viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wetu wa mpira wanatumia ujinga wa mashabiki kama mtaji? Inaumiza sana

    Kumbe ni kweli Feisal amevunja mkataba Yanga ila viongozi wanatudanganya tu. Leo kupitia account yake ya insta amepost akiwa anafanya mazoezi na uongozi wake mpya. Nimeumia sana.
  2. JamiiForums Tanzania Mwaka Mpya: Mawazo ya viongozi wa dini yaliyonajisiwa kwa binadamu, nani mkweli?

    Happy New Year!. Hiyo ☝🏾 ndiyo salamu inayotolewa na kila mmoja kutakiana amani, furaha na shangwe kwa kuingia mwaka namba mwingine. Ilikuwa kama jambo la kawaida tu kupitia pitia misahafu na zamu ya mwezi huu unaopita ilikuwa ni Bibilia na nilibahatika kusoma kitabu cha Mwanzo eneo hili hapa...
  3. JamiiForums Tanzania RC Mbeya kuwawajibisha Viongozi wa Halmashauri zitakazopata Kipindupindu

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Juma Homera ameziagiza halmashauri zote mkoani humo kuzingatia usafi wa mazingira ili kujikinga na ugonjwa wa kipindupindu katika msimu huu wa mvua na eneo ambalo ugonjwa huo utalipuka, viongozi watawajibishwa. Homera ametoa agizo hilo leo Jumamosi Desemba 31,2023...
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wapo active kwenye mitandao but ukiwafuata dm hawajibu

    Nashangazwa na viongozi wetu wa siasa kuwa very active kwenye social media kupost mambo wanayoyafanya, but ukisema uwafuate inbox kuwaeleza changamoto yako hawakujibu Moja kati ya viongozi niliojaribu kwenda nao dm ninpamoja na Waziri wa maji (Juma Aweso) na Nikki wa Pilli.
  5. JamiiForums Tanzania Kwa mashabiki na Viongozi wa Yanga

    Wadhamini wa michuano ya CAF (club bingwa na shirikisho) ni total energies rangi yao ni nyekundu na huvaliwa na timu shiriki kwenye jezi zao. Sasa basi Yanga mtavunjwa huo mwiko uko nyuma kwa kuvaa beji ya rangi nyekundu ya Total energies?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wananchi tuwe makini tunapochagua viongozi. Huyu anayejipiga picha na taulo naye alikuwa Diwani?

    Tuchague watu wenye maadili mema katika jamii. Huyu mtu anautafuta uzee lakini anafanya mambo ya mtoto wa darasa la 3. Vipi alipokuwa chini ya umri wa sasa akili yake ilikuwaje? Huyu jamaa aliwahi kuwa Diwani wa kata ya Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma. Najiuliza, wananchi waliona nini cha...
  7. JamiiForums Tanzania Kama kweli ndivyo ilivyo, basi ni vigumu kwa viongozi kama hawa kufanya maamuzi yenye tija kwa taifa

    Kwa picha na ujumbe huu kutoka kwa kiongozi mkubwa wa serikali, hakika bado tuna safari ndefu. Mwingine alipost amebeba gunia begani. Je, ina maanisha nini? Kwamba hatuna nyenzo za kurahisisha kazi au hatuna maarifa? Huyu naye kula huku amesimama na soda mkononi, atatusaidia kweli kufikiri kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Watanzania tumsaidie kumtajia viongozi wasiofaa Rais anapokwenda kuisuka upya Serikali

    Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi mpango wake wa kuisuka upya Serikali yake baada ya kubaini baadhi ya watu hawaendani na kasi wanayoitaka wananchi katika kujiletea maendeleo. Kama watanzania utendaji wa viongozi wetu hasa wateule wa Mh Rais wote tunaufahamu kuanzia Waziri Mkuu...
  9. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali mnaopenda kufanya maamuzi ya kujijenga binafsi kisiasa muache. Sikubaliani na hili tamko la RC Mtaka

    RC Mtaka ni kiongozi mzuri lakini naona huwa anavuka kabisa mipaka labda kwa kujua au kutokujua ila mwishoni huonekana ni kama vile maamuzi binafsi ya kujijenga kisiasa. Mara kadhaa ameshawahi kuleta misuguano hadi na waziri wa elimu kutokana na maamuzi yake ambayo huwa hataki kabisa yapingwe...
  10. JamiiForums Tanzania Rais wa Ghana awataka Marais wa Afrika kuacha kuwa 'omba omba'

    Akizungumza kwenye Mkutano na Rais Joe Biden wa Marekani na Marais takriban 50 wa Afrika, Rais Nana Akufo-Addo amesema Afrika lazima iache kutegemea nchi za Magharibi ili kubadili mitazamo duni kuhusu bara hilo. Amesema "Tukiacha kuwa ombaomba na kutumia pesa zetu, Afrika haitakuwa na haja ya...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali bado ina viongozi wa "Business as usual"

