Vitambulisho vya kiraia na Benki kutowekwa Namba za simu za wahusika tatizo ni nini?

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
965
3,277
Kwa sasa vitambulisho vya wanafunzi vinaweza kupatikana kirahisi sababu kuna namba za simu za shule ambazo zinaelekeza atakayeokota apige namba husika kutoa taarifa.

Ila vitambulisho muhimu kama vya uraia, leseni, kadi za benki na vinginevyo havina namba za simu za wahusika kitu ambacho kinafanya vikipotea vinarundikwa kwenye kwenye sehem za wazi kutafuta wahusika, ila kama vingekuwa na namba za sim watu wangekuwa wanavipata chap foleni za kuripoti polisi na ku-renew zingekupungua yani gharama zingepungua.
 
Nchi gani kwenye ulimwengu huu wanawekaga hayo mambo uliyotaja.

Ova
 
Back
Top Bottom