vitambulisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Shule zaagizwa kuwasilisha Orodha ya Mabasi ya Wanafunzi, Vitambulisho na Leseni za Madereva

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imezitaka shule zote nchini kuwasilisha orodha ya mabasi yanayotumika kubeba wanafunzi, sambamba na majina, namba za Kitambulisho cha Taifa (NIDA) na leseni za madereva wake, ili wasajiliwe kwa lengo la kuongeza udhibiti. Hatua hiyo imekuja baada ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kama vitambulisho vya NIDA havifanyi kazi, tusitishe mchakato huo

    Je, vitambulisho hivi kazi yake ni nini? Kwanini vinaonekana ni muhimu kwa wananchi na sio kwa serikali kiasi cha serikali kuleta uzembe wa utoaji wa vitambulisho hivi? Nilidhani NIDA ingewezesha mambo haya Kwanza niseme nilipongeza mchakato huu na nilikuwa wa kwanza kupanga foleni kipindi kile...
  3. JamiiForums Tanzania NIDA: Ruksa kubadili Vitambulisho vilivyoisha muda au vyenye ukomo kwa Tsh. 20,000

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) imesema ni ruksa kwa yeyote anayetaka kubadilisha kitambulisho chake cha Taifa kwa kulipia gharama ya Sh20,000. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Geoffrey Tengeneza ameyasema hayo Jumatano Februari 22, 2023 wakati...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya NIDA ni Siasa au hupewa watu maalum

    Tafadhali naomba kuuliza mimi ni mkazi wa mkoa wa Mwanza wilaya ya Ilemela kata ya Ibungilo nilikuwa miongoni mwa watu waliovumilia jua Kali nikipanga musululu mrefu ili kupata huduma ya NIDA. Leo miaka Mingi imepita bila matumaini ni metembelea ofisi za kata zaidi ya mara 50 siyo Mimi wala...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Vitambulisho vya Taifa kutokubalika kwenye matumizi sehemu nyingi au kutokuwa na maana sehemu tofauti

    Unasajiri laini ya simu kwa NIDA ila cha kushangaza wanakuwekea ndani ya miezi mitatu imefutwa. Unaenda kuomba mkopo benki lakini kitambulisho cha NIDA ni kama umepeleka Passport tu kwa nijuavyo. Suala la kitambulisho cha taifa tulivolichukulia kiukweli tumekosea kiwango kikubwa tena...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali yaondoa ukomo wa Matumizi ya Vitambulisho vya Taifa

    Serikali imesikia kilio cha Wananchi na imetangaza rasmi kuondoa ukomo wa matumizi wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA), vilivyomalizika muda wake baada ya kufanya mabadiliko ya kanuni za usajili na utambuzi wa watu. Hayo yamebainishwa leo Jumanne tarehe 21 Februari 2023 na Waziri wa Mambo ya Ndani...
  7. JamiiForums Tanzania NIDA waje na mpango wa Vitambulisho Kidato cha nne

    Napendekeza kuwa, NIDA waje na mpango mkakati wa kuwapatia vitambulisho vya NIDA wanafunzi wote wa kidato cha nne wenye sifa. Kama taarifa zao zitachukuliwa mapema, inamaana kabla ya maliza kidato cha nne wote watakuwa wamepata vitambulisho vyao na kuepuka usumbufu usio kuwa wa lazima...
  8. JamiiForums Tanzania Utoaji wa Vitambulisho vya Machinga waanza kukwama nchini

    Utoaji wa vitambulisho vya wamachinga umebaki kizungumkuti kutokana na kutokuwepo kwa taarifa rasmi juu ya kuhuishwa kwake, ikiwa ni miaka tangu vitolewe na Serikali. Desemba 2018, Rais wa awamu ya tano, Hayati John Magufuli alizindua vitambulisho vya machinga kila mkoa ukikabidhiwa...
  9. JamiiForums Tanzania NIDA yaanza usajili wa Vitambulisho kwa njia ya Mtandao

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetambulisha mfumo wa usajili wa watu kwa njia ya mtandao utakaowezesha wananchi wenye sifa za kuomba vitambulisho vya taifa kwa kujaza fomu mtandaoni. Waombaji wa awali watajaza fomu mahali popote walipo bila kulazimika kwenda ofisi za usajili za...
  10. JamiiForums Tanzania Ianzishwe mikopo ya wahitimu na sharti la kuipata iwe vyeti na vitambulisho vyao

    Vijana wanapenda kujiajiri ila wengi hawana mitaji anzisheni mikopo ya graduates ila kuipata mwaangalie vyeti tu na vitambulisho vyao ili wajiajiri wenyewe na kodi zitaongezeka. Wazazi wamejinyima wamewasomesha watoto ili wapate ajira. Wazazi wengine hata nguo nzuri hawakununua, wala nyama na...
  11. JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya kiraia na Benki kutowekwa Namba za simu za wahusika tatizo ni nini?

