Habari za muda huu wanajamvi......
Matumizi ya VITAMBULISHO vya NIDA dhumuni lake lilikuwa zuri ila Sasa limekuwa ni hangs linalo sumbua watu Kila uchao.
Mimi nilifanikiwa kupata kitambulisho hiki tangu 2016, lakini kitambulisho hiki kilikuja kikiwa kimekoseaanilifatilia kwakuwa kitambulisho lilikuwa kinatofautisha jina la TATU yaani majina matatu ya vyeti vya taaluma yalikuha kutofautina jina Moja la mwisho katika NIDA.
Jambo hili lilinisumbua kwani nilifatilia toka kipindi kile lakin Majibu yao Yana ukakasi kwani utaambiwa ujaze fomu na ulipie kiasi Cha 20,000/= ili data zibadilike lakini toka muda huo ni miaka Sasa bila mabadiliko hii ilipelekea nifatilie affidavit ili kuidhinisha jina la TATU ili nisipate shida Lakini huu utaratibu cyo mzuri maana Academic issues zinakuhitaji ufanye mambo yasiyo na ukakasi Kwan Kama ni ku apply online hutapata sehemu ya ku attach affidavit.
Pamoja na hivyo shughuli nyingi zinahitaj scanned documents utaratibu wao huu wa kutoa namba Bado ni changamoto sana maana huwez pata huduma nyingi kutokana huduma za Sasa nyingi zinatak uweke scanned documents.
NIDA mjirekebishe huu utaratibu unatuchelewesha sana