vipi

Virtual Portal for Impaired Groups Interaction (ViPi) is a project partially funded by the European Union (EU) under the Lifelong Learning Programme 2007–2013, subprogramme KA3 ICT. The project commenced on 1 January 2011 and has 36 months duration (until 31 December 2013). The main vision of the project is to provide alternative and creative solutions for the employment of People with Disabilities (PwD) by delivering a "one-stop-shop" interactive portal and learning environment comprising: 1) a multilingual platform, 2) an embedded social community, 3) accessible content (WCAG 2.0) for PwD and trainers, etc. The project will bring together key stakeholders and gatekeepers (VET, target groups, umbrella organizations) in order to address the lack of specific training support or material for PwD and their trainers by providing a set of applications and services that will be available via a complete educational framework, taking into account interaction possibilities offered by web 2.0 and localised, tested and assessed with different end-user communities (GR, BE, LT, UK and CY).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania 2025 hii, Vipi mpenzi wako yuko vile vile kama mlivyokutana au kabadilika?

    Mpenzi wako au mume wako au mke wako, tabia yake iko vile vile kama ulivyomkuta na kumpenda au kabadilika? Vipi bebi wako mbususu na rungu anakupa kwa spidi ile ile kama mlivyoanza au siku hizi unapimiwa? Mwisho kabisa, Je bebi wako muonekano wa kimaumbile yuko vile vile kama mlivyokutana au...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Unasherekea vipi hii Valentine?

    Wakuu, ikiwa leo ni Sikukuu ya Wapendanao "Valentines Day", unasherekea vipi au umepokea nini mpaka sasa? Kama huna ramani unaweza kusherekea siku ya leo kama ifuatavyo; Kubadilishana zawadi unaweza kuambatanisha na maua Games au movie Night: Kama hamna hela unaweza kuchill nyumbani na huyo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira aionya CCM kutosikiliza matatizo ya wananchi "Hata muimbe vipi kama hamsikilizi matatizo ya watu haitasaidia"

    MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Bara, Mzee Stephen Masato Wasira amewaonya viongozi wa Chama cha Mapinduzi kuwa kama matatizo yanayowakabili wananchi hayazungumzwi na kutafutiwa ufumbuzi wananchi wakatosa imani na CCM kuendelea kuwaongoza. Mzee Wassira ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na...
  4. JamiiForums Tanzania 2025 Strongest Millitary Rank: Tunazidiwa vipi kijeshi na Msumbiji?

    Wakuu kwema? Sielewi, nimepitia Millitary Ranks za Africa kwenye Website kadhaa naona Tanzania tuko nyuma sana. Wataalam wa hii ishu eb nisaidieni, naona hadi Sudan wanatuzidi Kijeshi. Kwani tunafeli wapii? Siku ya uhuru nikiona wale makomandoo wanaopigwa na matofali nawaza tuko vizuri sana...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi hiki Kiberiti Toyota Vits Engine 1 KR CC 990 vipi uimara wake kwa matumizi ya Mjini

    Natumai mpo vyema nyote wanajukwaa.Naombeni msaada kwa mwenye uzoefu na hivi VIBIRITI a.k.a BABY WALKER😁😁 Toyota vits ya 2013 engine 1KR CC 990. Natafuta kigari cha kuagiza Japani ila nimezurura huko beforward nimeona kukiagiza kanachezea millioni 8 na vichenchi kadhaa mpaka hapo Daslam...
  6. JamiiForums Tanzania Mjadala: Kuelekea Mission 300 Africa Energy Summit: Tutumie Vyanzo Vipi Vya Nishati, Mbinu na Mikakati ipi ili Tuzalishe Umeme Mwingi na wa Uhakika ka

    Mjadala: Kuelekea Mission 300 Africa Energy Summit inayo fanyika 27 - 28 January 2025 Tutumie Vyanzo Vipi Vya Nishati, Mbinu na Mikakati ipi ili Tuzalishe Umeme Mwingi na wa Uhakika katika Bara la Afrika. Hapo kuna mambo kadhaa yanahitaji kujadiliwa kwa kina: Tutumie vyanzo vipi vya nishati...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Uli deal vipi na rafiki aliewahi kukusaliti ? mkikutana kuna salamu au maongezi ?

    Nilikutana na usaliti kutoka kwa rafiki, anaongea shit kuhusu mafanikio yangu. nilijitenga naye kwa muda (kumpa space) aliniomba msamaha mara kadhaa, nikachukua muda wa kutafakari nikampa nafasi ya pili, Lakini akarudia usaliti wake, Nilim face macho kwa utosi nikamwambia hana utofauti na...
  8. JamiiForums Tanzania Tuhuma za Mtoto wa Biden , zilichangia Kwa asilimia Kubwa sana BIDEN kuzuiwa Kugombea Urais ! Ni vipi Hapa kwetu Tuhuma anazotoa LISSU!!

    Kwanini Nyerere alisahau kutamka RUSHWA kama adui mojawapo hapa nchini?. Ni kwamba alichukulia suala la Rushwa kama kitu kidogo? Katika mataifa ye Demokrasia, hizo tuhuma anazotoa LISSU Kila siku zilitakiwa tuone Serikali inatoa Tamko. Na Serikali inapokaa kimya, basi Dola na vyombo vyake...
  9. JamiiForums Tanzania Watoto wako walibadilisha vipi maisha Yako...!

