Sina mengi ila nina mfano tu mdogo,
Mtu anakuambia "mpige huyo mtoto mchanga"
Kwa kawaida utashi uliozaliwa utakuambia hii sio vyema kabisa, tafakuri yako itasaidia usute nafsi yako thus utaacha kabisa kumpiga huyo mwana.
Lakini kuna huyu "great thinker" nafsi itamsuta lakini ataanza kwa...
Ni dhahiri kuwa taifa letu linapitia kipindi kigumu, ambapo hali ya kisiasa inaendelea kuwa tete na raia wanahitaji kupewa haki zao, si vitisho au hofu. Rais wa Mchogo anaposhindwa kuelewa kwamba wananchi wanadai haki ya msingi ya kuishi kwa amani, maendeleo, na usawa, anaendelea kuathiri zaidi...
Kuhusu bodaboda wapewe mwisho lita 2 lilikuwa suala kupitiwa wakati wakiwa wanasikiliza maelezo toka kwa wakubwa wao.
Makanusho ya serikali ya CCM ni kwamba wanachotaka kukifanya kilisha link na ndio maana wanatoa vitisho kwa njia yoyote.
Walikanusha mfumo wa NIDA na CCM na tume ya uchaguzi...
Mwandishi wa chombo cha habari CNN mwenye uraia wa kenya Larry Madowo ameshare baadhi za ujumbe anazotumiwa DM za matusi na vitisho baada ya kuchunguza na kuripoti mauaji ya kikatili ya waandamanaji yaliyotoke Oktoba 29
Tutaheshimiana tu, maandamano ya MO29, yalijawa na vitisho sijawai kuona.
Nchi nzima polisi, JWTZ magereza na Tiss walikuwa wanazunguka mabarabarani na outdated armed vehicle and tanks kutisha waandamanaji.
Chalamila kila siku alikuwa anatoa matamko, kina Muliro walifikia hatua ya kusema "Kwa...
Naona walioko hapo juu mnaendelea kufanya kosa lile lile la kabla 29.10.2025. Kabla ya hayo maandamano mlitumia vyeo vyenu vya Uamiri Jeshi Mkuu, Ukuu wa Mikoa, U-IGP nk kuwatishia waandamanaji, kwamba wakiandamana watakiona cha moto.
Mkaanzisha na kupitisha maandamano ya Polisi na Wanajeshi...
Wametoka kwenye vitisho wakaona havifui dafu kwenye maandamano sasa wamekuja na wimbi la mashekhe ubwabwa sasa hawa ndio wazuie maandamano?
Ndugu zetu wamekufa kama kuku October 29 alafu mnatuletea hawa mashekhe moto utawaka #D9
Kuna Video inasambaa sana Kwa Kasi mtandaon, anaonekana MTU anayejiita Sheikh kwenye mkutano na Vyombo vya habari, AKIWATISHA MAASKOFU WA TEC.
Sasa ni hivi, Mbinu yenu ya Kujaribu Kutisha Kanisa ili waingie kwenye huo upuuzi wenu wa MARIDHIANO, Umeshindwa.
Hata mchochee Mpasuko wa KIDINI ili...
Mauaji ya raia hayakuwa vitisho bali ni kuwajaza chuki wananchi na visasi dhidi ya vyombo vya usalama.
Tutarajie nini baada ya watanzania kupoteza ndugu zao kama sio machafuko zaidi
Kufuatia sintofahamu ya kupiga mabomu na risasi kwenye mitaa na kuwatishia watu wasitembee maduka na magenge yamefungwa
Watu wanakula akiba ya chakula kilichokuwa nyumbani, kikiisha nawahakikishia watu hawatavumilia njaa, hawatakubali kufa kwa njaa watakuja mitaani bora muwauwe kwa risasi...
CCM na Serikali inatambua Fika Maandamano ya wananchi ndio njia pekee ya wao aidha kuondoshwa madarakani au kulazimika kukubali matakwa ya wananchi ambayo hawataki kuwapa.
Njia zote nyingine ikiwemo ya kukaa mezani haziwezi kuzaa matunda kwani tayari CCM wanajua namna ya kucheza ulaghai kwa...
Sitaki kuamini kwamba siasa za ndani ndio zimetufikisha hatua hii...
Ila inawezekana Taifa linapokea vitisho vya kiusalama vinayopelekea kua na hari hii tuliyonayo na watawala hawana namna bali ni kutii
Kama sio tatizo ni nini!? Mbona mambo mengi yanaepukika, tuache upumqavu/upu-uzi huo mara...
Na Mwanachama Hai wa CCM TEMEKE
Utangulizi
Kwa masikitiko makubwa na kwa dhamira ya dhati ya kulinda heshima, maadili, na misingi ya haki ndani ya chama chetu, napenda kuwasilisha taarifa hii maalum ya uchunguzi wa awali kuhusu mchakato wa kura za maoni ndani ya Jimbo la Temeke. Taarifa hii...
Rais wa Urusi Vladimir Putin amedhamiria kuendeleza vita dhidi ya Ukraine hadi pale mataifa ya Magharibi yatakapokubali kujadili amani kwa masharti yake, licha ya tishio la Rais Donald Trump kuiwekea Urusi vikwazo zaidi.
MigogoroUlaya
Putin apuuza vitisho vya Trump, aapa kuendeleza vita Ukraine...
Mkuu wa Hezbullah anasema kundi la Lebanon bado liko wazi kwa amani, lakini halitasalimisha silaha zake , hadi pale Israel atawacha mashambulizi yake ya anga na kuondoka kusini mwa Lebano, pia walio ahidi USA na Saud Arabia kuijenga Lebanon na kuwachiwa mateka wote wa Lebanon
Mkuu wa Hezbullah...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.