Wakuu kwa ambae kanunua umeme,luku jana na leo kwa kutumia voda simshauri kuna tatizo kubwa sana huko voda watu tulionunua umeme jana leo tunalia na kusaga meno pesa zetu hazijarudishwa kampuni ishaanza wizi hii
Na Mwandishi Wetu
Morogoro — Wakati magonjwa yasiyoambukiza yakizidi kuwa tishio kwa afya ya jamii nchini, Vodacom Tanzania Foundation imeanzisha kambi maalum ya matibabu bure kwa wakazi wa Morogoro ili kuongeza upatikanaji wa huduma za uchunguzi wa afya pamoja na elimu ya kujikinga na magonjwa...
A fresh directive has been issued regarding dividends linked to Safaricom PLC following the controversial deal involving South Africa’s Vodacom Group and the Kenyan government.
The development comes amid ongoing scrutiny of the multi-billion shilling transaction that will see Vodacom acquire an...
Meneja Mauzo Mwandamizi wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kaskazini, Andrew Temu, akizungumza wakati wa makabidhiano ya matundu 10 ya vyoo vya kisasa vilivyojengwa na Vodacom Tanzania Foundation katika Shule ya Msingi Mkata iliyopo wilayani Handeni mkoani Tanga. Ujenzi wa vyoo hivyo unalenga kutimiza...
Vodacom wananikata hela ya Uwakala, nikiuliza wanasema kuna miamala batili, lakini hawathibitishi kivipi!
Nimekuwa nikikatwa pesa katika kamisheni yangu ya miamala ya uwakala na M-Pesa nikifuatilia naambiwa kuwa nimefanya miamala batili bila maelezo zaidi
Mimi ni wakala wa M-pesa, hivi...
Sasa unaweza kupata Vodacom unlimited PREPAID au POSTPAID BANDO za kulipia kila mwezi.
Kuungwa ni ndani ya muda mchache haifiki dakika 5.
Kigezo ni uwe na kifaa chako na kama huna tunakuuzia kwa bei nafuu.
Pia tunaunga vifurushi vya kawaida.
Ukichagua kifurushi kimoja unapata na MENU YA...
Nimekuwa nikikutana na changamoto ya kupata internet. Account iko paid, connection zote zipo sawa.
Nikipiga simu naambiwa ni tatizo la kiufundi.
Naomba kujua kama na nyie mnakutana na changamoto kama hii na jinsi ya kuiondoa
Pata INTANETI yenye kasi nyumbani au ofisini kwako ukiwa na Vodacom Faiba inayotumia teknolojia.
KWANINI FAIBA NI NZURI ZAIDI.
. Faiba haina kikomo cha watu, idadi yoyote inaweza kujiunga na kufurahia intaneti.
. Ni kuanzia elfu 60,000/= kama gharama ya kifurushi kwa mwezi unafungiwa kifaa cha...
Heri ya mwaka mpya wanafamilia ya jamii forum. Kwa wenye uzoefu na m-wekeza ya voda, mfano ukiwekeza let say Tsh. 10,000,000/= kwa miaka 10 kwa riba ya 13% kwa mwaka, je baada ya miaka 10 utaweza kupata kias cha Tsh. 33,945,673.899? Kama formula ya compound interest ilivyo? Au wao voda...
Kuna siku za nyuma niliona M-pesa ujumbe umetumwa ukisema cheza kile kindege Aviator link hii hapa.
Siku nyengine natumia tena Sms sijui kuna michezo mipya.
Mfumo jina M-PESA sms unawezekanaje uwe wa michezo wakati M-PESA sms ni kwa ajili ya jumbe za miamala.
Meneja Mauzo wa Vodacom eneo la Makambako mkoani Njombe, Elly Mwambene (kulia), akikabidhi kapu la sikukuu kwa mmoja wa wateja wao Sigfrid Lomanus Chaula (kushoto), katika muendelezo wa kampeni ya “Tupo Nawe Tena na Tena” inayolenga kugawa makapu kwa wateja katika msimu huu wa sikukuu. Kampeni...
Mtanzania, Vodacom Tanzania imekusogezea huduma ya vifurushi vya SME BUNDLES kwa gharama nafuu kulinganisha na vifurushi vya kawaida.
Nipigie 0795790411 niweze kuiwezesha line ili kupata access ya hvifurushi hivi.
Hakuna gharama ya kuiwezesha line, kuhusu kujiunga ni mteja mwenyewe utajiunga...
Habari wakuu.
Kwa alie na device (router) yake iwe ya Vodacom au Universal naunga bando hizi pre paid unlimited za Vodacom
Lakini pia kuna ambazo sio unlimited naunga pia.
Hizi nikikuunga baada ya siku 7 pia utanufaika na menu *149*01*77#
Hakuna gharama za ziada kuungwa na huduma, muhimu...
Wakuu,
Hatimaye Kampuni ya Mtandao wa Vodacom imeweka wazi kushughulikia Tatizo la kukatwa kwa bando wakati Mtandao ulipozimwa, imeeleza kuwa wateja wote waliofanya manunuzi ya Mabando watarejeshewa
Mbunifu wa huduma ya ‘Please Call Me’, Makate, ametakiwa kulipa Vodacom R13 milioni (Tsh 1.8 Billlion) kama gharama za kisheria
Mgogoro wa muda mrefu wa kisheria kati ya mbunifu wa huduma ya “Please Call Me”, Nkosana Makate, na kampuni ya Vodacom umechukua mwelekeo mpya wa kushtua, baada ya...
Kampuni ya Mawasiliano Tanzania ya Vodacom, iimewataka wananchi ambao hawataki kutumiwa meseji za Uchaguzi, waende kushitaki au kulalamika TCRA.
Meseji utake usitake utapokea tu. Huna uhuru wala haki yoyote ya kuamua wala kuchagua kwa mtakwa yako.
Pumzika kwa amani Alfonce Mawazo. Muda huu...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kuna changamoto kwenye manunuzi ya umeme (LUKU) inayosababisha wateja kushindwa kununua umeme kupitia mitandao ya simu ya Yas, Vodacom na benki ya NMB hivyo kwa sasa tunawashauri wateja kutumia mitandao ya simu na njia za kibenki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.