    Natumaini mkopoa Natamani kujua namna malezi ya watoto wenu yalivoleta changes kwenye maisha ya wazazi wengi Nitaanza na mm story yangu ya kweli lakin nilisimuliwa na mamayangu pia Kwa kias baba japo baba hakuuwa msimuliaji nzuri NB Visa nilivopata Kwa muda tofaut tofaut mara nying nilikuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Je kilimo cha kokoa Tanzania kipo vipi?

    Naomba kujuzwa kuhusu kilimo Cha kokoa na wataalamu wa kilimo hiki
  11. JamiiForums Tanzania Wanao post clip kwenye mitandao ya kijamii hupata vipi kipato?

    Habarini wakuu. Kuna hawa watu hupost picha/video za kuchekesha kufundisha kuburudisha na vinginevyo katika mitandao kama vile YouTube Instagram Tik Tok nk. Akili yangu inaniambia hii ni biashara lakini huwa nabaki na swali kama ni biashara hawa watu huwa wanalipwa vipi/wanapataje faida...
  12. JamiiForums Tanzania Video: Utamuweza vipi mwanamke wa namna hii?

    Ukiangalia bila kutafakari unaweza kuchukulia poa sana lakini ukweli ni kwamba mwanamke wa namna hii ukimuweka ndani lazima UTAIMBA WIMBO MPYA KABLA HUJAFIKA MBINGUNI. Hapa unashindwa kuelewa kwanini huyu mwanamke katoa nywele zake nzuri na kuweka wifi(fake) na Bado akaonekana kufurahia kabisa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Je, kuiba kura na kuhonga wapinzani inasaidia vipi Usalama wa Taifa?

    Je, kwa ambaye anajua atuambie kama usalama wa taifa unaiba kura na kuharibu na kuhonga wapinzani hata kuwateka watu ina manufaa gani kwa taifa? Je, hawa usalama wa taifa wanaofanya hivi je ni wazalendo? Je, wewe unaye nyamazia haya kwasababu tu ya ushabiki wa vyama, maslahi binafsi au...
  14. M

    JamiiForums Tanzania MWANASHERIA HUYU VIPI?

    Wakati Kenya wanasheria vijana wanapigania haki za vijana wenzao wanaotekwa, wanasheria wa Tanzania wenye mtizamo wa wanaharakati wanakesha ktk mitandao kuandika mipasho. Mfano huyu team Lissu
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga wanamweka benchi mshambuliaji hatari kabisa Jean Baleke vipi Simba imng'ang'ania Mukwala ambaye hana faida yoyote

    Leo Mukwala alipoingia tu kule Tunisia nilimchukia sana kocha Fahdu, sikuona sababu za kumtoa Ateba ambaye aliwashika sana waarabu.Kwani ni lazima ufanye sub? Hata Mpanzu alipotoka akaingia Mavambo niliona kabisa kocha anatuingiza shimoni. Anyway, Yanga wanakaribia kutemana na Baleke...
  16. JamiiForums Tanzania Mliowahi kushonewa seat covers na Safari au Azam Upholstery: Vipi Quality ya seat baada ya miaka 3-5 ipoje?

    Safari na Azam Upholstery ni moja kati ya malegendary wachache hapa Bongo kwenye issue ya seat covers na car's interior decorations. Kazi zao zinavutia sana zikiwa mpya. Sasa nataka mtu mwenye shuhuda baada ya miaka mitatu hadi mitano ya matumizi quality yake inasimamaje? Ukichukulia gharama...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufanyiwa visa gani na mwanamke wako? Ulivikabili vipi?

    Heshima kwenu waungwana👊, Tushare visa tulivyowahi kufanyiwa na wanawake/mademu zetu na namna tulivyovikabili ili tuongeze maarifa ya kuishi na hawa viumbe waliotusengenya na shetani pale Edeni 😅. Mie naanza vya kwangu: 👉 Miaka iliyopita, nilikuwa nakula demu mmoja hivi wa kinyaturu. Huyu...
  18. JamiiForums Tanzania Sipatii picha hio outrage ingekuwa vipi kama ndio single father angemuachia boda boda mtoto wake kupelekea maafa yake.

    Nakuambia hadi vyama vyote vya wakina mama wangepiga kelele karibia mwezi mzima. Wakina jackline na tv showz na hawa wabunge wa nafasi maalum wa kike bungeni.. "Ooh hayo ndio matokeo ya kuwatesa wanawake mnakataria watoto alafu watotonashindwa kuwalea" Lakini imewatokea kwa single mother...
  19. JamiiForums Tanzania Manabii wamekuwa wengi mpaka sasa inakera

    Manabii wamekuwa wengi mpaka unajiuliza Mungu gani uyu ambaye anaonyesha manabii wake habari tofauti tofauti. Mara uyu anakuja na ili. Uyu naye anakuja na ili tofauti na la yule wakwanza God , GOD, GOD, GOD. Na wakibahatisha jambo fulani tu ndo kwisha habari zenu Kuna mmoja uko youtube...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kama michango ya kununua gari tu imemshinda Lissu kuitimiza. Sasa ni vipi atakusanya mamilioni ya pesa kwa ajili ya Uchaguzi na kujenga Chama?

    Ndugu zangu Watanzania, Kujenga chama siyo lelemama,siyo kazi nyepesi wala rahisi wala kazi ya Mzaha mzaha.kujenga chama na kuwafikia wanachama na kutafuta wanachama wapya na kueneza sera ,itikadi ,misimamo na ajenda za chama Ni kazi Ngumu sana. Ni kazi ya jasho na Damu,ni kazi ya kujitoa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…