====
Kuelekea mashindano ya Mpira wa Miguu ya Kimataifa ya CHAN Mkurugenzi wa PPPC Bwana David Kafulila ameitaka sekta binafsi na ile ya Umma PPP kushirikiana na kuhakikisha wanaitumia kwa usahihi fursa hii pekee iliyopatikana kwa ushawishi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kafulila anasema...
Sometimes unapokuwa na hela hutamani kua sehemu ambayo sawa kuna wadada ila ukiwaangalia tu anakuja mezani kwako ama sehemu ulipo anaanza kukuambia twende tukapumzike ama naomba ninunulie bia, hapo hata personal hygiene yake ni mbaya..
Napenda sehemu ambazo za kistaarabu kuna pisi kali sawa ila...
Wakuu habari
Kuna viwanja vitatu Mzee kanipa,
Kimoja kipo Mlandizi ndani ndani huko porini, kama unaenda bagamoyo
Kingine kipo ubungo external
Cha mwisho kipo kimara mwisho
Na Sina mpango wa kuuza hata kimoja , ila mpango mkubwa ni kuanza biashara ya Real Estate
Sasa, swali la msingi...
Wakuu mimi ni Mgeni katika mkoa huu wa IRINGA, lakini pia ni mchezaji wa basketball, Ningependa kama kuna mwenyeji au yeyote anayefahamu viwanja vya basket iringa vinapatikana wapi.
Naomba unitajie viwanja vyote unavyovijua na sehemu vilipo
Mi nipo IRINGA MJINI.
Ahsante sana kwa atakaeshiriki...
Wife yupo Dodoma huko serikalini, nafanya shughuli zangu DSM, tangu enzi za magufuli kuhamisha watumishi nikasema ninunue viwanja kadhaa, ashukuriwe Mungu vingine nilijenga na nilipata wapangaji wazuri, in the process kujenga vingine nikaja gundua kumbe ni viwanja hewa, vina double allocation...
Wale hustlers
Mnakumbuka baada ya tetesi Chato kua mkoa tulinunua viwanja vya beach bei Kali,
Leo hii maeneo Yale yameshika hata wa kukupa milioni moja eneo la beach hayupo,
Sasa na utete twende tukanunue au tupapotezee maana haya mambo huchanganya Sana
Utete unakwenda kuzaa mkoa WA rufiji...
Wakuu
Haya Matangazo ya viwanja "Vinauzwa na Hati" yanayosikika karibu kila kituo cha daladala hapa mjini Dar kupitia sauti kubwa kutoka kwenye spika zilizowekwa, ni kero kubwa kwa abiria na wananchi kwa ujumla. Kila ukigeuka, unaskia matangazo yanayohusiana na viwanja vinavyouzwa, na hivyo...
Wewe mkazi wa Dodoma au popote ulipo, kama umekuwa ukiota kumiliki kiwanja Dodoma, sasa ndoto yako inaweza kutimia! Tunakupa fursa ya kipekee ya kumiliki kiwanja kwa bei nafuu na chenye thamani. Wekeza leo kwa faida ya sasa na baadaye.
Viwanja Vinavyopatikana:
1. Kiwanja Karibu na Hospitali ya...
ACT Wazalendo, kupitia taarifa yetu kwa umma ya tarehe: 08/11/2024, tuliitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuweka, hadharani gharama zote za matengenezo ya Viwanja vya Amani na Gombani ambavyo vimetangaazwa kufungwa ili kufanyiwa matengenezo, kutokana na taarifa yetu hiyo, Wizara ya Habari...
Nimegundua sasa ni kwanini watu wananunua viwanja kisha wanaendelea kutumia hati zenye majina ya watu wengine bila kubadilisha majina.
1.) Hivi inakuwaje mtu anunue kiwanja milioni 50 kisha report ya valuation iseme kwamba kina thamani ya 200mil.?! Kama kweli kinathamani hiyo kwanini mtu auze...
BALOZI wa Ujerumani Nchini Tanzania, Thomas Terstegen anatarajia kushuhudia michezo jumuishi itakayoshirikisha vijana zaidi ya 45, michezo itakayofanyika Novemba 25, 2024 kwenye Viwanja vya Filbert Bay, Kibaha Mkoani Pwani.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Mkurugenzi wa Special Olympics...
Mkuu wa Mkoa alikuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi huu. Sisi wananchi wa Jiji la Mwanza tumefurahia sana uzinduzi huu ila ninaomba tuletewe pia nyama pori katika festival hii ya nyama choma.
===
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amezindua tamasha la Ilemela nyama choma litakalokuwa...
KAMATI YA BUNGE, PIC YARIDHISHWA NA UWEKEZAJI WA SERIKALI VIWANJA VYA NDEGE NCHINI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imesema imeridhishwa na uwekezaji unaofanywa na Serikali kwenye Ujenzi wa Viwanja vya Ndege nchini.
Hayo yamebainishwa jijini Dar es Salaam 15...
Ndugu wanabodi.
Kuna utitiri wa uuzaji wa viwanja vidogo sana kwa bei inayoanzia laki nane mpaka milions kadhaa.
Nikipiga hesabu futi 50 kwa 40 hapo utajenga nini. Au tunaenda kutengeneza vingunguti nyingine.
Ushauri wangu kama huna hela ambayo unaweza kupata robo au nusu heka.hapa mjini kwa...
Licha ya kuwa mpira ni haramu kwa mujibu wa mafundisho ya dini yangu lkn kama mimi kama msomi sinabudi kuchambua mchezo huo.
Tuanzie hapa.
Yanga na simba ni timu kongwe sana Tanzania, ni timu zenye washabiki wengi na ndio timu zinazotegemewa ktk Afrika kwa ujumla.
Yanga imevuma sana huko nyuma...
Mimi nimejaribu kupita huku na huku Tz hii. Huu utataratibu wa kuweka speakers Asubuhi mpaka jioni ukitangaza kiwanja cha futi 40x50 nimeuona Dar peke yake.
Kwa nini nje ya Dar huu utaratibu haupo wakati huku mkoani watu wanapata maeneo makubwa zaidi tena kwa bei nafuu siyo hio 20x20 . Mili 6.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.