vitambulisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Aliyetoa taarifa juu ya dhuluma ya vitambulisho Zanzibar akamatwa na Polisi

    ZANZIBAR: ALIYELALAMIKIA ZOEZI LA VITAMBULISHO AKAMATWA NA POLISI Mkazi wa Jundamiti Kiwani Kisiwani Pemba, Abdalla Khamis Muhammed (Tuba) anashikiliwa na Polisi Mkoa wa Kusini Pemba kwa madai ya kufanya uchochezi baada ya kudai kitambulisho cha Mzanzibar Mkaazi. Mohammed ni miongoni mwa...
  2. Mashahili

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya mjasiriamali

    Kwa kuwa vitambulisho vya mjasiriamalia mdogo vilitolewa na Mh.Rais,na sasa vimekwisha muda wake,je tunasubiri tena Mh.Rais atoe vingine? Mamlaka zinazohusika tunaomba majibu tunasumbuliwa na TRA.
  3. M

    JamiiForums Tanzania NIDA sasa kutengeneza vitambulisho kwa miezi 3

    Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA), imefunga mitambo miwili yenye uwezo wa kuzalisha vitambulisho 9,000 kwa saa ikiwa na uwezo mkubwa zaidi kulinganisha na mitambo iliyokuwepo awali iliyokuwa inazalisha vitambulisho 200 – 250 kwa saa. Taarifa hiyo imetolewa na kitengo cha mawasiliano na...
  4. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Baada ya Vitambulisho kinachofuata ni 'Health Records'

    Hello JF, Sijui kama hii system ipo tayari. Ila nadhani wizara ya afya inawajibika kuwa na Patients Records System... Ambayo si tu kwa Government Hospitals.. Bali kuwe na Connectivity... Both Government and Private hospitals.. Inapendeza mtu akiumwa akienda mahali kupata msaada... Then...
  5. C

    JamiiForums Tanzania NIDA

    Serikali kupitia mamlaka yake ya Usajili wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ilitoa muongozo wa kupata namba yako ya NIDA kwa njia ya kielectronic kama tayari MTU kishafika kwenye mamlaka halisi na kujisajili lakini anasubilia namba. Cha kushangaza ,Unapo andika ombi La kupata namba huambiwa ombi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania NIDA wasitisha kutoa nakala ya vitambulisho online

    Nakusogezea hii taarifa mpya kutoka Mamlaka ya Vitambulisho Taifa NIDA ambapo wamesitisha zoezi la kutoa nakala ya Vitambulisho kupitia mtandao.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Watu 900,000 wameshafungiwa line zao za simu, ni wale wenye vitambulisho lakini hawakuvitumia kusajili line zao

    Serikali imesema zaidi ya watu 900,000 ( laki tisa) wameshafungiwa line zao za simu baada ya kushindwa kujisajili kwa alama za vidole. Serikali imesema zoezi la ufungaji simu limegawanywa katika makundi matatu; Kundi la kwanza ambao tayari wameshafungiwa ni wale wenye Vitambulisho vya taifa...
  8. othiambo

    JamiiForums Tanzania Hivi vitambulisho vya Askari/ Wanajeshi vina kazi gani kwa raia?

    Hali zenu waungwana. Hili swali huwa najiuliza sana na sipati majibu, hivi hawa watu vitambulisho hivi vimekua ndio kimbilio na nguzo ya utemi kwa wananchi? Sababu ya swali langu ni jana kipindi narudi nyumbani kufika kituoni magari hakuna; ghafla ikaja daladala ikitangaza nauli 500 katikati...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri: Serikali itatumia hekima kuwasaidia ambao wameshindwa kujisajili

    Serikali ya Tanzania imesema itatumia hekima kuwasaidia wananchi walioshindwa kusajili laini za simu kwa sababu ya kukosa kitambulisho cha Taifa na namba licha ya kuanza mchakato wa kupata kitambulisho hicho. Imesema wananchi hao taarifa zao zipo katika Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)...
Back
Top Bottom