    Kwa sasa vitambulisho vya wanafunzi vinaweza kupatikana kirahisi sababu kuna namba za simu za shule ambazo zinaelekeza atakayeokota apige namba husika kutoa taarifa. Ila vitambulisho muhimu kama vya uraia, leseni, kadi za benki na vinginevyo havina namba za simu za wahusika kitu ambacho...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya Selestini Endrew Mbena au Joseph Selestini Endrew

    Vitambulisho vimeokotwa kituo cha Chama kama unaenda Segerea vimeletwa kanisa la TAG DMC. Opposite na kituo cha Chama. Tusaidiane kusambaza ujumbe mwenyewe apate taarifa.
  13. JamiiForums Tanzania Serikali Rasmisha KAZI za wajasariamali wote KWA kugawa vitambulisho kama zamani Ili mkusanye mapato Mengi zaidi KWA mwaka.

    Tozo pekee sio suluhisho la uchumi wetu . Rudisha vitambulisho KWA wajasiria mali,vitambulisho viwe na gredi kutokana na mtaji wa muhusika,yaani ;- Gredi A Wajasiria mali wenye mitaji ya kuanzia milion 100 na kuendelea hao walipe hata laki tatu KWA mwaka!TRA watamuandalia kanuni mpya ya...
  14. JamiiForums Tanzania Afrika Mashariki kila siku vikao, wenzenu Namibia na Botswana wameruka, sasa ni vitambulisho siyo pasipoti!

    Nchi wanachama wa Afrika mashariki zikiwa ni tatu Kenya, Uganda na Tanzania zimekuwa zikijikongoja kuuganya muungano kuwa mwepesi kwa raia wake hata kwa muingiliano siyo issue ya kazi but mpaka leo tukiwa na utitiri wa nchi ndiyo balaa linaongezeka. Seŕikali za Namibia na Botswana zimekubali...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utoaji wa Vitambulisho vya Taifa, ufanywe kwa ufanisi ili Serikali ipate takwimu kwa urahisi

    Kumekuwa na Mfululizo wa Serikali ya Tanzania kudai Taarifa Mhimu za mwananchi anapotaka kupata huduma serikali ambazo kimsingi ni Mzigo kwa Mwananchi huyo, kuwa nazo kwa wakati anaohitaji kupata Huduma. Mfano unahitaji Kutibiwa kwa Njia ya Bima, Utadaiwa Cheti cha Kuzaliwa, cha serikali ya...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya NIDA ni usumbufu usio na lazima

    Habari za muda huu wanajamvi...... Matumizi ya VITAMBULISHO vya NIDA dhumuni lake lilikuwa zuri ila Sasa limekuwa ni hangs linalo sumbua watu Kila uchao. Mimi nilifanikiwa kupata kitambulisho hiki tangu 2016, lakini kitambulisho hiki kilikuja kikiwa kimekoseaanilifatilia kwakuwa kitambulisho...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, tunakuomba usiishie kwa Lightness tu. Tupo lukuki ambao vitambulisho vyetu vya NIDA vimeshikiliwa Mloganzila Hospitali

    Kwanza nakushukuru Mh. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kwa kulivalia njuga hili jambo la mwanafunzi Lightness Shirima (22) ambaye baba yake Priscus Shirima alifariki Hospitali ya Mloganzila kisha wakakishikilia kitambulisho chake cha NIDA mpaka hapo atakapomaliza deni lake la milioni 9. Labda kitu...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejua utaratibu wa Dispora kupata vitambulisho vya taifa

    Nasikia hata Tanzania utaratibu wa vitambulisho vya taifa haueleweki kwa sasa kuna watu wanapewa namba lakini card hazitoki. Kwa dispora hatujui utaratibu ukoje ! Najiuliza kwanini balozi waweze kufanya passport lakini washidwe vitambulisho vya taifa? Kama kuna mtu anajua utaratibu naomba...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Vipi vitambulisho vya machinga havina muendelezo? Basi walipe ushuru kwa halmashauri

    Wakuu habari, Kama mnavyojua Rais Magufuli alileta kitu kilichoitwa Vitambulisho vya Machinga mwaka 2019 Vitambulisho hivi ambavyo vililipiwa 20,000 vilipelekea ushuru ambao machinga walikuwa wakilipa kwa Halmashauri kufutwa, na badala yake wangelipa hiyo 20k kila mwaka. Sasa ni miaka 3...
  20. JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya NIDA tumepigwa😀😀

    Ukichunguza vitambulisho vya NIDA vingi vina makosa kwenye vipengele mbalimbali, unaweza kuwa ni ile card inataarifa vizuri kabisa inayoonyesha taarifa zako kama kwenye birth certificate vizuri kabisa ila ile namba ikiingizwa kwenye system inayosoma card yako ikaleta details tofauti kabisa kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…