Salaam!
Ule mwisho uliotarajiwa, unakuja kwa njia ngumu sana na ya kutisha.
Ni majira yameruhusiwa kutokea duniani Ili kuwakusanya watu pande kuu mbili.
Na pande hizi ni pande mbili za kiimani, SI kidini. Yameruhusiwa majira ya vita, ufunguo wa vita hii ulianza 2020 Corona iliporuhusiwa...