Kumbe hata Marekani inaathiriwa sana na vita vya Ukraine, Senator ampinga Biden

Utelezi huu hata anaanguka. Msikilize huyu Senator Rand Paul anavyomkwamisha Joe Biden kupeleka msaada Ukraine

rand paul $40b ukraine aid package

Nikionacho hapa ni zaidi ya dhimira ya serikali kuongeza misaada kwa Ukaraine. Tunaona jinsi wenzetu wanavyotoa hoja ambazo zimefanyiwa utafiti na takwimu na sio kulemba maneno au kutoa tu vijembe. Tunalo la kujifunza kama wabongo. Bahati nzuri hata Mbowe ameliona hili. Lakini ni hoja pana kwa wabongo wote na viongozi wao bila kujali ushabiki wa kivyama. Muda mwingi kwenye jukwaa kama hili wachangiaji hupenda kushambulia/kukebei/kutukana badala ya kijadili hoja inayowekwa mezani. Kwa maneno mengine, tujaribu kujikita kwenye hoja na tuachane na vioja.
 
Ulichosema ni kweli tupu, huu ndio unaoitwa uhuru kamili wa kutoa mawazo yako. HIvi vikwazo kumbe vinaumiza hata walioviweka. Wanajikaza kisabuni. Hata Marekani kumbe inakopa kutoka China kwanini sisi tunaogopa kukopa?
 
Hapa akina NATO hutawaona
FB_IMG_1652335472729.jpg
 
Upo sahihi mkuu.
Wamerekani wanaimarisha viwanda vyao vya silaha kwa kukopa China na kuuza silaha Ukrane na kwingineko wakati nchi za ulaya zikiiendelea kupata hasara. Marekani inaitumia NATO kibiashara zaidi.
 
Ohooooo yajayoo
emoji116.png
emoji116.png
emoji116.png

#Russia advises its citizens to refrain from traveling to #Britain.

Nashukuru kwa kunisemea ndugu na itapendeza aliyeelewa kilichosemwa na huyo mwamba atudadavulie walau kwa uchache
Huyu Senator wa Marekani amekwamisha msaa wa Dola 40 bil kwenda Ukraine kusaidia vita yake dhidi ya Urusi. Anasema kama msaada huu utapelekwa utaifanya Marekani iwe imetumia UDD 60bil ndani ya miezi 2 kuisaidia Ukraine, hizi ni hela nyingi sana kutumiwa na nchi ambayo inakopa kutoka China na Ina madeni makubwa ya wachina. Pesa hizi ni nyingi kuliko pesa zinazotengwa kuendesha vitengo muhimu sana vya Marekani.

Anaendelea kusema kuwa gharama za maisha kwa wamarekani zimepanda kutokana na kupanda bei za vitu sokoni. Hakubali hakubali hakubali
 
Gud
 
Back
Top Bottom