Nikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.
Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.
Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya...