vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. Tunapoelekea March 17: Ili ushinde Vita za kisiasa itakupasa aidha uwe Mwanahistoria mzuri au jasusi bobevu

    Hamjambo wote! 1. Moja ya mambo yanayoweza kuwa yalimgharimu jpm ni kutokuwa mzuri kwenye Masuala ya historia na hapohapo hakuwa na ujuzi wowote wa mambo ya usalama. Yaani hakuwa mwanajeshi, polisi au mwanausalama mbobevu. 2. Kwenye siasa za dunia. Hasa ukiamua kufanya siasa ngumu, zakibabe...
  2. Korea Kaskazini yatupa makombora 10 ya "Ballistic" kujipima uwezo wakati huu wa vita ya Mashariki ya Kati

    Vikosi vya Marekani na Korea Kusini vikiwa katika matayarisho ya mazoezi ya pamoja ya kuvuka mto katika wilaya ya YeonCheon. Picha na Reuters. Siku ya Jumamosi ilopita Korea Kaskazini ilitupa makombora yapatayo 10 ya Ballistic katika kutunisha musuli khasa katika kipndi hichi cha mgogoro...
  3. Kwa nini Marekani Itaanguka Vibaya Sana Kwenye Vita ya Iran

    Vita yoyote iliyofanikiwa duniani hutokana kwa kiasi kikubwa na upangaji wa mashambulizi unaofanywa na makamanda kimedani. Marekani iliingia vita ya Vitenama ikiwa haina plani za kivita ikitegemea kupiga mabomu tu, njia ambayo pia imetumiwa na Urusi kuivamia Ukraine; mbinu hiyo huwa haifanikiwi...
  4. M

    Wale tunaopenda mambo ya geo politics, vita, siasa za kimataifa tuanze kuweka mizigo tunufaike na pesa, tusiishie kulumbana tu humu

    Wale tunaopenda mambo ya geopolitics, vita, na siasa za kimataifa, hebu tufikirie hatua inayofuata. Mara nyingi humu tunakesha kujadiliana, kubishana na kuchambua matukio ya dunia kuanzia migogoro ya kimataifa hadi mikakati ya mataifa makubwa. Ukweli ni kwamba kuna watu wengi humu wana uelewa...
  5. Mojtaba Khamenei atoa msimamo mkali kuhusu vita kwa njia ya maandishi

    Hotuba yake imesomwa kwenye vyombo vya habari na haya ndiyo yaliyojiri:- Kiongozi Mkuu mpya wa Iran amezungumza sasa hivi, na ni mbaya zaidi kuliko nilivyotarajia. Kauli kuu: 1.“Vituo vyote vya Marekani vinapaswa kufungwa mara moja katika eneo hilo, vituo hivyo vitashambuliwa” 2.“Tutapata...
  6. Vita ya Iran-Israel-USA inatukumbusha umuhimu wa kuwekeza kwenye sayansi na teknolojia

    Binafsi hii vita imenifanya nijisikitie mimi na Afrika kwa ujumla hasa nchi yangu ya Tanzania. Hii vita ni ya wababe wa sayansi na teknolojia. Yaani wanaopigana ni watu wenye akili nyingi za hatari huku wakiwa wako vizuri kiuchumi. Hii vita imetuonyesha jinsi gani nguvu ya sayansi na teknolojia...
  7. A

    Masharti ya Iran ya Kusimamsha Vita

    1. Nguruwe Netanyahu lazima akabidhiwe kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai. 2. Chombo cha Israeli lazima kiondoke Gaza na kusini mwa Lebanon hadi mipaka ya Oktoba 7, 2023 na kufuta mpango wa amani wa Trump kwa Ghaz'aa. 3. Kuzingirwa na vikwazo dhidi ya Iran lazima viondolewe, na mali zake...
  8. Kamal Kharaz amesema Iran ipo tayari kwa vita vya muda mrefu

    Katika mahojiano maalum, Mshauri wa Sera za Mambo ya Nje katika ofisi ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Kamal Kharazi, alimwambia mwandishi wa CNN Frederik Pleitgen kuwa ni “simulizi la uongo” kudai kwamba uwezo wa kijeshi wa Iran umepungua kwa kiwango kikubwa, na akaongeza kuwa haoni tena “nafasi ya...
  9. Ingekuwaje kama Iran ndiyo imeanzisha vita kwa kuwaua viongozi wa Israel na kupiga mabomu shule ya chekechea?

