viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi waongoza msafara wa viongozi wakuu asubuhi hii walipowasili uwanja wa ndege wa Mwanza.

  2. JamiiForums Tanzania Viongozi mtatuua kwa sonona

    Maharagwe kilo 4000 + mchele 3500 = jumla 7500Tsh Hao mnaowasifu wawekezaji wanatulipa 10,000/= per day. ✍️10,000 - 7500 = 2500 🤔 🤔Bado sijanunua mkaa wa kupikia? 🤔Bado viungo? 🤔Bado sijanunua mafuta ya kula? Nyie mnakula Swala, Pundamilia, Mbuni Tembo......sisi kila siku tunakula maharagwe...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini licha ya kuwa na Watanzania zaidi ya million 60 bado sura za viongozi wa upinzani ni zilezile?

    Hili swali huwa najiuliza sana pasi na kupata majibu. Niwaombe wanabodi kwa utulivu kabisa mnisaidie kujua nini kiini cha hali hii! Ni takrinani kwenye majimbo mengi yaliyowahi kuongozwa na wapinzani, ni walewale walioongoza huko nyuma wana nafasi kubwa sana ya kugombea tena hizo nafasi na...
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika ulimbukeni unawasumbua msururu wa magari kwenye misafara yao

    Katika kitu ambacho huwa hela inatumika vibaya ni misururu ya magari. Matendo Yao siyo mazuri ndo maana hawajiamini kutembea huru kwani wanaumiza wengi. Hata mkuu wa wilaya/mkoa utashangaa magari hayo Check Rais wa Ufaransa na waziri mkuu Denmark wanavyojiachia huku wakipishana na Raia bila...
  5. JamiiForums Tanzania Viongozi wa mkoa wenye roho mbaya sana

    Watu kama Makala na Gondwe ambao hawajajiajiri maishani mwao miaka yote wanaishi kwa jasho la walipa kodi hawawezi kujua ugumu wa kusimamisha biashara kutoka mchangani. Dada wa watu katega eneo zuri ambalo mmempa wenyewe, ameweka hela yake, ameitumia nguvu ku-brand biashara leo imekuwa imara...
  6. D

    JamiiForums Tanzania KKKT ni kubwa kuliko Mch. Kimaro, msihuzunike kuna jambo hamlijui, viongozi wake hawajakurupuka

    Naomba nianze kwa kuwapa pole waumini ambao walibarikiwa na mchungaji kimaro! Kazi ya kitume ni kama mvua, inanyesha kwa wakati wake na kupisha kwa muda ili shughuli zingine zifanyike, mpate muda wa kupanda, kuvuna, na hata kuezeka panapovuja. Yamkini mvua ya mahubiri ya mchungaji kimaro...
  7. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kusimamisha magari barabarani ili kusubiri kiongozi kupita?

    Je, ni sahihi kusimamisha magari barabarani ili kusubiri kiongozi kupita hii leo niko eneo la songwe airport ili kusubiri waziri mkuu apite hii imekaaje wana Jamiiforums. Tunekaa almost 2 hrs kusubir na bado hajapita, huu ni kujifanya Mungu mtu na yeye pia jambo hili analifurahia; huu ni utumwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inakubalika zaidi Nyanda za Juu Kusini lakini Viongozi wao wanapenda zaidi Mwanza!

    Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa. Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa. Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za...
  9. JamiiForums Tanzania Taharuki yatokea kijiji cha Narumu, Machame Mashariki baada ya picha zikionesha migomba ikipandwa barabarani

    Viongozi wa serikali akiwemo diwani wa kata ya machame mashariki wafunga safari kwenda kukagua barabara ambayo Inadaiwa kuoteshwa Migomba baada ya kuahidiwa lami. viongozi hao akiwemo engineer wa wilaya baada ya kufika kijijini hapo na kukagua barabara inayodaiwa kuoteshwa Migomba na kukuta...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA anzeni na kauli hizi za viongozi kuhusu ajira kwa vijana, tunataka Serikali iwajibike

    Hello Tanzania! Hapa Tanzania kumekuwa na Kauli mbalimbali za ahadi na kuudhi wanazotoa viongozi kuhusu Ajira Kwa Vijana. Kwa bahati mbaya hatuna Mechanism ya evaluation ya Kauli zao Ili kujua uwajibikaji na matokeo ya kile wanachahidi. Watu wanakimbilia vitu cheap hasa vya kujenga Jenga...
  11. JamiiForums Tanzania Nchi inaliwa na Viongozi Ranchi ya Usangu, masikini Tanganyika

    Rais Wasaidizi wako wanakuangusha Tanganyika imegeuzwa shamba la bibi au kichwa cha mwendawazimu kila anayejifunza kunyoa anaenda kwenye Ranchi ya Usangu. Kazi yetu kukuhabarisha, hatua stahiki utazichukua wewe. === Ranchi ya Usangu yageuzwa Shamba la Bibi Waziri Mkuu Majaliwa Kassim...
  12. JamiiForums Tanzania Je, lile Tamko la Wazee na Viongozi wa Matawi wa Yanga SC kutotumia bidhaa zozote zile za Azam Company linatekelezwa?

