Kiongozi mpya wa Hezbollah, Naim Qassem, amesema kundi lake halitoweka chini silaha wala kujisalimisha licha ya vitisho vya Israel. Akihutubia maelfu ya wafuasi wake wakati wa maadhimisho ya Ashura mjini Beirut,
Qassem alisisitiza kuwa, "vitisho hivyo havitatufanya tukubali kusalimu amri.”...