vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Morocco 🇲🇦 na Sahara Magharibi, kisa na mkasa

    Na Jumaa Kilumbi 10.11.2022 KaskazIni Magharibi mwa Afrika kuna mzozo kati ya nchi ya Morocco na nchi ya Jamhuri ya Waarabu ya Kidemokrasia ya Sahara (Sahrawi Arab Democratic Republic, SADR, Sahara Magharibi). Morocco inadai kuwa Jamhuri ya Sahara Magharibi ni sehemu ya nchi yake huku Jamhuri...
  2. JamiiForums Tanzania Wabunge Shigongo na Sanga hii Vita mnayotaka Kuipigana mmejiandaa na Nguvu ya 'Mafia' wanaowazunguka?

    Nawaoneeni sana na mno Huruma.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Rwanda yatuma majeshi yake mpakani na nchi ya DRC Congo, yasema iko tayari kwa vita!

    Rwanda imetuma wanajeshi kwenye mpaka wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, saa chache baada ya DRC kumfukuza balozi wa Rwanda kwa madai ya DRC kwamba serikali ya rais Paul Kagame inawaunga mkono waasi wa M23. Msemaji wa serikali ya Rwanda, Alain Mukurarinda amesema kwamba “wakiamua...
  4. JamiiForums Tanzania Vita Ukraine inazidi kututesa vifurushi vya simu vimepanda tena

    Wadau hii vita itaisha lini maisha yanazidi kutubana tu duh naona leo vifurushi vimepanda tena now 2000 mb kadhaa badala gb 1 ila tutafika tu japo tukiwa tumechoka sana
  5. JamiiForums Tanzania 'Tuliishi kwa hofu ya vita, walituambia tungekufa chini ya dakika 30': Jinsi ulimwengu ulivyonusurika kwenye Cuban Missile Crisis

    Zaidi ya nusu karne baadaye, inahisi kama ulimwengu umesahau masomo ya wakati huo wa ajabu katika historia ' Mnamo 1961, Amerika ilituma makombora ya masafa ya kati ya Jupiter huko Türkiye, silaha ambazo zingeweza haraka - na kwa urahisi - kufikia miji ya magharibi mwa USSR, pamoja na mji mkuu...
  6. JamiiForums Tanzania Urusi: Makabila madogo yaongoza kwa kuwa na vifo vingi katika vita ya Ukraine

    Imeabainishwa kuwa minorities (makabila madogo) ndio wamekuwa wakifa zaidi hii inaashiria kuwa makabila hayo ndio walioorodheshwa kwa wingi. Hii inaashiria pia kuwa huenda Putin analenga kupunguza idadi yao kwa kuwa wengi wamepelekwa vitani bila kuwa na uzoefu. Mfano: Moscow [yenye watu...
  7. JamiiForums Tanzania Kama kweli ni chaguo la Mungu, tusisingizie vita/ tabia nchi

    Kama title inavyojieleza, hivyo ndivyo ilivyo. Kama kiongozi wa nchi ni chaguo la Mungu, nchi hiyo itabarikiwa na itastawi. Hakuna sababu ya kusingizia mabadiliko ya tabia nchi, vita nk! Binafsi kwa kipindi kifupi cha uongozi wake, nimeona mabadiliko makubwa ya tabia nchi tofauti na kipindi...
  8. JamiiForums Tanzania Bei ya makaa ya mawe duniani imefika USD 270 kutoka USD 50 kwa tani sababu ya vita vya Ukraine na Urusi, ulaya wanahitaji nishati

    Bei ya makaa ya mawe duniani imefika USD 270USD kutoka USD 50 kwa tani sababu ya vita vya Ukraine na Urusi, ulaya wanahitaji nishati. Tanzania ina akiba ya tani Millioni 290 ardhini, kwa hesabu zaharakaharaka hiyo ni Trillioni 184. Vituo vya afya na lami kila kona; VIONGOZI WANGU...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Je, baada ya kupata pigo kwenye vita vyake na Ukraine, sasa Russia iko tayari kutafuta muafaka?

    Baada ya kupigana vita vikali kwa zaidi ya miezi minane tofauti na walivyotegemea, inaonekana sasa Russia wanaweza kuwa tayari kutafuta muafaka wa namna ya kuweza kumaliza hivi vita. Inaonekana vilevile kwamba Russia wanakiri kwamba hawataweza kufikia malengo yao waliojiwekea kufuatia matokeo...
  10. JamiiForums Tanzania Mambo yanayoiaibisha Marekani kwenye vita vya Ukraine na Urusi

    Kwanza ni nia ya Maarekani kupunguza uzalishaji wa hewa chafu ya Carbondioxide. Ili kuwezesha azma hiyo ni lazima Marekani iongeze uzalishaji wa nguvu za nyuklia kwa matumizi ya viwanda vyake. Kazi hiyo huwa ni ngumu kwani kampuni inayouza mafuta ya kutengenezea nguvu za nyuklia kwa matumizi...
  11. JamiiForums Tanzania NATO waanza maandalizi ya vita vya nyuklia

    Mataifa ya NATO yaanza mafunzo na maandalizi ya jinsi watacheza iwapo vita vya nyuklia vitaibuka..... The 30-nation alliance has stressed that the "routine, recurring training activity", which runs until October 30, was planned before Moscow invaded Ukraine and is not linked to the current...
  12. JamiiForums Tanzania Funga macho, vita picha katika fikra kwamba umeweza kuishi mpaka 2100, ni kitu gani unakiona ?

