vitambulisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tabora: Wahamiaji haramu 32 wakamatwa wakitokea Kigoma na wana vitambulisho vya kupigia kura

    Wahamiaji haramu 32 raia wa Burundi wamekamatwa Mkoani Tabora wakitokea Mkoa wa Kigoma kuelekea Mikoa ya DSM na Mbeya katika upekuzi watatu wamekutwa na vitambulishio vya kupigia kura vya Tanzania na sita wakiwa na barua za utambulisho kutoka kwa Watendaji wa Kata za Mkoa wa Kigoma na DSM...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Raia wanauza vitambulisho vya kupiga kura kwa siri

    Msimamizi wa Uchaguzi katika Jimbo la Sumbawanga Mjini mkoani Rukwa, Jacob Mtalitinya amewaonya wananchi wanaouza kadi zao za mpigakura kwa siri. Amesema kitendo hicho ni kinyume cha sheria na watakaobainika hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mtalitinya ambaye pia ni Mkurugenzi Manispaa ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Amos Makala ex RC wa Katavi aombwe radhi pia ni kuhusu Vitambulisho vya Mjasiriamali

    Muungwana akivuliwa nguo huwa anachutama. Rais Magufuli tafadhali achutame. Kuna kila sababu ya kuamini kuwa vitambulisho vya ujasiriamali vilikuwa vya lazima. Japo Rais Magufuli amejitokeza hadharani na kusema havikuwa vya lazima. Lakini sote tunakumbuka Amos Makala alitumbuliwa baada ya mkoa...
  4. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania CCM inakosea sana pale inaposema vitambulisho vya machinga sio vya lazima

    Chama langu halipaswi kujichanganya juu ya suala hili kamwe, aidha kusema wajawazito kujifungua ni bure au watoto chini ya miaka mitano matibabu ni bure nasem ahivi kwa sababu ndani ya mda mfupi tu uliopita haya yalikuwa ni mambo ambayo yalikuwapo na baadhi yalitiliwa mkazo kweli kweli,kuhusu...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kwamba vitambulisho havijawasaidia wajasiliamali wa dogo na machinga ?

    Ebu tusema ukweli.hata kama ilionekana ni utaratibu mpya umewekwa ili kundi hili linalojitafutia pesa kwa njia ya kipato kidogo lisisumbuliwe kwa njia Yoyote ile kwa kutambuliwa na mamlaka za serikali .wapinzani mmeligeuza kwamba ilikuwa ni njia ya serikali kupata kodi kutoka kwa watu...
  6. Matojo Cosatta

    JamiiForums Tanzania Je, vitambulisho vya machinga ni lazima au ni hiyari?

    JE, VITAMBULISHO VYA MACHINGA NI LAZIMA AU NI HIYARI? Kwa tafsiri yangu ya sheria ni kuwa Vitambulisho vya Machinga ni lazima na msingi wa tafsiri yangu ni rejea za sheria zifuatazo; (1) Kifungu cha 22 A cha Sheria ya Utawala wa Kodi, Sura ya 438 kama ambavyo imefanyiwa mabadiriko na Kifungu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, wapinzani hawapotoshi kuhusu vitambulisho vya ujasiliamali?

    Wakuu habari zenu, Katika muendelezo wa kampeni za uchaguzi huu limejitokeza hili suala la vitambulisho vya ujasiriamali,nami nikasema si vibaya nikilileta hapa jukwaani tuweze kujiuliza yafuatayo:- - Kama kusingekuwa na hivi vitambulisho je hawa wajasiriamali wangelipa tozo za biashara kiasi...
  8. dubu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Vitambulisho vya Machinga sio lazima, acheni uongo

    Mgombea Urais kupitia CCM Dkt John Magufuli amesema, watu wanazusha kwamba Machinga wanalazimishwa kuwa na vitambulisho, sio kweli. Vitambulisho sio lazima. ''Vitambulisho havilazimishwi ni lazima itolewe elimu kwa wanaoshiriki kwenye vitambulisho ili wakafanye bishara mahali popote, tunataoa...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 UMD yaahidi kufuta Kodi ya Majengo na Vitambulisho vya Taifa

    Mgombea UMD kufuta vitambulisho vya taifa MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mohamed Mazrui, amesema iwapo atapata ridhaa ya kuongoza Tanzania, Serikali yake itafuta utaratibu wa wananchi kupewa Vitambulisho vya Taifa. Alisema hayo juzi wakati wa...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya machinga vyaingiza Tsh. Bilioni 32

    Nimemsikia Grayson Msigwa akidadavua mafanikio ya awamu ya 5. Wamegawa vitambulisho vya machinga 1,600,000 @ sh. 20,000/- Jumla sh. 32,000,000,000/-. Sijui Kama CAG anajua zilipo.
  11. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wananchi wanaibiwa kwenye vitambulisho vya machinga

    Tangia mgombea wa CHADEMA mheshimiwa Tundu Lissu aanze kampeni zake nimemsikia mara kwa mara akiwaahidi wananchi kuwa akishika madaraka atafuta vitambulisho vya machinga na akaenda mbali zaidi kwa kusema hii ni Kodi ya kichwa Sasa Jana wakati akiendelea na kampeni zake Dodoma ameligusia tena...
  12. J

    JamiiForums Tanzania CCM Wilaya ya Tabora yampa onyo kali Komanya kwa kuwatishia wajasiliamali na askari ili wanunue vitambulisho!

