Vodacom mnaanza kuchanganya biashara na siasa?

Vodacom mnaanza kuchanganya biashara na siasa?

IMG-20260111-WA0154.jpg
 
Sitaki kusikia siasa kwenye simu yangu. Mkataba wangu na Vodacom unahusu mawasiiano Tu haya Mambo ya sikukuu za kisiasa nitaambiwa na Msemaji wa serikali na nitajua Jinsi ya kujibizana naye.
Kwani kuna ubaya gani
 
Sitaki kusikia siasa kwenye simu yangu. Mkataba wangu na Vodacom unahusu mawasiiano Tu haya Mambo ya sikukuu za kisiasa nitaambiwa na Msemaji wa serikali na nitajua Jinsi ya kujibizana naye.
Vodacom wanatakia heri wateja wake kwenye kila sikukuu, kuanzia za dini hadi za kitaifa. Wakisema Heri ya Christmas haina maana wanajihusisha na dini, na walivyosema heri ya sikukuu ya mapinduzi ya Zanzibar haina maana wamejihusisha na siasa
Kwa hiyo vumilia, Vodacom haitaacha kutakia heri wateja wake kila sikukuu rti kisa tu wewe inakukera. Cha msingi ukipata hiyo message ifute
 
Back
Top Bottom