    https://youtu.be/Gw4tDqeT92g
  10. Ikiwa ubashiri wako vita ya Israel na Iran, Israel akisaidiwa na Marekani ni mihemuko kiimani. Jitafakari

    Nimekaa na kuwaza kwa kina pamoja na ukweli kwamba imani yangu haifungamani na upande wowote, ni vizuri ukajiuliza. Wengi wa wachambuzi wanakimbilia maandiko yamesema kwamba iran itapotea kwenye ramani. Wengine wanadai Israel itapotea na wengine marekani inaendelea kutafuta shimo la kupotelea...
  11. Iran Wakianza Kushambuliwa Vituo na Maghala ya Mafuta, Hapo Vita Itakuwa Imeisha

    Iran Wakianza Kushambuliwa Vituo na Maghala ya Mafuta, Hapo Vita Itakuwa Imeisha Sidhani kama kwa sasa Iran wanategemea sana vifaa vya kijeshi vinavyotumia umeme. Kwa kiasi kikubwa, mifumo mingi ya kijeshi duniani ikiwemo ya Iran bado inategemea mafuta kama dizeli, petroli, na jet fuel...
  12. Tumeangamiza asilimia 60% ya makombora ya Iran tunaingia kwenye hatua nyingine

    Kamanda Mkuu Wa Jeshi🇮🇱. "Tumeangamiza asilimia 60% ya makombora ya Iran tunaingia kwenye hatua nyingine ya mashambulizi ya kushangaza"
  13. Vita ya Urais 2030, itawatoa roho Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi

    Ugomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais. Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem.. Anaongea kwa kufoka...
  14. Vita iliyoanzishwa na Marekani dhidi ya Iran yaleta changamoto kubwa kwa Afrika

    Marekani na Israeli zimeanzisha vita dhidi ya Iran zikipuuza sheria za kimataifa. Ingawa bara la Afrika liko mbali na uwanja wa vita katika Ghuba ya Uajemi, lakini kutokana na utandawazi wa uchumi duniani, umbali si dhamana ya usalama. Bara la Afrika lina wasiwasi mkubwa: ingawa halitahusika...
  15. Kumbukeni hii vita sio ya US/Israel dhidi ya Iran bali ni dhidi mamlaka ya kigaidi ya Iran/IRGC

    Iran ni ya waajemi na sio ya utapeli wa itikadi kali.
  16. Vita ya kidini inachipua chinichini

    Kwa yanayoendelea. Ni ngumu kumuona mkristo akiishabikia Iran na pia ni ngumu kumuona muislamu akiishabikia Israel. Tena ni afadhali kwa muislamu yeye anaweza akabaki neutral ila kwa mkristo huwezi kumuona hata mmoja kwa bahati mbaya akawa upande wa Iran. Ukitaka kuthibitisha hilo angalia...
  17. Kwa nini vita huanza na msisimko mkali mwanzo halafu baadae hupooza ?

    Ukitazama vita vya Urusi na Ukraine namna vilivyoanza na sasa hali ni tofauti kabisa unaweza hisi labda Ukraine hakuna vita. Ukija vita vya Gaza navyo vilianza kwa msisimko mkali baadae vikapoa hata ukisikia mabomu yamerushwa Gaza hakuna jipya,rockets zimerushwa Israel hakuna jipya. Hivyo...
  18. Updates: Vita vya USA-Israel vs Iran - Taarifa zangu za upande wa iran

    Hapa kuna habari ulizoandika zikatafsiriwa kwa Kiswahili: --- 🇮🇷 Gwardia ya Mapinduzi yatangaza udhibiti kamili wa Mlalakayuko wa Hormuz --- 🇮🇷 Shambulio la drone dhidi ya nafasi za Marekani mjini Erbil Reuters, ikirejelea vyanzo vya usalama: kambi ya kijeshi ya Marekani na hoteli huko...
  19. Social medias zimeanza kufanye 'Shadowbanning' ili kufifisha zinazoonyesha madhaifu ya US-ISRAEL katika uwanja wa vita

    Watumiaji wengi wa mitandao ya kijamii wameanza kulalamikia ongezeko la uminywaji wa taarifa hasa za mlengo pinzani huku zikisukumwa zaidi vyombo/page au watu binafsi wanaoengemea upande wa pili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…