    Nafunga macho naanza kuvuta picha kwamba kama ntafika mwaka 2100 1. Bangi imeruhusiwa karibu Kila nchi, ni bidhaa unayoweza kuipata hata Kwa Mangi na kutumia hadharani. 2. Jiji la dar limepanuka sana, Mlandizi pamebomolewa na kujengwa upya, maghorofa kibao 3.Smartphone zitakuwa kama...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Maana ya ushindi wa vita, case of Russia-Ukraine war

    Muhanga mkubwa wa vita huwa ni ''ukweli" kwani nivigumu sana kupata ukweli wa chanzo cha vita, pia ni ngumu zaidi kupata ukweli ndani ya uwanja wa medani. Hali hii inasababisha na ubaya we vita ambao huweza kubadilisha Maisha kuwa kama jehanamu. Vita ya kagera mpaka leo chanzo chake ni...
  14. JamiiForums Tanzania Ellon Musk aitaka Pentagon igharamie vita vyake yenyewe huko Ukraine

    Tajiri namba moja duniani anayemiliki mtandao wa Starlink ameiambia wazi wizara ya ulinzi ya Mareknani kuwa sasa itabidi waanze kugharamia mawasiliano hayo kwa Ukwani.Amesema kama ni sadaka tayari keshatoa zaidi ya dola milioni 80 kwa ajili ya vfaa 20000 ambavyo vimekuwa ni nguzo ya mawasiliano...
  15. JamiiForums Tanzania Wachambuzi mnisaidie: Hii vita SMO ya Russia ukiendelea miaka miwili ijayo huku Ukraine anasaidiwa na Dunia nzima, Nini kitatokea?

    JE Russia ataishiwa silaha.? Je Pro Ukraine countries wanaweza kupenyeza majeshi yao Kwa Jina la Ukraine wakamtembezea moto Russia Hadi Kremlin. JE Russia anaweza kutumia mbinu za kikatili za US kuizima Kiev Kwa Nyuklia kama Hiroshima mchezo uishe. JE, Russia anareserve ya kutosha ya silaha...
  16. JamiiForums Tanzania Mussa Zungu ataka wananchi kujifunga mkanda kwa maendeleo yao, asema misaada inaenda kupungua kutokana na vita

    Naibu spika wa Bunge, Mussa Zungu akiwa kwenye mkutano wa ITAC unaohusu ushiriki wa wananchi kwenye maendeleo ya nchi, ameipongeza Serikali kwa kuwasikiliza wananchi na kupunguza Tozo. Zungu ametaka kujivunia na kufunga mkanda kujenga wenyewe badala ya kutegemea misaada kwani inaenda kupungua...
  17. JamiiForums Tanzania Haitakwepeka raia wa Marekani kushuhudia madhara ya vita zinazojihusisha na taifa lao

    Ibaki kusema tu viongozi wanaona kama mzaha kuhusu tatizo la ukraine akiwemo Biden na Zelesky,madhara ya tatizo kila Raia anayeshiriki tatizo hilo lazima aguswe, raia hasa wa wamarekani walizoea na kuzoeshwa hivyo kwamba taifa lao linapoingia vitani wao ni kuangalia kwenye tv kama movie kwa...
  18. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Nimekuja kugundua kwamba vita dhidi ya Uganda ilitengenezwa na Israel ili kumuondoa adui yao Idd Amin

    1 + 1 = 2, watanzania wengi tume focuss kwenye 2 kwamba Idd Amin alivamia Kagera na ndio chanzo, tunasahau kwamba Kuna 1 + 1 zilizosababisha ikawa hio 2 na hata ukienda Wikipedia nao hawajui chanzo kamili cha 1+1 kilichoanzisha vita ila ni wazi kabisa mtu aliefaidika kwa kupinduliwa Idd Amin...
  19. JamiiForums Tanzania Liz Truss: Ushindi kwa Ukraine unawezekana, lazima ashinde na atashinda, tupo pamoja naye kwa kipindi chochote vita itakachochukua

    Waziri mkuu wa uingereza amesema haijalishi vita itachukua muda gani lakini uingereza itasimama na Ukrene bega kwa bega kwa hali na mali huku misaada ya kijeshi itaendelea kupelekwa kyiv bila kujali urusi anatoa vitisho gani,Waziri mkuu huyo amemalizia kwa kusema ukrene lazima ashinde vita kwa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Takwimu zaonyesha Marekani ndio nchi inayoongoza kwa kuanzisha vita duniani

    Mwandishi huru wa habari za uchunguzi raia wa Marekani Benjamin Norton, hivi karibuni amenukuu nyaraka zilizotolewa na Bunge la Marekani akisema, kuanzia mwaka 1789 hadi mwaka 2022, Marekani imeanzisha vita 469 nje ya nchi. Katika miaka 240 tangu kuasisiwa kwa taifa la Marekani, ni miaka 16 tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…