vurugu

Paulo Twaakyondo
No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Car4Sale Ist namba DBH kwa milioni 7 tu

    Bei ya kulenga kabisa hii chombo haina tatizo lolote. ipo mawasiliano, Dar. njoo ukague gari 0713096076 CHANGAMOTO ZAKE Imepauka Rangi Bampa linahitaji marekebisho kidogo, like 40,000 Tshs. Picha ninazo hizi tu
  2. L

    Uvumilivu na masikilizano vinaweza kusaidia kuondoa vurugu duniani

    Tarehe 2 ya mwezi Oktoba kila mwaka ni siku ya kimataifa kutokuwa na vurugu (The International Day of Non-Violence). Siku hii ilichaguliwa na Umoja wa Mataifa kwa lengo la kueneza ujumbe wa kutokuwepo kwa vurugu duniani, kupitia elimu na uhamasishaji. Lengo kuu ni kujenga utamaduni wa kuwepo kwa...
  3. Kanisa Katoliki lina mkono wake katika vurugu za CHADEMA za kuipinga Serikali? UVCCM, turuhusuni vijana wenu tuingie Kanisani na bendera, nguo za CCM

    Kila mara anapotokea Rais wa dini ile, basi lazima utaona vitimbi vya kanisa Katoliki, sasa kanisa katoliki limeruhusu, rasmi, chadema wafanye siasa makanisani kuipinga Serikali. Baadhi ya wanakwaya,wahudumu na waumini wamepewa ruksa ya kuvaa nguo za kisiasa makanisani kwa lengo la kisiasa...
  4. Nini hasa chanzo cha vurugu za mwaka 2001 kule Zanzibar?

    Wakuu wa jukwaa hili, sisi vijana wenu tunaomba mtujuze ni nini hasa kilijiri mpaka kukatokea vurugu kubwa hasa kule visiwani mwaka 2001 na kupelekea wengine kupoteza maisha! Natanguliza shukrani...
  5. Sad News: Watanzania Wanne Wauawa Afrika Kusini Katika Vurugu Zinazoendelea Nchini Humo

  6. Onyo: CCM msijaribu kufanya vurugu Agosti 5, 2021

    Nawakumbusha kwa upole sana, CCM na wengine, tunazo taarifa zenu kuwa mnataka kupandikiza vijana wa UVCCM mkijifanya ni CHADEMA siku ya kesi ya kishenzi mliyompa FM. Mipango yenu yote tunayao, tunajua vijana mnaowatuma na pesa mnazowapa ili wafanye vurugu then mpate ajenda yenu. I warn you...
  7. Ecuador: Waliofariki baada ya kutokea vurugu ndani ya magereza wafikia 27

    Idadi ya wafungwa waliofariki baada ya kutokea vurugu ndani ya gereza magereza mawili nchini Ecuador imefikia watu 27 huku serikali ya nchi hiyo ya pwani ya Magharibi mwa Amerika Kusini ikilazimika kutangaza hali ya hatari. Rais wa Nchi hiyo, Guillermo Lasso ameagiza kutumia kila linalowezekana...
  8. S

    Katiba Mpya ikileta vurugu, CCM itakuwa ndiyo chanzo kwa kukataza mjadala

    Kuna kitu ambacho CCM hawataki kutuambia - sababu za kuiogopa sana Katiba mpya. Tunachoona na visingizio tu kwamba Katiba mpya italeta vurugu, mara ooh tunashughulikia uchumi kwanza. Kwa nini na kwa vipi watu kujadili Katiba mpya kulete vurugu? Na Katiba mpya na uchumi vinaingilianaje? Kwani...
  9. Baada ya kuleta chokochoko za vurugu CHADEMA yapuuzwa Tanzania nzima. Operesheni Haki waliyofanya yaonekana ni batili

    Huu ndio ukweli wa mambo. Kama kuna chama kina gundu basi ni Chadema maana kila wanalogusa kwao linabuma. Kwa mkwara mzito walikuja na operation digital haki. Lakini ghafla bin vuu wakakengeuka na kudai kwa udi na uvumba wapo radhi kudai haki zao hata kwa kutumia majambia. Tafiti za kisayansi...
  10. Wanajeshi waingia mitaani kudhibiti vurugu zinazohusiana na Rais Zuma kufungwa

    Watu sita wameripotiwa kufariki baada ya kuwa na vurugu zilizosababishwa na kufungwa kwa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma Wanajeshi wame;azimika kuingia mitaani ili kudhibiti vurugu zinazoendela ambapo hadi sasa watu 219 wamekamatwa katika vurugu hiz Katika Jimbo ambalo Zuma...
  11. Wadau, mna maoni gani kuhusu vurugu inayofanyika Afrika Kusini?

    Wadau, wiki iliyopita nimekuwa nikitazama hii kesi ya Jacob Zuma. Zuma alifungwa kifungo cha miezi 15. Alikamatwa usiku wa kuamkia Alhamisi. Wafuasi wake wakaanza kuandamana. Usiku wa kuamkia juma mosi walichoma trucks (Ukipenda trela yaani yale malorry makubwa) zaidi ya 30. Baada ya kuchoma...
  12. Bei za mafuta zimelenga kudhoofisha uchumi na kuleta vurugu nchini

    Kuanzia tarehe 1 July, bei za mafuta, kuanzia petrol, diesel, kerosene zitapanda kwa kiwango kisicho na chembe ya uungwana. Maisha yatapanda. Mfumuko wa bei utapanda wakati kodi zitashuka maana hali naiona siyo nzuri sana. Kushuka kwa kodi pamoja na kupanda kwa gharama za maisha italeta...
  13. Vurugu Umbwe-Lyamungo: Miaka 12 baadae

    Leo nimeamka na kuwaza kwa machungu sana na maumivu moyoni nikikumbuka vurugu zilizotokea kati ya shule niliyokuwa nasoma Umbwe Sec na Lyamungo Sec 2009, vurugu zilizoacha vifo, majeraha na uharibifu. Shule mbili zilizopo katika wilaya mbili tofauti (Moshi Vijijini na Hai), zilizopo katika jamii...
  14. Punguzo la faini kwa bodaboda na bajaji: Serikali imejiridhisha kuwa halitaongeza vurugu na ajali barabarani?

    Mwanzo mwanzoni nikiri kuwa nimefuatilia na bado naendelea kuchambua Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022. Kuna jambo, lakini, nimeliona kwa haraka. Ni kuhusu pendekezo la kupunguzwa kwa adhabu kwa makosa ya barabarani kwa waendesha pikipiki almaarufu kama bodaboda na bajaji...
  15. J

    Arusha: Mkuu wa Magereza Godson Mwanagwa akanusha Ole Sabaya kufanya vurugu gerezani

    Mkuu wa magereza mkoani Arusha afande Godson Mwanagwa amekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mh Lengai Ole sabaya aligoma kuoga na kufanya vurugu gerezani. Afande Mwanagwa amesema Ole Sabaya alipokelewa vizuri na hakuna tatizo lolote gerezani. “Alipokelewa vizuri tu hakuna vurugu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…