Biashara ya kukodisha viti na maturubai

Biashara ya kukodisha viti na maturubai

JOSEPHAT_07

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
319
Reaction score
195
Habari

Samahani kwa mwenye uzoefu na biashara hii naomba anipe maelezo kuhusu biashara hii
1.Garama ya viti (kuvinunua pamoja na kukodisha)
2.Garama ya turubai (kuvinunua pamoja na kukodisha)
3.Jinsi ya kuendesha na kuitangaza
 
Wasukuma walishtuka wanakamuliwa pesa zao kijinga kwa shughuli za kijamii kama Sherehe na Misiba.

Saivi Kila Nzengo Wana viti vyao na safuria za kupikia, walichobakiza ni hio Tents na mziki tu, napo hio biashara inaende kuteketea labda ije kwa Branding ya kisasa zaidi.
 
Asante
 
Mbona kama umeiandika kinafiki flan kiroho mbaya flan...wanakamuliwa...kwani si walikua wanaitaji huduma hio ...ukihitaji huduma unatozwa fedha unapewa huduma uliyoitaka ...Sasa ulitaka wapewe Bure? Ndio mana bongo kutoboa ni ngumu sana waliotoboa ni wanasiasa tu na watu walioko kwenye mfumo wa kisiasa ila ni wafanya biashara,,..
 
Umeisoma vbaya, soma sentesi ya mwisho, mtoa mada kaelewa kinachohitajika kwenye biashara hio.
Branding na ubunifu ndio njia pekee ya kuwin hii biashara.
 
Back
Top Bottom