    Leo nimeangalia muhtasari wa habari ITV, habari za leo ni uzembe unaofanywa na baadhi ya wakuu wa mamlaka. Yani madhara yanapotokea ndo wanakuja mbele ya vyombo vya habari kujinadi kwa vile walivyowawajibisha wakosaji na kutoa ushauri. Hivi hatuna mpango wa kufuatilia vitu/mambo kabla...
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi sasa waanza zoezi la kuwachapa fimbo wapiga Kura kuelekea 2025

    Hili nalo nendeni mkalitizame , mie niko Kwa Biden
  13. JamiiForums Tanzania Wakati viongozi wa CHADEMA wakiwashawishi vijana waandamane, watoto wao wamewapeleka Marekani kuponda raha

    Akili mu kichwa, viongozi wa CHADEMA, Sasa ni dhahiri, watoto wao wote wamewapeleka kuishi ughaibuni na kuwachukulia uraia wa huko. Baada ya kuwapa makazi huko, wanarudi Tanzania na kuanza kuhamasisha watoto wetu waandamane ili wapigwe risasi.Tumewalea watoto hawa kwa gharama kubwa, lakini...
  14. JamiiForums Tanzania Video ya Rais wa Sudan Kusini akitokwa na haja ndogo yazua maswali kuhusu afya za viongozi

    Katika tukio lisilo la kawaida, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir mwenye miaka 71 ameonekana akitokwa na haja ndogo wakati wa hafla ya Kitaifa na wimbo wa Taifa ukipigwa. Kitendo hicho kinaibua maswali kuhusu hali za kiafya za viongozi wengi duniani kuendelea kukaa madarakani hata baada ya umri...
  15. JamiiForums Tanzania Arusha: DC Mtanda akanusha madai ya Gambo kusakwa na viongozi wa Serikali ili auawe

    Mkuu wa Wilaya Arusha (DC), Said Mtanda amesema hakuna mpango wowote wa kiongozi wa Serikali kumuuwa Mbunge wa Arusha Mjini (DC), Mrisho Gambo. Akizungumza na waandishi wa habari DC Mtanda amesema Serikali haina nia ovu dhidi ya Gambo. "Nimekuwa nikiona na kufuatilia kwenye mitandao ya kijamii...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wa nchi huwa wanaangalia TBC 1 kweli?

    Yaani najiuliza na nauliza hivi Rais, Waziri Mkuu, Nape Nnauye, Msigwa Gerson huwa wanaangalia habari na mambo mengine TBC 1 kweli? Au na wao habari wanaangalia kupitia UTV ya Azam? Na mpira pia, hivi Mchengerwa na Nape Nnauye wanaangalia Kombe la Dunia kupitia hii TBC 1 pia? And they are...
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi hawa wamepiga hela sana 2022

    Kwema ndugu zangu Watanzania? Leo sina mengi zaidi ya kuwapa list yangu hapa ya Viongozi waliopiga hela nyingi kwa mwaka huu. Najua wote hapa mna akili timamu sitawaambia wamepiga vipi hela ila najua kwa kufungua akili zenu mtajiongeza. 1- January Makamba: Waziri wa Nishati baada...
  18. JamiiForums Tanzania Utafiti kuhusu migogoro ya viongozi wa halmashauri na mgongano wa madaraka unaosababisha kushuka kwa shughuli za maendeleo

    1.Summary Katika ngazi ya wilaya, kuna viongozi wanne wazito. Mkuu wa wilaya, mkurugenzi na mwenyekiti wa halmashauri na Mbunge. Na mara nyingi Kumekuwa na Mikanganyiko ya kutofautisha nafasi hizi na umuhimu wa kila mmoja katika nafasi yake. Daima swali linakuwa ni nani kati yao mwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM asema watawashughulikia wanaokejeli viongozi wao

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohamed Ali Kawaida amesema watawashughulikia wanaowabeza viongozi wakuu wa nchi bila kujali nafasi zao walizo katika taifa hilo. Ametoa kauli hiyo katika ofisi za Jumuiya hiyo Gymkhana Mjini Unguja wakati wa mapokezi yake na...
  20. JamiiForums Tanzania Je, viongozi wetu wa sasa wana uwezo wa kutuunganisha?

    Tunapokuwa na viongozi imara kama taifa tunakuwa na uwezekano mkubwa wa kuendelea. Moja ya kiashiria cha uongozi bora ni uwezo wa kutuunganisha tunapotofautiana. Je, viongozi wetu wa kitaifa (hasa wanaoshikilia nyadhifa za juu kabisa) wana sifa hii adhimu na muhimu? Tuwe na sherehe njema ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…