vodacom

  1. B

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Twende Butiama: Vodacom Tanzania na Benki ya Stanbic Tanzania wakabidhi msaada Shule ya Msingi Mkata, Handeni

    Mkuu wa Kanda ya Kaskazini, Vodacom Tanzania PLC, George Venanty (kushoto) akimkabidhi kiti mwendo mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Mkata ambapo pia walikabidhi matundu ya choo 10, magodoro 40, vitanda 20 na viti mwendo 47 kwa shule hiyo ikiwa ni sehemu ya shughuli zinazofanywa katika...
  2. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Vodacom mwaka huu nimeamua kublock message zenu zote za promotion na kuzireport kama spam

    Mnauza taarifa zangu kwenye makampuni yenu ya matangazo halafu niendelee kuwachekea natembeza block tu na kureport kama spam. Upumbavu sitakiii..
  3. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Vodacom wameamua kutapeli watu kupitia M wekeza

    Tangia Jana mfumo wa m wekeza haungiliki na Vodacom wameamua kukaa kimya maana yake wametapeli hili halitavumilika labda wafunge ofisi zao
  4. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Vodacom kumwaga mabilion kwa wateja wake

    Kampuni ya simu ya mawasiliano ya Vodacom imetangaza kugawa bilion 28 kwa wateja wake nchini. Fedha hizo zitaenda moja kwa moja kwa wateja watumiaji wa mpesa na na huduma nyingine za vodacom. Fedha yako utafanyia nini mdau utakapopokea Gawio
  5. D

    JamiiForums Tanzania VODACOM Unlimited Internet kwa gharama ya TSh. 70,000/= 10Mbps speed

    Kwa watu wa zanzibar naunga unlimited internet ya Vodacom postpaid kwa gharama ya Tsh.70000 (elfu sabini tu) kasi yake ni 10Mbps (postpaid) Kwa mara ya kwanza utalipia Deposit 140000 hapa unapewa na device ya 5G au 4G na device unapata papo hapo ukilipia haina kusubili Kwa wale wa bara...
  6. snipa

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa Logo ya Vodacom wanayotumia X kuunga mkono Ushoga.

    Kampuni zinapofanya modifications kwenye logo zao nakuzitumia, kunakuwaga na mawazo tofauti, lakini hili la vodacom litaleta mitizamo tofauti hasa kwa tusiosupport LGBTQ. Hii ni account ya X inayomilikiwa na kampuni mama ya Vodacom SA ambao ndio wamiliki wa Vodacom TZ
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Vodacom imetimiza miaka 25 siku ya leo tarehe 9 mwezi 6 kuwepo kwake.

    Kongore kwa vodacom kutimiza miaka 25 tokea kuwepo kwenu kwa mawasiliano yenu.
  8. leh

    JamiiForums Tanzania Jitengenezee Streaming Server (Kama Netflix) Local (ya Nyumbani Kwako) [Tutorial]

    Wengi wetu ni wapenzi wa Movies na Series. Streaming services zililetwa kupambana na hali ya watu kutotaka kulipia cable services na pia watu kutumia piracy. Mwanzoni ilikuwa idea nzuri, lakini baada ya streaming companies kuongezeka na bei zao kupanda, inakuwa ngumu sana (haswa kwa sisi wa 3rd...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Vodacom Foundation Kuwekeza TZS Bilioni 3.25 Kwenye Elimu Kupitia Ushirikiano na Taasisi ya Elimu Tanzania na Twaweza Afrika Mashariki

    Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Mafunzo ya Mitaala katika Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Dkt. Angela Katabaro (kushoto), na Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom na Vodacom Tanzania Foundation, Zuweina Farah (kulia), wakishiriki katika hafla ya utiaji saini wa ishara kwa niaba ya taasisi zao kwa...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Vodacom mtandao wenu umetusumbua karibia wiki nzima bila internet na voice calls kususua lakini hata kufidia mmekimbia. Ni aibu sana

    Vodacom mtandao wenu umetusumbua karibia wiki nzima bila internet na voice calls kususua lakini hata kufidia mmekimbia. Ni aibu sana Haya mambo tunafanyiwa waafrika haswa sisi wabongo wenye amani na utulivu.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom yawekeza kwa Wasichana: Kupitia Mpango wa ‘Code Like a Girl’

