Tuwe tu wakweli ndugu zangu, hivi Vitambulisho vya mjasiriamali hatujapigwa?

Prof Koboko

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
350
2,549
Naanza kupata wasi wasi na hili zaidi ya 90% kuhusu hivi vitambulisho vya mjasiriamali. Kila nikitazama najiuliza ni vipi serikali yangu ilifanya haya na kwa manufaa ya nani?

Naomba nijibiwe maswali haya tafadhali sana.

1. Kwanini hivi vitambulisho vinatolewa bila risi ya malipo?
2. Hizo pesa za vitambulisho zilizokusanywa zilienda kwenye mfuko wa nani na kufanya nini? Nani mwenye kuujua mfuko huo?
3. Kwanini mjasiriamali hakuambiwa anatoa hizo pesa zinaenda kufanya kitu gani?
4. Ilikuaje Rais ndio achangishe hizi pesa badala ya mamlaka yetu ya kukusanya kodi TRA?
 
Mkuu hicho wala hakipaswi kuitwa kitambulisho..
Kitambulisho hakina jina la mmiliki, hakina picha, na features nyingine muhimu ili kiitwe kitambulisho, kitaitwaje kitambulisho??

Yaani hata kama mtu amekidondosha mahali mwingine anaweza kukiokota na kuendelea nacho na akafanyia kazi, hicho ni kitambulisho gani??

Mbaya zaidi, watu walivyolipia Sh 20,000/ hawakupewa risiti za malipo..uhuni mtupu...!!
Meko ni mwizi kwenye hili.
 
Hapo wameshapigwa sema kaokoa okoa baadhi Mr. Tundu .
Kama kawaida yao, wanasababisha ajari kisha wanajifanya kuokoa jahazi, wala sio majeruhi .

Wakati huo huo wanasisitiza udai rist ya malipo ! Vituko tupu, na hakuna rist hapo .

Wengine walitaka apewe miaka 7 badaya ya hii mitano ili akapumzike pale CIA.

Jamaa hafai, na hivi kila mmoja pale anamtetemekea hakuna wa kuhoji.

Naendelea kumshukuru Mungu kuweka sauti ya wengi kwenye kinywa cha Lissu, la sivyo angepita bila kupigwa kama alivyo zowea kwao chattle.
 
Swali gani.ivyo ni jamaa ali amka tu asubuh akawaza kuchapisha vi karatasi mka pewa
 
Hapo wameshapigwa sema kaokoa okoa baadhi Mr. Tundu .
Kama kawaida yao, wanasababisha ajari kisha wanajifanya kuokoa jahazi, wala sio majeruhi .

Wakati huo huo wanasisitiza udai rist ya malipo ! Vituko tupu, na hakuna rist hapo .

Wengine walitaka apewe miaka 7 badaya ya hii mitano ili akapumzike pale CIA.

Jamaa hafai, na hivi kila mmoja pale anamtetemekea hakuna wa kuhoji.

Naendelea kumshukuru Mungu kuweka sauti ya wengi kwenye kinywa cha Lissu, la sivyo angepita bila kupigwa kama alivyo zowea kwao chattle.
Lazima tuhoji.Mfuko wa hizi pesa uko wapi na zinafanya kazi gani?
 
Inategemea upo maeneo gani.

Kuna maeneo usipokuwa na hicho utajikuta faida yote kila siku wanakula migambo.

Hii haiondoi aliyebuni huu mradi amekula pesa
 
Naanza kupata wasi wasi na hili zaidi ya 90% kuhusu hivi vitambulisho vya mjasiriamali. Kila nikitazama najiuliza ni vipi serikali yangu ilifanya haya na kwa manufaa ya nani?

Naomba nijibiwe maswali haya tafadhali sana.

1. Kwanini hivi vitambulisho vinatolewa bila risi ya malipo?
2. Hizo pesa za vitambulisho zilizokusanywa zilienda kwenye mfuko wa nani na kufanya nini? Nani mwenye kuujua mfuko huo?
3. Kwanini mjasiriamali hakuambiwa anatoa hizo pesa zinaenda kufanya kitu gani?
4. Ilikuaje Rais ndio achangishe hizi pesa badala ya mamlaka yetu ya kukusanya kodi TRA?
Wizi mtupu wa magufuli kwa wanyonge
 
Mkuu bado unauliza? Ukimwona Magu anababaika leo anajibu hivi mara vile ujue kapiga hela ndefu sana..

Za Mwizi 40, bado 15
 
Naanza kupata wasi wasi na hili zaidi ya 90% kuhusu hivi vitambulisho vya mjasiriamali. Kila nikitazama najiuliza ni vipi serikali yangu ilifanya haya na kwa manufaa ya nani?

Naomba nijibiwe maswali haya tafadhali sana.

1. Kwanini hivi vitambulisho vinatolewa bila risi ya malipo?
2. Hizo pesa za vitambulisho zilizokusanywa zilienda kwenye mfuko wa nani na kufanya nini? Nani mwenye kuujua mfuko huo?
3. Kwanini mjasiriamali hakuambiwa anatoa hizo pesa zinaenda kufanya kitu gani?
4. Ilikuaje Rais ndio achangishe hizi pesa badala ya mamlaka yetu ya kukusanya kodi TRA?
Hatari halindio hiyooo
 
Prof ambae huna akili,hujui kuwa mlipaji anapewa control number,na risiti inayotoka ni electronic,na malipo yanaingia hazina! Jinga pumbavu linalojiita prof.
 
Na kama lengo lilikuwa kuwatambua wamachinga, kwani kitambulisho kitolewa kwa gharama kubwa kiasi hicho?

Labda tuambiwe gharama ya wastani ya vitambulisho, mfano vya wafanyakazi,cha kura, n.k huwa ni around shilingi ngapi ili tufanye ulinganisho.
 
Back
Top Bottom