    Katibu wa CCM wilaya ya Tabora mjini ndugu Mrema amemtaka mkuu wa wilaya hiyo mh Komanya kuacha mara moja tabia ya kuwavamia wajasiriamali akiwa na polisi na kuwataka wanunue vitambulisho kwa lazima. Mrema amesema wamempa onyo DC Komanys kwa sababu kila wakimwita kwenye vikao anapiga chenga...
  13. MGANGA WA KIENYEJI

    JamiiForums Tanzania Kero hii ya abiria kushushwa kwenye mabasi ili wakaguliwe vitambulisho check point ya Vijinga, Wiliya ya Mkinga Mkoa wa Tanga itaisha lini?

    Hii ni kero ya muda sasa katika Check Point ya Vijinga, Wilaya ya Mkinga, Mkoa wa Tanga, kwa abiria bila kujali vikongwe au wazawazito au wagonjwa wote kushuka chini wafikapo Check Point hiyo ili kukaguliwa vitambulisho vya kura au uraia. Kwa kweli mantiki yake haionikani kwani kwa mtu yoyote...
  14. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hili la kuondoa vitambulisho vya machinga umebugi stepu

    Mh Lissu katika pitapita yake kasema atafuta vitambulisho vya machinga. Hapa amechemka mwambieni Bora aseme ataboresha usimamizi. Hivi vitambulisho vimewasaifia kuondokana na misako ya maofisa wa TRA na mgambo wa jiji. Kumbuka wengi wa wenye hivi vitambulisho Ni wenye vibanda vidogo mtaji wao...
  15. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Mkoani Mara yakamata vitambulisho hewa vilivyokuwa vimeandaliwa kupiga kura uchaguzi wa Ubunge Viti Maalum

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Mara imekamata vitambulisho hewa vilivyokuwa vimeandaliwa kupiga kura za maruhan katika uchaguzi wa ubunge viti maalum mkoani humo.
  16. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vinavyothibitisha mtu hawezi kuambukiza wengine COVID-19 vitaanza kutumika katika nchi 15 duniani ikiwemo Afrika Kusini

    Utangulizi: Nchi kumi na tano, Italy, Portugal, France, India, the US, Canada, Sweden, Spain, South Africa, Mexico, United Arab Emirates and the Netherlands zimekubali kuingia rasmi kwenye mfumo wa kutumia vitambulisho vinavyo thibitisha kwamba mtu hawezi kuambukiza wengine C-19, COVI-PASS...
  17. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Hivi vitambulisho vya mjasiriamali mdogo vina maana gani hasa? Pesa inayokusanywa ni ya nani na inakwenda wapi?

    WanaJF, habari zenu wote!! Hebu tulijadili tena hili. Mwaka huu 2020 limekuja kiaina na kivingine kabisa. Limeniacha na maswali yasiyo na majibu. Labda wenye majibu watatushirikisha... Ni kuhusu hii kitu iliyopewa jina la "KITAMBULISHO CHA MJASIRIAMALI MDOGO". Mimi naona kama ni usanii na...
  18. Numero Uno

    JamiiForums Tanzania Serikali acheni siasa watu tunahitaji vitambulisho

    .
  19. Bandamwagaz

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene asema mitambo mipya NIDA kuanza kufanya kazi hivi karibuni, kasi ya Rais Magufuli imesambaratisha upinzani nchini

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema mitambo mipya ya uzalishaji wa vitambulisho vya taifa itaanza kufanya kazi hivi karibuni baada ya wataalamu kuwasili nchini. Mitambo hiyo ya kisasa ambayo inauwezo wa kuzalisha vitambulisho 144,000 kwa siku, ilishafungwa muda mrefu...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tabora: Serikali kuanza msako kwa wasio na vitambulisho vya ujasiriamali

    Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ametoa onyo kwa wajasiliamali watakaokaidi kuchukua vitambulisho vya wajasiliamali wasije wakalalamika kufuatia hatua zitakazochukuliwa na Serikali wakati wa kufanya msako wa vitambulisho hivyo kwani watakuwa wamekiuka agizo halali la Serikali. Mwanri ametoa...
Back
Top Bottom