    Mkurugenzi wa TEHAMA wa Vodacom Tanzania PLC, Athumani Mlinga akikabidhi cheti na zawadi kwa mmoja wa washiriki wa programu ya ‘Code Like A Girl’ katika hafla ya kuhitimisha mafunzo hayo jijini Dar es Salaam. Programu hii inalenga kuwawezesha wasichana wenye umri kati ya miaka 14 hadi 18 kwa...
  12. D

    JamiiForums Tanzania VODACOM postpaid bundle

    Karibu nikuunganishe na huduma ya bundle VODACOM POSTPAID huduma hii naunga kwa uharaka ndani ya dakika 1 Wasiliana nami whatssap au piga +255 765 991 551
  13. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania Job Vacancies – May 2025 (7 Listings)

    Explore New Career Opportunities with Vodacom Tanzania Are you ready to take the next step in your career with a leading telecommunications company? Vodacom Tanzania is hiring across multiple roles, offering exciting new career paths to talented individuals eager to contribute to the digital...
  14. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania Job Vacancies – May 2025 (7 Listings)

    Explore New Career Opportunities with Vodacom Tanzania Are you ready to take the next step in your career with a leading telecommunications company? Vodacom Tanzania is hiring across multiple roles, offering exciting new career paths to talented individuals eager to contribute to the digital...
  15. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Vodacom: Kuna watu ndani ya system wana wahujumu ndani ya siku hizi mbili mabando yanakatwa kinyume na utaratibu

    Juzi nilijiunga na bando la elfu 2 Mia 5 internet mida ya saa moja jioni. Sikwenda You Tube wala Instagram, wala Tiktok wala Fb. Nilikuwa nachati tu WhatsApp na kuperuzi Jf. Nafika home saa 3 usiku naletewa meseji ya umetumia asilimia 75 ya bando lako. I was shocked. Nilikuwa nna usingizi siku...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya rufani yaamuru Vodacom kuilipa TRA kiasi cha Tsh. Bilioni 1.4

    Mahakama ya Rufani imeiagiza Kampuni ya Vodacom Tanzania Public Limited Company kuilipa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) zaidi ya shilingi bilioni 1.4, ikiwa ni riba ya kodi ya zuio (withholding tax) kutokana na kuchelewesha kulipa kodi hiyo inayotokana na riba ya Mikopo ambayo kampuni hiyo...
  17. Setfree

    JamiiForums Tanzania Mwinjilisti amkemea vikali aliyejifanya Mhudumu wa Vodacom

    Hii ni habari ya kweli kabisa. Sio chai. Uongo mimi nauchukia kama ukoma. Mwinjilisti mmoja, masaa machache yaliyopita, alipigiwa simu (kwa namba ya kawaida ya mtumiaji wa Vodacom) na mtu aliyejitambulisha kuwa "Mhudumu" wa Vodacom. Maongezi yao yalikuwa hivi: "Mhudumu": Hallo, unaongea na...
  18. At Calvary

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda kuhusu unlimited za Vodacom hasa ambazo hazijawekwa wazi

    Habari wana Technology, Nipo Dar, nilipenda kupata huduma ya unlimited kwa Vodacom. Kabla ningependa kujua kwa wanaotumia, wana maoni gani kuhusu huduma hii. Na pia kulingana na ufuatiliaji nimeweza kuona kuna vifurushi mpaka vya 50000 unapata GB 30, ila naambiwa ni unlimited. Ningependa...
  19. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania M wekeza ni bonge la uwekezaji kutoka Vodacom kwa watu wenye mpunga wa maana

    Wakuu hii huduma ya Vodacom m wekeza ni bonge la uwekezaji aisee yaani nimetia pesa huko Sasa hivi nafanya kazi ya kuamka na Taulo huku nikinywa maziwa pesa yangu ikiniletea faida halafu uzuri wanaweka pesa. Tarehe 3 tu mwanzoni mwa mwezi mungu anipe nini mimi
  20. N

    JamiiForums Tanzania Bahati nasibu ya taifa yashirikiana na Vodacom

    Dar es Salaam, 27 Machi 2025. Bahati Nasibu ya Taifa ya Tanzania leo imesaini ushirikiano na jukwaa bora la huduma za kifedha kwa njia ya simu hapa nchini, Vodacom M-pesa, Ili kurahisisha miamala ya bahati nasibu ya Taifa na kupanua fursa za kibiashara kupitia mfumo wa fedha wa kidijitali...
Back
Top Bottom