitable na fruits nilikutana na products asilimia 98 ni imported sana kutoka Kenya labda na...
  8. Mwanaume unatakiwa ule nini ili utoe shahawa za twins au triplets, Je, kisayansi vyakula gani pia mwanamke inabidi ale

    Kuna mfanyakazi wa azam amezaa mapacha wanne. Madaktari na wanasaikolojia, Mimi na wana jamiiforum wenzangu tumesubscribe uzi na tuna popcorn tayari kusikiliza majibu.
  9. D

    Vyakula wakipika wanawake kwenye shughuli mara nyingi huwa haviivi kuliko wakipika wanaume sijui watatizo gani hawa ndugu zetu

    Zunguka kote! Ukikuta kuna sherehe au msiba halafu wapishi wawe wanawake mara nyingi chakula kinakuwa kibovu mno kuliko wakipika wanaume! Wanawakwe huanza upishi kwa mbwembwe nyingi! Kuchambua mchele, kumenya viazi, vitunguu wanamenya, tena kilo zikiwa nyingi huwa wanagawana masufulia ili...
  10. Vyakula vya Asili Vinavyoweza Kusaidia Ngozi Yako Kuwa na Afya na Kuependeza

    Je, unajua kwamba vyakula tunavyokula vinaweza kuchangia moja kwa moja katika muonekano wa ngozi zetu? Vyakula vya asili vina virutubisho muhimu vinavyosaidia mwili kupambana na magonjwa na pia kuimarisha afya ya ngozi. Sehemu kubwa ya miili yetu ni ngozi, ambayo ina jukumu kubwa la kuukinga na...
  11. Vyakula vya kuboresha sehemu za Siri za mwanamke na kuongeza ubora WA tendo la ndoa

    Nasikia hakuna kitu kizuri kama sex .japo. Me mgeni kwenye mambo haya mjini hapa.japo kwa wenyeji jijini Maneno hayo wameyazoea hapa jijini. Kuna umri ukifika inatakiwa uangalie unakulaje.mwanamke unaweza ukajikuta unatembea na jangwa la Kalahari huko chini .na hii nchi ngamia hakuna bamia...
  12. Ni sahihi kwa mama mjamzito kubagua vyakula?

    Huyu dada tangu amepata ujauzito wangu, amekuwa ni mtu wa kubagua vyakula; hataki kula mchicha, chainizi, tembele, bamia, nyanya chungu, yaani mboga za kuota shambani hataki. Yeye anataka kitimoto, nyama ya mbuzi, kuku, samaki sato; kwa ujumla anataka kula vizuri vizuri tu, mbaya zaidi anataka...
  13. Tourism Value chain upande wa Vyakula kuna shida sana Tanzania

    Sekita ya Utalii ni kubwa sana na ni pana sana, ina chain ndefu sana nitataja chache tu; 1. Mawakala wa utalii hawa wako huko ulaya 2. Wasafiridha watalii, kuja Tanzania, hapa kuna ndge 3. Waongoza Watalii hawa ni makampuni ya kupeleka watalii porini na gari. 4. Maduka ya vinyago 5.Wamiliki wa...
  14. Naomba kujua Machimbo ya sehemu za kuchill pale posta, Vyakula na Vinywaji ni vya bei nafuu

    Nina jambo langu hapo Posta mpya naomba mtu mwenye kuyajua machimbo anipe area code. Asanteni
  15. Taja vyakula ambavyo ukivila kabla au baada ya kunywa pombe lazima utapike na ambavyo hutatapika

    Naanza Wali utatapika Ugali maini hutapiki Kitimoto hutapiki Mahindi ya kuchoma utatapika
  16. Wanaoweka sukari kwenye hivi vyakula wana matatizo gani?

    Kwa nini mtu anaweka sukari kwenye maharage, tambi na chapati? Sijawahi kuweza kuelewa watu wanaoweka sukari kwenye hivi vyakula huwa na matatizo gani.
  17. Sukari na vyakula vya wanga chanzo Cha magonjwa mengi yasioambukiza

    Wanga na sukari ni vyakula ambavyo hutia mwili nguvu. Lakini ulaji wa vyakula aina hiyo unapaswa kuangaliwa kwa umakinj mana ni kiasi kidogo mno ambacho hutumika kuleta nguvu kwa mtu. Hivyo basi kupelekewa sukari/wanga inayozidi kutunzwa ndani ya mwili ikiwemo kwenye ini, misuli n.k. Utunzwaji...
  18. Kuweni makini na vyakula vya njian hasa safari ndefu

    Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani! Kuna Jamaa alikuwa katika Bus, yaani yeye kila stend anaagiza chakula mara mahindi, sambusa mara karanga za kuchemsha, mara chipsi Alipofika Mombo akakuta nyama choma basi akaagiza nusu kilo na ndizi za kuchoma za elfu mbili! Baadae Akaomba na...
  19. Kijana mwenye ujuzi wa kupika vyakula vyote vya kisasa anatafuta kazi Dar es Salaam

    Habari JF, Je unahitaji mpishi mwenye ujuzi mkubwa wa kupandisha mauzo yako kwa kuongeza wateja wengi katika biashara hako? Kama ndiyo basi yupo kijana mdogo mwenye ujuzi wa kupika vyakula vyote vya kisasa vyenye hadhi kubwa anatafuta kazi ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam Makazi ya kijana huyu...
  20. Kwanini tunasema mkoa fulani maisha magumu vyakula gharama juu ilihali tanzania nzima bei za vyakula vikuu ziko flat rate

    Mara nyingi utasikia mtu tena mfanyakazi anayelipwa mshahara analalamika mkoa fulani bei za vyakula ziko juu ni mgumu kuishi wakati kiuhalisia vyakula vyote vya msingi bei hazijatofautiana sana Kwa mfano mchele mzuri utakuta 2000-2500 Mahindi kilo utakuta 700-1000 Maharage utakuta 3000-3500...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…