    Tafadhali mwenye ile Video ya Yule Kiongozi wa Matawi Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam na Yule Kiongozi wa Wazee wa Yanga SC aniwekee hapa ili niwatizame vizuri kwa Jicho langu Kali la Kisaikolojia ili nijue kama wanastahili kuwahi Matibabu yao ya haraka Hospitali za 'Vichaa' Milembe Mkoani Dodoma...
  13. JamiiForums Tanzania Yanga bado hatujaweza kutia akili. Tunategemea sana Viongozi wa Kisiasa kutubeba

    Ikija tokea kukawa na viongozi ambao hawalalii upande wetu ......TUMEKWISHA. Sasa hivi nachoka hata kuishabikia Yanga baada ya kuona kila jambo tunabebwa na viongozi wa Kisiasa. Matches zetu zinachezwa hivyo hao TFF wameshaingia woga linapokuja suala letu maana simu zinazopigwa kwao...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Assenga watu hawatarajii mtaenda kutukana viongozi waliofariki

    Mbunge wa Kilombero, Aboubakar Assenga amesema watanzania hawatarajii ruhusa ya mikutano iliyotolewa kwa vyama vya siasa wataitumia kutukana viongozi waliofariki. Pia amesema watanzania wanakumbuka kipindi cha utawala wa JK wapinzani walisema nini, Kipindi cha JPM walisema nini na sasa kipindi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tuwalazimishe viongozi wetu kuwa wazalendo na kuishi wanayoyaongea jukwaani

    Wananchi wengi bado wako usingizini na ni wazito sana kuwahoji viongozi. Kama ilivyo vigumu kwa muumini wa dini kumnyooshea kidole kiongozi wake wa kiimani/kiroho anapofanya kinyume na anayohubiri imekuwa vigumu na sisi kuwawajibisha viongozi waishi wanayoyasema. Leo viongozi wetu wako bize...
  16. JamiiForums Tanzania Amri Kuu Kuliko Zote ni Upendo! Mpende Mungu, Ipende Nchi, Wapende Viongozi, Mpende Jirani Yako Kama Nafsi Yako!. Jirani yako ni Nani?, Unampenda?

    Heri ya Krisimasi, Merry Christmas Sikukuu ya Krisimasi kwa mwaka huu imedondokea siku nzuri ya Jumapili! Hii ni Makala ya Jumapili ya Krismasi. Kwa mafundisho ya dini ya Kikristu, tuliyopewa na huyu Masiya aliyezaliwa leo, Bwana wetu Yesu Kristu, aliulizwa amri kuu kuliko zote ni amri gani...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi, ondoa wizi unaofanywa kupitia malipo ya cash kwa watumishi na wazabuni kupitia OC, fedha zilipwe kwenye akaunti

    Moja ya njia unayotumiwa na waalifu Duniani Kwa sasa nikuzichungulia fedha zinazotolewa na serikali au taasisi bila kulipwa kwenye akaunti husika. Kwa nchi nyingi za Afrika malipo ya fedha nyingi za kuendesha Ofisi yamewekwa kwenye safari na vikao; wakati mwingine mataifa corrupt ulazimisha hata...
  18. JamiiForums Tanzania Udhaifu wa miili ya viongozi wa dini wasio ruhusiwa kuoa je vinahusiana na magonjwa

    Wadau naomba mnijuze, je wadhifa wa mtu unaweza kumfanya achoke mapema na kuanza kujisikia kuumwa sana hadi kufikia kuachia kiti. utakuta kiongozi wa dini haruhusiwi kuoa ila anapofikia umri wa 80 bas anakuwa mgonjwa na magonjwa makubwa ambayo humfanya aachie ngazi kuendelea na majukumu. Sisi...
  19. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba mmemkosea Mgunda

    Kwa kilichotokea na kufanywa na viongozi wa Simba dhidi ya kocha mzawa Mgunda ni ukosefu wa fadhila na shukrani. Mgunda aliichukua timu wakati mgumu sana na kwa kipindi chote alichokuwa na timu morali ya wachezaji iliimarika na timu ilibadilika sana. Hivi nyie viongozi mmetumia kipimo gani...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wetu wa mpira wanatumia ujinga wa mashabiki kama mtaji? Inaumiza sana

    Kumbe ni kweli Feisal amevunja mkataba Yanga ila viongozi wanatudanganya tu. Leo kupitia account yake ya insta amepost akiwa anafanya mazoezi na uongozi wake mpya. Nimeumia sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…