Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 16,231
- 125,256
Leo nimeangalia muhtasari wa habari ITV, habari za leo ni uzembe unaofanywa na baadhi ya wakuu wa mamlaka.
Yani madhara yanapotokea ndo wanakuja mbele ya vyombo vya habari kujinadi kwa vile walivyowawajibisha wakosaji na kutoa ushauri.
Hivi hatuna mpango wa kufuatilia vitu/mambo kabla hayajaleta madhara kwenye jamii a.k.a Plan Preventive Mainteinance ⛑?
ITV brief